Wakina mama mtaacha lini hii tabia ya kujichubua ngozi?

Mimi nadhani wanamatatizo kwenye Bongo zao. Huo sawa na utumwa
Hivi hii tabia ya wanawake ya kujikoboa ngozi zao na kuwa wekundu hawajui kama inawashushia heshima yao katika jamii? Yaani leo nimekutana nimekutana na mwanamke amejikoboa ngozi kuanzia usoni hadi kidole cha mguu ila cha kusikitisha badala ya kuwa mweupe amekuwa mwekundu , yaani hii inachefua sana
 
Mpaka pale wanaume mtaaacha kutamani wanawake weupe na sie tutaacha kujichubua....mpaka hapo mwendo ni ule ule

Usiseme tutaacha sema utaacha manake inaonesha wewe unategemea wanaume wanafikiri nini ili kufanya maamuzi yako,siku wakija na swala la usodoma utakuwa tayari mpaka watakapo badilisha mawazo yao kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom