Wakina mama mtaacha lini hii tabia ya kujichubua ngozi?

Mi mke wangu nilimuoa akiwa na rangi ya maji ya kunde leo hii kawa mweupe peee! Shauri ya CAROLITO. Nimeamua nitafte kinyumba kidogo chenye rangi kama aliyokuwa nayo mke wangu kabla. Nilimkataza hakunielewa,
 
Wanasumbua watu wengine kama mtoa mada...

Sio lazima kumtumpia jicho mtu wa hivyo, angalia pembeni, kula kobis, mwache apite aende zake, mwili wake hivyo raha /karaha aipatayo aipenda mwenyewe
 
ila kuna swali hawajiuliza
'kawa weupe ni mali kihivyo, ubuyu usingepakwa rangi'
 
Wats up nitonye
vituvingine si lazima uwe na elimu ya chuo kikuu ndo uwe na uwezo thabiti. Cos kujichubua ni kumkosoa na kumuumbua aliye kuumba (ALLAH). kama kuna mwenye kubisha ajitokeze?
Halafu wanaojichubua ni wajinga coz "BLACK IS BEAUT"
 
Mie na mkorogo mbalimbali siwapendi wanawake wanaotumia hii kitu, wapo na wanaume wengine nao wanatumia
 
hawa dawa yao ni kutowanunua wala kuwatongoza na wakikuletea machunusi unawakataa mpaka wafe na minyege yao. Nalog off
 
Mi mke wangu nilimuoa akiwa na rangi ya maji ya kunde leo hii kawa mweupe peee! Shauri ya CAROLITO. Nimeamua nitafte kinyumba kidogo chenye rangi kama aliyokuwa nayo mke wangu kabla. Nilimkataza hakunielewa,

my hero
 
Hivi hii tabia ya wanawake ya kujikoboa ngozi zao na kuwa wekundu hawajui kama inawashushia heshima yao katika jamii? Yaani leo nimekutana nimekutana na mwanamke amejikoboa ngozi kuanzia usoni hadi kidole cha mguu ila cha kusikitisha badala ya kuwa mweupe amekuwa mwekundu , yaani hii inachefua sana

Sasa ukute amekaa anakula chips mayai na tomato sauce
 
Back
Top Bottom