Wakimtosa sioi, jimbo litaenda chadema!!!

Nali

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
1,155
812
Wana Jamvi,

Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema kumwangusha Sarakikya....

Kaaaazzzzz kweli kweli......
 
Sarakikya naye inabidi awe na uamuz kama wa huyo asiyetaka kuoa,
so jimbo ni letu peoplez power!
 
Wana Jamvi,

Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema kumwangusha Sarakikya....

Kaaaazzzzz kweli kweli......

Mkuu Nali nadhani umekosea jinsi ya kuwasilisha hii mada ungesema "wakimtosa sioi jimbo litaenda KIRAHISI chadema" wewe umesema as if ccm watashinda.
 
sarakikya naye inabidi awe na uamuz kama wa huyo asiyetaka kuoa,
so jimbo ni letu peoplez power!

kama mambo ni hivi, basi nasubiri bunge la april kumwona kijana nasari akiapa kuwa mbunge halali wa arumeru mashariki
 
Wana Jamvi,

Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema kumwangusha Sarakikya....

Kaaaazzzzz kweli kweli......

Kwa maana yako wakimsimamisha SIOY jimbo litakwenda CCM?
Na wewe unamini hivyo?
 
Back
Top Bottom