Wakina mama wa CCM -- giza mnaita mwanga?

Leo Umoja wa Wanawake wa CCM wamemfanyia sherehe kubwa Dr Asha-Rose Migiro kwa kurejea kwake nchini baada ya miaka yake 5 kama Naibu Katibu Mkuu wa UN, kazi ambayo wakina mama hayo wamesema aliifanya kwa weledi na kwa mafanikio makubwa.

Mafanikio makubwa? Hivi wanadhani hatujui kwamba Dr migiro alishindwa kupeform hiyo kazi na ndiyo maana ameng'olewa baada ya kipindi kimoja tu?

Mkuu hata mimi nimehuzunika mno mno akina mama kusifia ujinga na mambo ya aibu. Nimesubiri waseme Asha Rose Migiro ali achieve nini cha kumfanya atukuzwe namna hiyo. Ukisikia akina mama wanadharauliwa ni kwa mambo ya kijinga kama haya ya kumpokea kishujaa mtu aliyeshindwa kazi yaani LOOSER kama huyu. Tena Migiro alitakiwa asitokeze hadharani kwani ameidhalilisha Tanzania sana sijui huo udokta wake alishindwaje kuutumia.

Asha Rose Migiro ni TOTAL FAILURE hatakiwi akumbukwe popote katika historia muhimu ya nchi yetu kama SALIM AHMED SALIM
 
UN nzima imeshindwa kufanya kazi yake if you ask me, na kukubali kuchukua kazi kwa shamra ya kuwa "one of the number twos" at UN bila kuangalia kuwa unakuwa set up for failures ndo tatizo.

Nasubiri kusikia mTanzania aliyekataa kazi kubwa kwa sababu haikuendana na vision yake, labda nitapata cha kujifunza kwake.

She was a pawn in a political grandmasters game. The grandmaster being Mr. Ban. Now that it is smooth sailing for him, and the rallying of Tanzanian support in securing the helm at the UN is not that crucial especially since Tanzania is losing capital in the international arena predictably due to lack of leadership and vision, coupled with the possible characteristic Tanzanian acumen for sleeping at the wheel - not that the entire UN is not sleeping at the wheel, it is not exactly against political expediency for Mr. Ban to look for the latest courtesants like some ever marrying Mswati.

Nashauri wenye vipaji vya kufundisha waendelee kufundisha, na wenye vipaji vya uongozi waanze kuongoza.

Just because you are a doctor of this or that it does not mean you are a leader. Sometimes the fact that you are a DR. means that in a politically murky place like Tanzania you cannot lead. Some real Drs, like Mahiga, seem to understand that and save themselves the embarassment of indignity that comes with faking ability to roll with the beast that is Tanzanian politics.
 
Leo Umoja wa Wanawake wa CCM wamemfanyia sherehe kubwa Dr Asha-Rose Migiro kwa kurejea kwake nchini baada ya miaka yake 5 kama Naibu Katibu Mkuu wa UN, kazi ambayo wakina mama hayo wamesema aliifanya kwa weledi na kwa mafanikio makubwa.

Mafanikio makubwa? Hivi wanadhani hatujui kwamba Dr migiro alishindwa kupeform hiyo kazi na ndiyo maana ameng'olewa baada ya kipindi kimoja tu?

Huyo aliyempendekeza kwenda UN anampango wa kumpendekeza kuwa Mgombea wa kiti cha uraisi kwa ngonjera ya wanawake wanaweza.
Mi nilikuwa najiuliza ghafla kwanini alikimbilia kusema anarudi kufundisha?tunarajia nini kwa hao wanafunzi?
 
Mkuu hata mimi nimehuzunika mno mno akina mama kusifia ujinga na mambo ya aibu. Nimesubiri waseme Asha Rose Migiro ali achieve nini cha kumfanya atukuzwe namna hiyo. Ukisikia akina mama wanadharauliwa ni kwa mambo ya kijinga kama haya ya kumpokea kishujaa mtu aliyeshindwa kazi yaani LOOSER kama huyu. Tena Migiro alitakiwa asitokeze hadharani kwani ameidhalilisha Tanzania sana sijui huo udokta wake alishindwaje kuutumia.

Asha Rose Migiro ni TOTAL FAILURE hatakiwi akumbukwe popote katika historia muhimu ya nchi yetu kama SALIM AHMED SALIM

Sasa hapo maana yako Migiro asikumbukwe kama anavyokumbukwa Salim, au Migiro na Salim wote wasikumbukwe?

Kujieleza tu tabu, halafu unataka ujaji wa makubwa.
 
Tatizo kubwa ni kiongozi wao! Eti ni Sofia Simba!

Kiongozi wao Kikwete, Sofia Simba Chui wa maboksi tu. Ukitaka kuangalia tatizo angalia msingi.

Na kwa hili unarudi kwa watu wa Tanzania ambao wanasadikiwa kumchagua kwa kishindo.
 
Jamani, Elsie Kanza made the list

' YOUNG Global leaders 2011 and only one from TZ'

Not bad...not bad at all

And to call Migiro a total failure kwakweli ni kutomtendea haki....

Nionavyo kuplay politics za UN you need more than just a pretty face and 'first woman ever' status...Migiro japo alikaa foreign affairs alitakiwa
Ajue politics za pale, angalau amelast 5yrs ina maana kuna vitu..kwenye makala yake 'a time well spent' ametutoa tongotongo baadhi yetu
 
Back
Top Bottom