Wakina Dada wa Kisukuma Upenda Kutumia Msemo Huu"Ng'wishage Tamu"

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Nasikia kwa wakazi wa kanda ya ziwa na wenyeji wa maeneo hayo ya Mikoa ya Tabora ,Shinyanga na Mwanza unapokutana na wakina dada wa huko wao upenda kutumia msemo huu "Ng'wishage Tamu" msaada tunaomba wakina dada wenyeji na wakazi ama wanaotoka mikoa hiyo msaada wa msemo huo .

Manake ninasafari ya kwenda mikoa hiyo nikifika niwetayari tayari nikiambia nijue kinachojiri.

Msaaaaaaaaaada please

Nawasilisha wadau.
 
Mimi sio mdada ila msemo huo nauelewa kwa kuwa mimi ni msukuma na unamaanisha niangushe kwanza.Lakini ukweli wadada wa kisukuma hawasemi hivyo,wanaosema hivyo ni wahehe.Sisi tunao vijana wanaitwa Bhatula mvha,ikimaanisha wapiga mbwa hao kazi yao ni kumwambia dada Chagulaga na ole wake asichague.Na akishachagua huko mbele wala hakuna gogoro
 
Mimi ni msukuma,msemo huo una maana MNYONYESHE KWANZA..
na huwa hautumiwi na wakina dada peke yao,wote hu2mia..
 
Kwa hiyo maana yake ni Niangushe kwanza.Mbona unasema wakina dada wa kihehe wakati mimi nilichouliza ni wasukuma wahehe wanatoka wapi tena mdau.Haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kidogo napata picha
 
Mimi ni msukuma,msemo huo una maana MNYONYESHE KWANZA..
na huwa hautumiwi na wakina dada peke yao,wote hu2mia..

Nani ni nani manake paka mweusi anasema yeye ni msukuma na tafsiri yake kasema ni niangushe kwanza wewe nae pepo unakuja kusema mnyonyeshe kwanza hebu tuwekeni sawa nani ni naini hapa.

Tumwamini nani wewe Pepo au Paka
 
NG'WISHAGE TAMU=Mnyweshe/Ninyweshe kwanza. NIGWISHAGE/NGWISHAGE TAMU=Niangushe kwanza. Sometimes mtu anaweza kusema NG'WISHAGE akimaanisha NGWISHAGE yaani 'niangushe', inategemea na matamshi ya mtu kutokana na jinsi alivyozoea ama mahali/mazingira anayoishi kwa jinsi wanavyotamka.
 
Nasikia kwa wakazi wa kanda ya ziwa na wenyeji wa maeneo hayo ya Mikoa ya Tabora ,Shinyanga na Mwanza unapokutana na wakina dada wa huko wao upenda kutumia msemo huu "Ng'wishage Tamu" msaada tunaomba wakina dada wenyeji na wakazi ama wanaotoka mikoa hiyo msaada wa msemo huo .

Manake ninasafari ya kwenda mikoa hiyo nikifika niwetayari tayari nikiambia nijue kinachojiri.

Msaaaaaaaaaada please

Nawasilisha wadau.

Inategemea na unachokusudia/ulichokusudia katika kutamka/kufikisha ujumbe wako.
Mfano wa maneno ambayo yanaweza kutumiwa na yakawa na maana tofauti ni;
NIGISHAGE TAMU- Nisalimie kwanza
NG'WISHAGE TAMU- Ninyweshe kwanza
NGWISHAGE TAMU- Niangushe kwanza

Kazi ni kwako!
 
  • Thanks
Reactions: DSN

Nimeambiwa kuwa hiyo ya NGWISHAGE TAMU,je nikiludi kwenye hoja dada wa kisukuma akiniambia kauri hiyo mimi mtoto wa kiume anamaanisha nini manake tamaduni zinatofautina.
 
fikiria chukua hatua fanya maamuzi magumu sasa..

Du hiii nimeipenda saaaaaaaaana Mkuu ikitokea tukatofautiana sintaonekana kama maamuzi yangu yalikuwa kama ya Mic tyson na yule mrembo wa kimarekani aliyemfikisha mike tyson matatizoni Desiree Washington,alipomfikisha mdau point of no return.Je nikitumiaa njia za Mic tyson sinatonekana nimeabuse matumizi ya sheria za nchi wakati mhusika ameniruhusu kwa idhini yake kwa kutumia lugha yake ya asilia.
 
thanx kwa ufafanuzi
NG'WISHAGE TAMU=Mnyweshe/Ninyweshe kwanza. NIGWISHAGE/NGWISHAGE TAMU=Niangushe kwanza. Sometimes mtu anaweza kusema NG'WISHAGE akimaanisha NGWISHAGE yaani 'niangushe', inategemea na matamshi ya mtu kutokana na jinsi alivyozoea ama mahali/mazingira anayoishi kwa jinsi wanavyotamka.
 
kwa taarifa tu ni kwamba watan zangu wasukuma ni wa2 wenyenguvu sana so inawezekana ata hapo dada anataka umuonyeshe umwamba wakooo!
 
Inategemea na unachokusudia/ulichokusudia katika kutamka/kufikisha ujumbe wako.
Mfano wa maneno ambayo yanaweza kutumiwa na yakawa na maana tofauti ni;
NIGISHAGE TAMU- Nisalimie kwanza
NG'WISHAGE TAMU- Ninyweshe kwanza
NGWISHAGE TAMU- Niangushe kwanza

Kazi ni kwako!
Mi naijua tu,ila ulichosema ni sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom