Wakina dada kujichubua!!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Madada zetu wengi sana wanajichubua ili wapendwe, au kwa akili zao ili wawe wazuri zaidi. Lakini mbona weupe hawavutii kuliko weusi!!, madada weusi hasa wenye rangi ya chocolate jamani wanavutia, mdada mweusi/chocolate akipita kavaa kimini lazima udenda ukutoke kweli kweli lakini hao weupe hata akipita uchi mi naona bila bila.
 
Hee wewe umesahau wanaume pia wanajichubua? Umewaona akina dada tu? au unawaogopa akina kaka wenzako?
 
Hee wewe umesahau wanaume pia wanajichubua? Umewaona akina dada tu? au unawaogopa akina kaka wenzako?

bora umwambie, wakaka wanajichubua,wanapaka poda,wanapaka lipshine hawaoni? Nao wanatafuta nini? Wamvutie nani? Ili iwe nini? Kwa nini?
 
Du!Mkuu unachoona kizuri wewe unataka na watu wote wakione kizuri?Kila mtu anapenda rangi inayomvutia!Kuna wengine wanapenda weupe,kuna wengine wanapenda chocolate kama wewe,na wengine wanapenda weusi wa wastani na wengine wanapenda wale wanawake weusi wa kupitiliza kama wametengezwa kwa mti wa mpingo!Waache wajichubue tu maana wapo jamaa wanahusudu wanawake michubuo.
 
wewe kijana ulishaonaga paja jeupe au waongea tuu!! acha bwana tena awe amevalia na lace boylegs and hick thighs una anza drip precum kabla hata game halijaanza...rangi nyeupe moto wakuotea mbali ukikutana na figure ya ukweli!!!
 
wewe kijana ulishaonaga paja jeupe au waongea tuu!! acha bwana tena awe amevalia na lace boylegs and hick thighs una anza drip precum kabla hata game halijaanza...rangi nyeupe moto wakuotea mbali ukikutana na figure ya ukweli!!!

Hakuna kitu hapo nakwambia...., akipita chocolate amevaa hivyo hivyo utamsahau huyo mweupe. hawavutiii.........
 
Ni nyinyi wanaume ndiyo munawazuzua eti kuwa weupe ndiyo bora kuliko weusi. Hata like kabila fulani si ndiyo linalipia mahari makubwa zaidi kwa wanawake weupe au vipi?

Mungewapapatikia weusi basi wangetafuta rangi nyeusi wakajiongezea kama vile wazungu wanavyohusudu chocolate complexion.
 
Kitu Chocolate bana.., asikwambie mtu. Iwe na hips, mguu wa bia, lips za kukatikakatika..., udenda lazima ukutoke nakwambia.
 
Haya Jaribu kucompare hapo halafu mniambie....... Chocolate ni noma images.jpg images2.jpg images3.jpg images4.jpg images5.jpg images6.jpg
 
na yale mandevu yanavyowatoka khaaaa. upate kitu cheusi halafu kinag'aa weusi wa nyoka ule, typical binti africa we acha tuuu
 
So many miles before elimination of HIV/AIDS in Africa.

Kama hali yenyewe ndo hii, bora nikakojoe tu nilale.

Kazi njema!
 
Back
Top Bottom