Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru

HAHAHA MA HATER BWANA, every one with his or her different story, JEALOUS PEOPLE NEVER WIN, HAPO WATU FLANI WANAFURAHI, NGA**, oo*** jealous people never win baab chongeni sana mwisho mtanyamaza tu na kelele za chura hazimzuii te mbo kunywa maji
 
Inasemekana huyu wakili hizi pesa kazipata toka kwa maharamia wa kisomali,na alikuwa akifuatiliwa kwa muda na Interpol na US.Majuzi alikamakwa na Mil 20 cash akiwa nazo kwenye gari lake Escalade alipoulizwa akasema ni matumizi yake madogo madogo ya siku.Hizi pesa Bill 2 katumiwa toka watu ambao hawajulikani nje ya nchi kwenda kwenye account yake ta Stanbic bank tawi la Arusha.
 
Hawa interpol watusaidie kuangalia account zenye vijisent vya akina Chenge na wenzake jamani, inaonekana wako efficient sana
 
Huu mtindo wa kutoa taarifa wa KiJF unakera sana, sasa kama huna taarifa kwanini unatoa taarifa? Kuna mpuuzi mwingine anasema kero ya mafuta dar kumewaka, hala mwisho anasema aliye karibu atupashe habari. sijui za wapi hizo.
<br />
<br />

Hata nchi zilizoendelea huwa zinasema breaking news wanasema ni nini bila kuwa na habari zote na baadae ndio wanawasilisha.

Huyu mleta hii mada hajafanya kosa wewe na wengine kuweni na subira kama mnaharaka ya kupata habari zote basi nendeni kwenye maeneo ya tukio wenyewe au wafateni wahusika na sio kulalamika tu

Kalalamikeni huko kwa walio kama wewe/nyie
 
Ndio maana mimi niliacha siku nyingi kumvalue mtu kwa degree alizonazo, bali namvalue yeye mwenyewe personal kutokana na upstairs yake ikoje. Nawahakikishia kama mimi ningekuwa ni mtu wa Human Resource basi wasomi wengi wa Kitanzania wangekosa ajila kutokana na interview zangu.

Usitegemee kushinda kesi kama unawakilishwa na wakili wa aina hii. huyu akapate semina elekezi kwa Chenge na Nimrodi Mkono afundishwe how to keep very handsome money in ur account without facing investigation. Chenge anameet kuitwa msomi. ( hapa hoja sio kwamba ni fisadi au sio fisadi.)

Anashinda kesi nyingi tuu. Mfano mzuri kasome Justine Nyari & others vs Republic (unrepported case)
 
Habari imekaa ki-uongo uongo. Kesi ya high profile namna hii hao polisi watakuwa wajinga kiasi gani kum torture jamaa kwenye interrogation?

The fact kwamba jamaa ni lawyer mwenye jina mpaka Tanganyika Law Society wametoa ki-statement sidhani kama alikuwa kwenye chumba cha kuhojiwa bila lawyer, na itakuwa vigumu polisi kumbana mapu*bu mahabusu mbele ya lawyer wake.
 
Huu ni uongo ninavyojua huyo wakili hawawezi police kumfanyia torture kwa maana kila jicho la sheria linafuatilia haki ya mtuhumiwa wanaoteswa ni wanyonge mkubwa nenda sitakishari ukonga utapata jawabu
 
Ndio maana mimi niliacha siku nyingi kumvalue mtu kwa degree alizonazo, bali namvalue yeye mwenyewe personal kutokana na upstairs yake ikoje. Nawahakikishia kama mimi ningekuwa ni mtu wa Human Resource basi wasomi wengi wa Kitanzania wangekosa ajila kutokana na interview zangu.

Usitegemee kushinda kesi kama unawakilishwa na wakili wa aina hii. huyu akapate semina elekezi kwa Chenge na Nimrodi Mkono afundishwe how to keep very handsome money in ur account without facing investigation. Chenge anameet kuitwa msomi. ( hapa hoja sio kwamba ni fisadi au sio fisadi.)

Saigon,

Ile kauli ya "vijisenti" nayo ni katika usomi huo huo ama ? Msomi ana-sound like some hood rapper ambaye hana kitu zaidi ya braggadocios ?

Tanzanians, not to mention Sukumas - I speak as one-, are characterized by a dignified humility, which includes fessing up when you are caught with your pants down. That statement, in the face of our common abject poverty, was obscene and non-intellectual on any level, to say the very least.
 
Hivi Interpol wanajifanyia kazi kiholela tu Tanzania? Maana kila jambo sasa utasikia Interpol whats cooking?
 
naipenda Tanzania na nawachukia wote wanaipelekea ktk matatizo nchi yetu. But your days are numbered
 
Saigon,

Ile kauli ya "vijisenti" nayo ni katika usomi huo huo ama ? Msomi ana-sound like some hood rapper ambaye hana kitu zaidi ya braggadocios ?

Tanzanians, not to mention Sukumas - I speak as one-, are characterized by a dignified humility, which includes fessing up when you are caught with your pants down. That statement, in the face of our common abject poverty, was obscene and non-intellectual on any level, to say the very least.
Shida yako Kiranga utanisumbuwa kila mara kutumia Google translate, ngoja nideal na thread ya Arusha kwanza huku nitarudi baadae.
 
Ndio matumizi madogo madogo ya zile millioni 20 alizokutwa nazo kwenye gari. huyu alikuwa anashinda kesi kwa kuhonga pesa na si vinginevyo.

ndugu Huyu BWANA ALIKUWA ANAHONGA KESIZAKE AKILA MBA MILION 15 5 KAMA SIO 6 ZA HAKIMU AMA JAJI NA AIJALISHI ANASIMAMIA NANI ANASHINDA NA KUNA MAHAKIMU WENGI WAMETOKA KIMAISHA KWA AJILI YA MWALE AWAKUELEWI KABISA
 
HAHAHA MA HATER BWANA, every one with his or her different story, JEALOUS PEOPLE NEVER WIN, HAPO WATU FLANI WANAFURAHI, NGA**, oo*** jealous people never win baab chongeni sana mwisho mtanyamaza tu na kelele za chura hazimzuii te mbo kunywa maji
<br />
<br />
Hujasomeka vizuri una maanisha nini?au umeshtuka toka usingizini?
 
Back
Top Bottom