Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Kinachotusumua waTZ ni udhaifu wa akili...Yani vitu vidogo hua tunavi overlook just imagine watu wanavyochangia hii post as if wamefanya research yeyote inaonesha huo ni mlima KM...Mbona KENYA wana milima na watalii wengi wanapanda? Na afadhali alieweka post ya mTZ aliepanda mlima everest kwani nae alionesha bendera ya TZ...Mbona ata uku mikoani kuna sehemu watu wameweka bendera za US na apo ni Mareakani? Sasa watu wanaanza kumuhusisha rais JK mara ipo siku tutakuta ametuuza mara dhaifu Jamani uongozi sio kukurupuka, uongozi ni subira ebu tujaribu kua na akili timamu sometimez.....
..........aiseeh mie watu wamenikera kweli ! kweli kabisa kuna feature yeyote katika hizo picha kuwathibitishia huo ni mlima Kilimanjaro ? Humu kuna watu vichwa vyao wanafugia nywele tu, baaaas !:embarassed2: