Wakilishi wa BLW wamuunga mkono Jussa

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Hongera sana Mwakilishi wetu Mheshimiwa HAMZA kati ya wawakilishi wa Wazanzibar uliomakini na uliojivuwa katika mstari wa walioikosea Jamhuri huko nyuma, tunakupa heko kwa kuliona hili na tumekuelewa na heshima kubwa kwako kwa kuona mbali ambapo sasa tunaliona lile wewe uliliona mapema! WAZANZIBAR TUSIKUBALI KUGAWIKA KATU, ZINDUKA MZANZIBAR Shttp://www.youtube.com/watch?v=ZrgAZYqtCtY&feature=youtu.beASA SIO HALAFU!
 
Mkiendelea na umoja huu mtapata faida kubwa zenj..

Lakini angalizo watanganyika wakristo hawataki kabisa umoja wenu ..kazi kwenu

Watashirikiana na wanafiki usiku na mchana watie dosari
 
​kamkoa ka zanzibar kanamatatizo sana, narudia tena zanzibar sio nchi ndio maana nyerere alimkamata mkuu wao wa mkoa Abdul jumbe na kumuweka kazuizini
 
Zanzibar sio nchi
Ni sehemu ya Tanzania
Wana wimbo wa Taifa kama shule za sekondari
Wana bendera kama timu ya Simba
Wana Rais kama ilivyo kwa Miss Utalii
Wana baraza la mawaziri kama ilivyo kwa serikali za wanafunzi ............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom