Wakenya wanyakua namba 1-2-3-4 kwenye marathon Chicago

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Ushindi wa kuhakikisha wamefagia kila kitu mtawalia na hakaribii yeyote, yaani namba moja, mbili, tatu na nne zimenyakuliwa na Wakenya. Mtakoma aisei....

Florence Kiplagat (Kenya) 2:21:32 2. Edna Kiplagat (Kenya) 2:23:28 3. Valentine Jepkorir Kipketer (Kenya) 2:23:41 4. Purity Rionoripo (Kenya) 2:24:47 5. Yebrqual Melese (Ethiopia) 2:24:49 6. Atsede Baysa (Ethiopia) 2:28:53 7. Serena Burla (U.S.) 2:30:40 8. Agnieszka Mierzejewska (Poland) 2:32:13 9. Sarah Crouch (U.S.) 2:33:48 10. Alia Gray (U.S.) 2:34:00
World Marathon Majors Chicago marathon women results
 
I'm not sayin I'm number one, uhh I'm sorry, I lied
I'm number one, two, three, four and five

KRS One - "Step Into A World (Rapture's Delight)"
 
Nimeona aisei tulifunika zote namba moja, mbili, tatu, nne na hadi tano, naomba mod Invisible arekebishe title ya huu uzi na kuongeza 5. Halafu maradhon iwe marathon.

Two-time World Marathon champion Abel Kirui is this year’s Chicago Marathon winner, crossing the line in a time of 2:11:23.

Kirui was the Berlin 2009 and Daegu 2011 gold medalist.

The 34 year old led a Kenyan clean sweep of 1-2-3-4-5 to the finish line, probably announcing his return to form after four injury plagued seasons since he won silver at the London 2012 Olympics.

“I was putting in my prayers and efforts in winning today. I had a very strong mind, this time I knew it was a matter of life and death. The course favoured me and I was lucky that the weather was not so humid,” said the jubilant Kirui.

Kirui said that he now has his eyes set on winning in London next year.

“I was praying so hard that I get something here so that I request my manager to give me the three guys; Eliud (Kipchoge), Bekele (Kenisa) and Wilson Kipsang,” said Kirui after his triumph.

Dickson Chumba, who went into the race as the defending champion, was dethroned and came in second in a time of 2:11:26 despite displaying a spirited fight to retain the crown in the 42 kilometer race.

At some point, it appeared like the 29 year old’s dream would come true when he put Kirui to the task in the last final kilometer, but Kirui managed to pull away and held on to the finish line, capping his win with a majestic dance.

Gideon Kipketer came in third with a time of 2:12:20 seconds ahead of compatriot Paul Lonyangata who registered a time of 2:13:17.

Lonyangata had earlier in the race attempted to pull away at the 25 kilometer mark, but his efforts summed up a little more like pacesetting as he failed to shake off the chasing pack.

Lonyangata, 24, eventually gave up the fight with a few miles to the 40 kilometer mark and never recovered.

Compatriot Stephen Sambu stretched home behind him with a time of 2:13:35.

On the women side, Florence Kiplagat proved her prowess and defended her crown, the second woman to do so in the competition, coming home in a time of 2:21:32.

Kiplagat replicated her male compatriots by leading a 1-2-3-4 sweep for the ladies.

Edna Kiplagat came in second with a time of 2:23:28 followed closely by Valentine Kipketer who clocked 2:23:41.

Purity Rionoripo wrapped up the Kenyan sweep by hitting the crossing line at 2:24:47.

Top Ten Finishes at the Chicago Marathon

Men

1. Abel Kirui(KEN) 2:11:23

2. Chumba, Dickson (KEN) 2:11:26

3. Kipketer, Gideon (KEN) 2:12:20

4. Lonyangata, Paul (KEN) 2:13:17

5. Sambu, Stephen (KEN) 2:13:35

6. Ayele, Abayneh (ETH) 2:13:52

7. Fukatsu, Takuya (JPN) 2:13:53

8. Estrada, Diego (USA) 2:13:56

9. Gokaya, Koji (JPN) 2:14:34

10. Kibet, Elkanah (USA) 2:16:37

Women

1. Florence Kiplagat (KEN) 02:21:32

2. Edna Kiplagat (KEN) 02:23:28

3. Valentine Kipketer (KEN) 02:23:41

4. Purity Rionoripo (KEN) 02:24:47

5. Yebrgual Melese (ETH) 02:24:49

6. Atsede Baysa (ETH) 02:28:53

7. Serena Burla (USA) 02:30:40

8. Agnieszka Mierzejewska (POL) 2:32:13

9. Sarah Crouch (USA) 2:33:48

10. Alia Gray (USA) 2:34:00

Kenyans lead clean sweeps at the Chicago marathon
 
Kuna mtu alisema Wakenya inabidi wafungiwe kushiriki marathon wawe na marathon yao peke yao.
 
Hehehehe!! Wakenya walikuja wakanyakua Kili marathon kuanzia namba moja hadi tano. Muandae Dar marathon wakuje tena.
 
Kenyans Dominic Ondoro and Jane Chebii won the Twin cities Marathons...

Twin Cities Marathon champ sets course record
Dominic Ondoro come in under 2:09 at the finish line in St. Paul.

By Jason Gonzalez Star Tribune
October 9, 2016 — 1:59pm
Gallery Grid
Prev
1/16 Next

Carlos Gonzalez – Star Tribune
icn-relatedcontent-gallery-30-30.svg
Gallery: Jane Kibii won the women's TC Marathon with a time of 2:30:01. <img src="http://metrics.startribune.com/b/ss/nmminneapolis/1/JS-1.6.4--NS/17505?pageName=Twin Cities Marathon&channel=Photo Gallery&server=startribune.com&c2=V20161005&c3=Photo&c4=Photo Gallery&c5=noscript&c7=Photography&c16=&c24=Photo Gallery&c31=Article%20Photo%20Gallery&c33=&c71=websites&c1=http%3A%2F%2Fstmedia.startribune.com%2Fimages%2F1000%2A761%2F08-212740%2B11cgMARA101016.jpg" height="1" width="1" border="0" alt="" />

Carlos Gonzalez – Star Tribune
icn-relatedcontent-gallery-30-30.svg
Gallery: Dominic Ondoro won the men's TC Marathon by setting a new course record of 2:08:51. <img src="http://metrics.startribune.com/b/ss/nmminneapolis/1/JS-1.6.4--NS/12926?pageName=Twin Cities Marathon&channel=Photo Gallery&server=startribune.com&c2=V20161005&c3=Photo&c4=Photo Gallery&c5=noscript&c7=Photography&c16=&c24=Photo Gallery&c31=Article%20Photo%20Gallery&c33=&c71=websites&c1=http%3A%2F%2Fstmedia.startribune.com%2Fimages%2F287%2A450%2F08-212740%2B09cgMARA101016.jpg" height="1" width="1" border="0" alt="" />

Carlos Gonzalez – Star Tribune
icn-relatedcontent-gallery-30-30.svg
Gallery: Runners left the starting line of the Twin Cities Marathon in Minneapolis. <img src="http://metrics.startribune.com/b/ss/nmminneapolis/1/JS-1.6.4--NS/54596

– Star Tribune
icn-relatedcontent-gallery-30-30.svg
Gallery: &lt

Carlos Gonzalez – Star Tribune
 
kwa diamond peke yake....ata sisi tuko na sauti sol na redsan.wote wawili wakimataifa
I like the way u ignored Ali kiba, AY, Joh Makini, RayVan, Vanessa mdee, Omy dimpoz,
And many many many others,
Halafu ukipita nairaland they recognise sauti sol as tzs. See these nominations. Hehehe
1476045540343.png
 
View attachment 415260

Sielewi hii inahusiana vipi na mada husika, lakini ujue hata hao Bongo stars unaowataja hapa wote lazima wapate some Kenyan touch ndio wanyanyuke kimataifa. Huyo hapo Vanessa Mdee ni alumni wa CUEA, Nairobi. Halafu wnegi wao akiwemo Diamond mwenyewe wamepata baraka za Ogopa DJs ili wafaulu. Sisi tunawajenga tena kwa kulipia shows zao na kuwanufaisha, sio hayo mambo ya vijana wa Dar milegezo na kudownload download tu.
 
Hahaha hahaha, milegezo imefikaje hapa?
Sasa kwa nini musiwabebe hao kina juakali na kina Nameless,
Binafsi huwa nikiwahi kumaliza majukumu yangu na kurudi nyumbani kwangu mapema huwa naangalia Citizen TV, kipindi che mseto east Africa, yaani wasanii wa Kenya wana safari ndefu aisee.
Anyway, lakini nawapongeza wanariadha wa Kenya eldoret kwa kuwa genes zao zimefanya bendera ya Kenya kupepea kimataifa.
 
Inategemea na taste yako kwenye muziki, maana Wakenya sisi huwa tunafurahia nyimbo za wasanii bila kuzingatia wanatoka nchi gani, sasa nyie laana ya ubaguzi na majungu huwa imewafanya hata unapokaa sebuleni ukitizama mseto unakosa kufurahia mwanzo mwisho.

Mimi kwenye playlist yangu nina nyimbo za Wasanii kutoka kotekote na nimewachanganya bila kuwachanganua. Nipo nao hata wa kutokea South.

Halafu hapo Bongo nilishangaa kumbe wasanii karibia wote ambao wanasikika wametokea Kigoma asili za Warundi. Hilo nililiona kwenye wimbo wa Kigoma all stars.
 
Hehehehe, i like where u are heading jamaa, Kigoma is tz btw...then binafsi pia ni fani wa muziki wowote ule mzuri, hapo ke napenda sana ngoma za sauti Sol, wale madogo wa hat band na msani wa kipekee kama Jaguar..
Halafu unajichanganya mkuu.. Ngoja nikupe highlight kidogo, hawa ni miongoni mwa wasanii maarifu africa/duniani , na asili zao ni huku

Diamond platinumz---dsm/kigoma
AY---mbeya
Vanesa--moshi
Ali kiba---Iringa
Mwana FA----Tanga
Joh makini---Arusha

Una jipya?
Pumzika boss ishakuwa monday yet!!
 
Basi kawarekebishe hawa wanaosema Ali Kiba katokea Kigoma, maana kwa sasa Bongo imebebwa na Diamond na Kiba basi, wengine wanasindikiza tu Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Anyway kwaheri, usiku mwema.

Back
Top Bottom