Wakina dada na wamama mkwe wanatabia ya kuingilia ndoa za kaka zao

X GIRL FRIEND

Member
Sep 2, 2011
69
21
Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba. Najua wengi humu jf ni mawifi na mama wakwe hebu elezeni kwanini mnafanya hivi?
 
Mada zinazohusiana na hili zipo nyingi MMU. . make use of JF search engine.
 
wanao fanya hayo wengi ni wale wanao tegemea kaka zao na watoto wao zaidi ya hapo ni roho mbaya tuu kutaka kufisidi wakwe zao..
 
Tatizo lenu hamjui kama mawifi na mama mkwe ndio waliishi na kukua na huyo mme wako ambao unakuta hauna mda mrefu tangu uanze kuishi nae. Sasa wanapoona ndugu yao kabadilika lazima ni wewe utakuwa umembadilisha
 
Hiyo ni tabia binafsi ya mtu. Haina uhusiano na chochote. Kuna watu wanaingilia maisha hata ya jirani na coaligues! Tena anangoja maid wako ama mlinzi amuulize issues zako, hujawahi ona? Muhimu ni kuwa-ignore na mara moja moja you put them in their places.
 
Mwanamke akiingilia ndoa yangu namtoa roho. Mke nimtafute mwenyewe halafu wao walete mizengwe! Thubutu!!
 
Back
Top Bottom