Wakimbizi Wa Kizanzibari Somalia Walalamika.

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Zanzibar refugees in Somalia complain with out health care

Posted: 7/7/2009
Shabelle: SOMALIA

MOGADISHU (Sh. M. Network)

The Zanzibar refugees in the Somali capital Mogadishu are complaining bout with out health care and livelihood difficulties, one of the refugees told Shabelle radio on Tuesday.

Many families of the Zanzibar refugees in the capital said that the greatest problem they have is lack of health care, food pointing out that they could not pay the money to buy the medicine or cure the illness.

Reports say that most of the Zanzibar refugee families were sleeping in their camp in Wakalada Biyaha building in the Somali capital Mogadishu.

Ali Zanzibar, a deputy chairman of the Zanzibar refugee camp in the capital said that they used to get medicine from the Ugandan and Burundian peacekeepers in Mogadishu, but said that they halted due to fears to be mistaken to those who work with those forces and targeted.

Mr. Ali said that there are at least 5 people including women, children and adult who have different illness in the camp currenlty.

The Zanzibar refugees in the capital had lastly asked the Somalis and aid agencies to help them to get healthcare, good shelter to recover their livelihood.

The complaining families of the Zanzibar refugees in Somalia seems to be caused to with out sanitation in their camp as the toilets there filled.

NASSER AL-RAWAHY.

Source: Sh. M. Network
 
Hawa wakimbizi wamekatazwa kurudi Zanzibar au kuna mafunzo ya ugaidi wanayafanya kwenye hizo kambi za wakimbizi kama wafanyavyo wapalestina kwenye kambi zao za wakimbizi?
 
Taratibu wenyewe wakikusikia mimi siko.
 
Mhh, na ni matatizo gani yanayomkimbiza mtu Zanzibar akaishia Mogadishu? Vita au hali ngumu ya maisha au nini maana ni ngumu kidogo kuelewa. Au hawa walikuwa wakimbizi miaka ya mwisho ya sitini na mwanzoni mwa sabini? Au walikimbia kabla ya mapinduzi?
 
Taratibu wenyewe wakikusikia mimi siko.

Siku hizi ni kuelezana ukweli kama ulivyo, haogopwi mtu hapa. Hao wanachokimbia hasa ni nini, kama ni matatizo ya Januari, 26/27, 2001 yalishaisha. Je, walipoomba kurudi walikataliwa?
 
Hili nalo ni neno!
 
Matatizo uliyamaliza wewe ?au yalipumzishwa tu ?Rais Jk alisema katika hutuba zake alipokuwa anachuwa madara na kuwambia Majeshi atawanunulia silaha za kileo kwa mana nyingine iwe rahisi kwao kumtunguwa binadamu hata akiwa chumbani kwake, juzi Masha amesha liambia Bunge kuwa silaha zipo njiani na vijana wanatayarishwa ,yametokea mengi katika Visiwa vya ZANZIBAR na baadhi yenu mkawa mnakejeli na kufurahiya sasa yanapiga hodi majumbani kwenu tusubiri hatama yake Mwenzio akinyolewa wewe jitie maji (jipake /weka)hapa hakuna haja ya kulivuka daraja kabla hatujalikia ,tusubiri hatma yake penye Uhai 2010 haipo mbali.
 
Hujaeleza tatizo ni nini hasa la kutorudi Zenj. Hizo kauli za JK na Masha (kama walizisema anyway) zilikuwa zinalenga wakimbizi wa Zenj huko Mogadishu? Hiyo hatma unayodai kuisubiri 2010 ni hatma ya nini (CCM au hao wakimbizi?).
 
Hivi Zanzibar ni nchi? au pale yanapotokea mabaya ndio Zanzibar inakuwa nchi?

hakika ukimuona mtu anatema asali na kutamani pilipili usimdharau laaazima ujuwe kuna jambo hapo.

Sasa lazima ieleweke zanzibar especially Pemba kuna mambo japo yanafichwa
 
Hii kali kidogo,mzazibari anajihifadhi somalia tena Mogadishu ilhali wasomali wenyewe wanapakimbia kwao,hapo kuna jambo linahitaji kufanyia uchunguzi isije ikawa hao jamaa ni wale WAGUNYA.! warudi tu kwao matatizo hayakimbiwi bali unakabiliana nayo.
spear kwani kule unguja hakuna watu wanaishi japo matatizo yapo? sasa kipi bora kwa hao waliopo huko mogadishu?
 
Wakimbizi Wa Kizanzibari Somalia Walalamika.

Kumbe wakati wa shida au kufanya mambo mabaya ZANZIBAR inakuwa nchi lakin wakti mambo mazuri Zanzibar si nchi.

Mimi ninavyo amini kuwa pamoja na yoe hao ni waTanzania wenye asili ya Zanzibar
 
Serikali ya JMT inazo hizi taarifa za hawa wakimbizi, je imechukuwa hatua gani kuakikisha kuwa hawa Watanzania wanarudishwa nyumbani na kuhakikishiwa usalama wao?
 
Matatizo uliyamaliza wewe ?au yalipumzishwa tu ?Rais Jk alisema katika hutuba zake alipokuwa anachuwa madara na kuwambia Majeshi atawanunulia silaha za kileo kwa mana nyingine iwe rahisi kwao kumtunguwa binadamu hata akiwa chumbani kwake, juzi Masha amesha liambia Bunge kuwa silaha zipo njiani na vijana wanatayarishwa ,yametokea mengi katika Visiwa vya ZANZIBAR na baadhi yenu mkawa mnakejeli na kufurahiya sasa yanapiga hodi majumbani kwenu tusubiri hatama yake Mwenzio akinyolewa wewe jitie maji (jipake /weka)hapa hakuna haja ya kulivuka daraja kabla hatujalikia ,tusubiri hatma yake penye Uhai 2010 haipo mbali.

Nyie wapemba rudini kwenu mkaishi kama wenzenu wanavyoishi kuliko kukimbilia katika uwanja wa vita mkitegemea kuishi maisha bila jasho...
 
Umeambiwa hao wakimbizi kuwa ni Wapemba au basi tu...!?
 
Mhh, na ni matatizo gani yanayomkimbiza mtu Zanzibar akaishia Mogadishu? Vita au hali ngumu ya maisha au nini maana ni ngumu kidogo kuelewa. Au hawa walikuwa wakimbizi miaka ya mwisho ya sitini na mwanzoni mwa sabini? Au walikimbia kabla ya mapinduzi?

wenzenu huko walipo wanajitengenezea mazingira ya kwenda kula maisha uingereza.unajua wapemba wengi wamejilipua kama wakimbizi kutoka kismayu somalia,wapemba wengi waliopo uingereza wameorodhesha watoto/wake/waume zao wapo somalia,na hii inawarahisishia kuunganishwa na familia zao kwa msaada wa msalaba mwekundu
 
Lete ushahidi kwa haya uliyo yaweka hapa.
 
wenzenu huko walipo wanajitengenezea mazingira ya kwenda kula maisha uingereza.unajua wapemba wengi wamejilipua kama wakimbizi kutoka kismayu somalia,wapemba wengi waliopo uingereza wameorodhesha watoto/wake/waume zao wapo somalia,na hii inawarahisishia kuunganishwa na familia zao kwa msaada wa msalaba mwekundu

That is the truth, hata wale waliokuwa Mombasa walikuwa wanalipa pesa kwa agent ili awasafirishe kwenda UK hadi alipowadhulumu pesa ikajulikana deal.
 
Safari ya Uingereza ndio ukaianzie Mogadishu basi!?

Sasa na wakishafika uko UK, wanasema kuwa ni Wasomali au...!?
 
Back
Top Bottom