Wakiitwa makahaba kutoka bongo movie kuna makosa?

Jamani hivi hawa dada zetu wanakwenda wapi? Huyu alliimbwa mwanza fiesta kuwa ni kahaba akawaka kweli kweli na kilio juu, sasa kama una behave kama picha invyoonyesha kuna kosa ukiitwa kahaba? Hii ilikuwa Morogoro Fiesta

Kazi ipo!!! Cheap Popularity ni gharama kweli kweli!
Mkuu Duuh, ahsante sana nimekaona kakitu kanakomchanganya The platinumzzz. Lakini mbona kamesinyaaa hv! The platinumzzz ana haki ya kusepea kwa The mwegeleooozzzz.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom