Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Cha Msingi ni kwamba kama uchunguzi utafanywa inabidi masha ajiuzulu ili kupisha uchunguzi huru na wa haki.sasa ni kushikia bango uchunguzi
Hivi hakuna mwandishi mwenye uwezo wa kumhoji haya? Mwanakijiji hujawahi kuongea nae? Hili halina ubishi kuwa alikula but i would like to know kama anafahamu hii kampuni ya Kijani Kibichi. Kama anafahamu basi atupe maoni yake.
Mwanakijiji naona imefika wakati huna la maana la kufanya.... With all due respect, Mengi kakukatia ngapi?
tik tak tik tak - for wete you well the tyde abydeth no man. Were it not for the synonymy of time and tide in the early uses, one would inevitably be reminded of the most famous example of the tide not waiting for any man, the example of King Alfred sitting on the shore ordering the tide not to come in - Alfred wot well that the tide would not wait on him !!
Kiongozi Mwanakijiji;
Huenda akawa ni mtu asiyependa kufuata utaratibu
Alikacha kupitia JKT
Aliingia UDSM kinyume na kigezo cha kupitia JKT
Unategemea nini? Tabia ya mtu haifichiki kwa muda mrefu.
Inapokuja suala la Opportunity na Maslahi ya taifa, chaguo liko wazi.
Mkuu nimeamini Masha mshikaji wako....niliona tangu kule kwenye celebrity forum ulimvyotetea kuhusu kile kimada chake up to now......- Mkuu Allien nilifkiri you are for real, kumbe ni yale yale I am very dis-apponted! Mana kama ni tabia ya mtu kutofichika basi tutaibua wengi sana kuanzia humu JF! na hizi madas!
Ila kwenye hili ninaamini kuwa wakili wa Masha atasiamama mwenyewe kwa miguu yake na patakua patamu sana hapo na hii habari.
Ukisoma makala ya Jumatano si ndio utadhani miye mdogo wake!?
Mkuu vita ya ufisadi ngumu.......unaweza kujikuta unapandikizwa bila kujijua yaani unakuwa PR wa mtu bila kutumwa bwa ha ha ha.......Mkuu Field Marshall ES... Kwanini Waziri Masha Unamtetea sana? Kwanini huwa unaumia sana data zake zikiwekwa wazi? just my curiosity mkuu... Gday!
Kiongozi Mwanakijiji;
Inapokuja suala la Opportunity na Maslahi ya taifa, chaguo liko wazi.
Waziri Masha ni mshirika katika kampuni ya mawakili ya
IMMMA ambayo mawakili wake wengine wawili ndio walionekana
kama wakurugenzi katika kampuni ya Deep Green Finance.
2: Lakini pia cha kushangaza na kushtua zaidi ni pale ambapo washirika wawili (patners) wa kampuni ya IMMMA mmoja anateuliwa
kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani (baadayeWaziri kamili) na mwingine anateuliwa kuwa Jaji licha ya wingu hili la wizi wa Benki
Kuu likiwa bado limeizunguka kampuni hiyo.
3: Vile vile kilichoshtua zaidi ni taarifa iliyochapishwa na gazeti la MwanaHalisi kumtaja kuwa mtoto wa Rais Kikwete ni mshirika kwenye kampuni hiyo ya IMMMA. Habari hizo zilipotangaa hakuwa mwingine isipokuwa Waziri Masha aliyejitokeza na kumtetea Ridhiwan Kikwete
licha ya ukweli kwamba yeye (Masha) yuko likizo toka shughuli za
kampuni ya IMMMA! Maswali yaliulizwa wakati ule ni kwanini Masha azungumzie mambo ya kampuni binafsi badala ya kuacha watu wa IMMA
kujibu tuhuma dhidi yao isipokuwa ni kwa sababu ya madaraka aliyokuwa
nayo?
Ukisoma makala ya Jumatano si ndio utadhani miye mdogo wake!?
Mkuu Allien nilifkiri you are for real, kumbe ni yale yale I am very dis-apponted! Mana kama ni tabia ya mtu kutofichika basi tutaibua wengi sana kuanzia humu JF! na hizi madas!
Ila kwenye hili ninaamini kuwa wakili wa Masha atasiamama mwenyewe kwa miguu yake na patakua patamu sana hapo na hii habari. [/SIZE]
- Mkuu Allien nilifkiri you are for real, kumbe ni yale yale I am very dis-apponted! Mana kama ni tabia ya mtu kutofichika basi tutaibua wengi sana kuanzia humu JF! na hizi madas!
Ila kwenye hili ninaamini kuwa wakili wa Masha atasiamama mwenyewe kwa miguu yake na patakua patamu sana hapo na hii habari.
Hivi hakuna mwandishi mwenye uwezo wa kumhoji haya? Mwanakijiji hujawahi kuongea nae? Hili halina ubishi kuwa alikula but i would like to know kama anafahamu hii kampuni ya Kijani Kibichi. Kama anafahamu basi atupe maoni yake.
La hasha !!!!!!!!!!!!!l
hilo liko wazi kaka yangu!!!kama yeye nae alikuwa na share kwenye hiyo kampuni
laziima amekula hela ya epa na anaitajika kuwajibika akiwa kama kiongozi anaeongoza
usalama wa watanzania!!!ila uwezi jua labda alirudisha hii serikali ni ya matapeli awachelewi kukwambia zilisharudishwa[/QU
Mama Mia,
Wanavyopenda pesa kuliko hutu sidhani kama watakuwa wamerudisha! Nasema hivyo kulingana na matendo yao! si unajua tena 'who seeks equity must come with clean hands'. Wote wanajua kwamba 'umma' hauwezi kuwafanya chochote. Kuamini serikali ya kibongo ni sawa na usiku na mchana...tizama matendo yao...