Wakenya Waiba Shs. 338.9 milioni mali ya mwajiri wao Barclays Bank.

debating with ****** like kanyabonya & wacha1 is just a waste of time,wizi ni mbaya no matter what lakini their arguments is like they are still living in stone age,sad sad sad kuwa na ****** like these fools in our society na wanajiita wasomi na tena ni public servants...Tanzania will never move ahead kama majority of their citizens ni likes of kanyabonya,mungu atusaidie.

Yeah, I think it's time these guys really acted like they had a chance of sitting behind a blackboard; like they effortlessly claim.

Kanyabwoya: It's supposed to be "Wezi waiba Shs. 338.9 blah ..blah ..blah." and then later on tell us its Kenyans, but not shamelessly exposing your ignorance, eti Wakenya, that's not how.
 
Muhasibu TRA mahakamani tena kwa fedha za wizi

Na Muhibu Said

27th July 2010

watuhumiwa%281%29.jpg

Watuhumiwa wa kesi ya kula njama na kujipatia Sh milioni 338.9 mali ya Benki ya Barclays Tanzania Limited kushoto Godwin Wasonga Paulla na Joseph Kaplamai Rutto wakiwa wameficha sura zao jana (sura zao kama zinavyoonekana kwenye picha ndogo) katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam ambako walifikishwa kujibu mashtaka 10 dhidi yao.

Mhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Justice Katiti, anayekabiliwa na kesi ya kula njama, kuiba na kutakatisha fedha haramu za mamlaka hiyo, ameunganishwa katika kesi mpya yenye mashtaka 10 ya kula njama na kutapeli zaidi ya Sh. milioni 338.9, mali ya Benki ya Barclays Tanzania Limited ya jijini Dar es Salaam.
Pia, Katiti ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, anatuhumiwa kuidanganya TRA kwa nia ya kufanikisha utapeli wa fedha hizo.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, inawakabili pia washtakiwa wengine watano, akiwamo mtumishi wa Benki hiyo, Godwin Paulla na Joseph Kaplamai Rutto, ambaye ni raia wa Kenya.
Rutto ni mshtakiwa wa sita, wakati Paulla ni mshtakiwa wa tano katika kesi hiyo. Wengine ni Fortunatus Muganzi, ambaye ni mshtakiwa wa pili, Robert Mbetwa wa tatu na Gideon Otulla mshtakiwa wa nne.
Wote kwa pamoja, wanatuhumiwa kutenda makosa hayo dhidi ya benki hiyo na TRA, katika tarehe tofauti kati ya Septemba na Oktoba 2008, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria.
Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Aloyce Katemana, Wakili Mkuu wa Serikali, Frederick Manyanda, alidai jana kuwa katika shtaka la kwanza, kati ya Septemba 29, 2008 na Oktoba 6, mwaka huo (2008), washtakiwa wote walikula njama kwa pamoja na kuitapeli benki hiyo, kinyume cha sheria.
Manyanda alidai katika shtaka la pili, Septemba 29, 2008, mshtakiwa wa tano na wa sita, kwa makusudi ya kurubuni na kudanganya, walighushi fomu namba E. 17 ya Benki ya Barclays Tanzania Limited ya maombi ya kuhamisha fedha za mteja na kuonyesha kwamba, kampuni ya Tourism Promotion Services (Tanzania) Limited, iliiomba benki hiyo kuilipa kampuni ya East Africa Procurement Services Limited Sh. 338,935,337.46 kwa ajili ya kuiuzia mahema na vifaa vya hoteli.
Katika shtaka la tatu, Manyanda alidai kuwa Septemba 29, 2008, washtakiwa hao (wa tano na sita) katika Ofisi Kuu ya Benki ya Barclays Tanzania Limited, iliyoko Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kwa ufahamu na udanganyifu, waliwasilisha fomu hiyo kuonyesha kwamba, kampuni ya Tourism Promotion Services (Tanzania) Limited iliomba benki hiyo kulipa kampuni ya East Africa Procurement Services Limited kiasi hicho cha fedha kwa madai ya kuiuzia vitu hivyo.
Manyanda alidai pia kuwa katika shtaka la nne, kati ya Oktoba 6 na 30, 2008, washtakiwa wote sita, kwa makusudi ya kurubuni na kudanganya, walijipatia kutoka Benki ya Barclays Tanzania Limited kiasi hicho cha fedha kwa madai kwamba, kampuni ya East Africa Procurement Services Limited ilikuwa imelipwa na kampuni ya Tourism Promotion Services (Tanzania) Limited kwa ajili ya kuiuzia vitu hivyo.
Alidai katika shtaka la tano, Septemba 30, 2008, mshtakiwa wa kwanza, Katiti, akiwa mwajiriwa katika Ofisi Kuu ya TRA, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam kwa makusudi ya kudanganya, aliandaa na kuwasilisha kwa mwajiri wake taarifa potofu kujaribu kuonyesha kwamba, kampuni ya Tourism Promotion Services (Tanzania) Limited ilikuwa imelipa kiasi hicho cha fedha kwa TRA kama Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) Agosti, 2008, wakati akijua kuwa haikuwa kweli.Manyanda alidai katika shtaka la sita, Oktoba 6, 2008, mshtakiwa huyo akiwa mwajiriwa katika ofisi hiyo, aliandaa na kuwasilisha kwa mwajiri wake (TRA) nyaraka feki na kuonyesha kwamba, kampuni ya Tourism Promotion Services (Tanzania) Limited ililipa kiasi hicho cha fedha kwa TRA kama VAT Agosti, 2008 wakati akijua kwamba, haikuwa kweli.
Alidai katika shtaka la saba, kati ya Septemba 29, 2008 na Oktoba 6, mwaka huo (2008), washtakiwa wote sita kwa pamoja walikula njama kufanya kosa la kutakatisha fedha haramu, kinyume cha sheria.
Manyanda alidai katika shtaka la nane, kati ya Oktoba 6 na 30, 2008, katika Benki ya CRDB Tawi la Holland, lililoko Wilaya ya Ilala, washtakiwa wote sita kwa pamoja, walitakatisha kiasi hicho cha fedha na kuzihamisha kutoka kwenye akaunti namba 0121186000 ya benki hiyo inayomilikiwa na kampuni ya East Africa Procurement Services Limited kwenda kwenye akaunti namba 1065822, namba 600283 ya Benki ya Barclays Tanzania Limited na namba 240603610 ya Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) na ya watu binafsi, wakati wakijua kuwa fedha hizo ni zao la fedha haramu.
Katika shtaka la tisa, Mwendesha Mashtaka kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa nchini (Takukuru), Benny Lincoln, alidai kuwa Oktoba 6 na 30, 2008, mshtakiwa wa tatu na wa nne, kwa pamoja walihamisha kiasi hicho cha fedha kutoka kwenye akaunti namba 0121186000 inayomilikiwa na kampuni ya East Africa Procurement Services Limited katika Benki ya CRDB Tawi la Holland, hali wakijua kuwa fedha hizo ni pato linalotokana na rushwa.
Lincoln alidai katika shtaka la kumi, Oktoba 6 na 30, 2008, washtakiwa wote sita walijipatia na kutumia kiasi hicho cha fedha hali wakijua kuwa fedha hizo ni zao linalotokana na rushwa.
Washtakiwa wote walikana mashtaka yote na kurudishwa rumande kutokana na kesi za aina hiyo kutokuwa na dhamana kisheria.
Wakili Manyanda aliiambia mahakama kuwa wako katika hatua za mwisho za upelelezi wa kesi hiyo, ambayo iliahirishwa hadi Agosti 9, mwaka huu.

CHANZO: NIPASHE

MAONI YANGU:Wakenya hawawezi kuiba ndani ya Tanzania bila kushirikiana na Watanzania,Kama ambavyo wahindi,wazungu,wachina na every TOM,DICK & AHMED wanavyojichukulia ndani ya shamba la bibi,lazima kuna mkono wa MTANZANIA.
 
Hapa nichangie kidogo, BARCLAYS Bank ni international bank hivyo mwajiriwa wa Tanzania anaweza kwenda Uganda, Kenya na kwingine. Vijisenti walivyozoa walitegwa na mjanja huyu wa TRA (KATITI) ambaye tayari ana kesi nyingine ya KUCHAKACHUA bn 3.6 na watanzania wenzako benki ya NBC. Sio suala la wakenya hapa, ni yeyote mwenye roho ya KIBAKA.
 
....... sasa kama wana degree nyingi kama za islamic university hapa kwetu utawaita wamesoma? kusoma kwao si kureflect na maendeleo ktk nchi yao? ....... they are peoples with no manners! we should not even get close to these people, they are so immorals.

Wewe Bona naona hata kama hapana mantiki lazima uzungumzie kitu "islamic"? Hapa pana uhusiano gani na yanayozungumzwa?

Sasa hiyo University uliyokwenda wewe ni ya aina gani mbona hata kiingereza kinakupiga chenga? Kajifunze grammar kijana ndiyo ukosoe wenzako.
 
Wakenya Godwin Wasonga Paulla na Joseph Kaplamai Rutto walifikishwa mbele ya mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam jana wakiwa wameficha sura zao kwa tuhuma za wizi wa kiasi hicho cha fedha na kujibu mashitaka kumi dhidi yao. Wanadaiwa kushirikiana na watu wengine katika kufanya uhalifu huo.

My take: Je haya ndiyo matunda ya integration tunayoyahitaji, si kwamba wanakuja kudhulumu kazi za wenyeji, lakini pia ku-instill culture ya wizi kwenye jamii ya wenyeji, halafu eti ni aggressive na wamesoma sana kama wanavyodai Nomasana na Smatta..we better do without. We don't need these thugs. Nyaralego, RealDeal and co, do you hear me?

I knew it!! Lazima unge ni taja jina...Why must it always be about mentioning names in here? You think all those names you have mentioned are the only Kenyans in this forum?
The Kenyans were working in a Barclays bank in DAR...they must have colluded with their Taznanian colleagues. There's always 2 sides to a coin.
Personally i am not an advocate of stealing, especially stealing from ones employer. It's a waste of time because this kind of money never lasts. Easy come easy go. What is sad is that, this is not a lesson easily learnt. Why ruin a career just for a few millions? After they divide that stolen money among themselves what is left? not enought to be a fugitve for.
 
Hope they invested the loot somewhere safe, after serving their time in the slammer, they'll have a good life.
 
Wakenya Godwin Wasonga Paulla na Joseph Kaplamai Rutto walifikishwa mbele ya mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam jana wakiwa wameficha sura zao kwa tuhuma za wizi wa kiasi hicho cha fedha na kujibu mashitaka kumi dhidi yao. Wanadaiwa kushirikiana na watu wengine katika kufanya uhalifu huo.

My take: Je haya ndiyo matunda ya integration tunayoyahitaji, si kwamba wanakuja kudhulumu kazi za wenyeji, lakini pia ku-instill culture ya wizi kwenye jamii ya wenyeji, halafu eti ni aggressive na wamesoma sana kama wanavyodai Nomasana na Smatta..we better do without. We don't need these thugs. Nyaralego, RealDeal and co, do you hear me?

Wewe kweli kanyabwoya.....Yaani kuna mtanzania anayeweza kumuonyeshea mkenya kidole kuhusu tabia ya wizi na ufisadi. Na wale walioiba hazina na sasa TRA nao ni wakenya?

Kama una chuki zako za integration tafuta sababu makini ukubalike lakisi cheap propaganda kama hizi.

omarilyas
 
Wewe sijui kama umesoma post zangu za nyuma, unaniuliza swali ambalo halina kichwa wala miguu, kwa sababu maelezo ya nyuma yanajitosheleza. Aliyekwambia watanzania hawaibi ni nani? Ndiyo naichukia integration hii inayofanyika blindly, sasa wewe unaipendea nini? Lete hoja, na hili halijaanza leo..au nyie ndo makuwadi wenyewe. Kwani kusema Wakenya wameiba, ina maana watanzania hawaibi? Kwani lengo la post yangu ilikuwa kuelewesha watu kuwa watanzania hawaibi?
 
Lete hoja, na hili halijaanza leo..au nyie ndo makuwadi wenyewe.

Ukifikia kujiita kanyabwoya sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda wangu kuhojiana nawe.....Ila tu yawezekana ni wewe unayepinga blindly lakini katu serikali ya Tanzania haijawahi kuchukua hatua yoyote kuhusu integration blindly. But anyway, katika kila jamii/taifa ni lazima kuwepo Myopic Nationalists wa aina yako na kwa kiasi fulani mna umuhimu wenu

omarilyas
 
Smata unaboa sana!

i aint tryina impress no fruit, opinions like an a** hole, everybody has one. You can write all your half witted douche nozzle crap and I wont call you out, but the momment you mention my name in your retarded rants ama put you in your place figuratively. I write what I feel without wondering what the next 'bag will feel about my post.

Interesting though.
Not too sure if your comment reflects majority of JF's posters or its just the lowest level of porch-monkey reasoning you have.Still thinking…

GONE.
 
Maana ya Kanyabwoya ni nin? Au unabwabwaja tu, toa tafsiri. Una uhakika mimi nafikiria nini wewekujiita jina lako hilo. Wewe kipofu ndio unaona hivyo, kwanza unaelewa level gani
ya integration ninayoizungumzia? Wewe umuhimu wako kwenye nchi hii ni nini? Sihitaji kurudi kwenye mada ambazo zilishaongelewa muda mrefu tena na thread nyingi! Mimi nili post kuhusu Wakenya walioiba, sasa kinachokuwasha ni nini? Kama huna haja ya kuhojiana na mimi, aliyekulazimisha kujibu post yangu ni nani?
 
Actually, I can boldly say that the choice of all Kenyan crew deployed to JF to moderate and protect Kenyan interests was wrong. Go and tell your bosses about this. As usual, Smata - add some more insults...... thats what you are inside out, nothing but just that. Does this boost your ego? loser.....
I dont believe all Kenyans are like you guys, thats why you are a wrong choice.
 
Unaboa sana sana sana

Is this all your corny a** can say,... thats why you quoting Russians directly you uneducated fruit. You getting homotional just because two Kenyans with the help of some Tanzanian stole (insured) money from an international bank, while you look away when whites rape your country dry off its minerals. Thats why you stay loosing while you console yourself with the illusion of peace that you have over there,.. sh*t will hit the fan one day and the old adage will come true, who laughs best laughs last..
 
i aint tryina impress no fruit, opinions like an a** hole, everybody has one. You can write all your half witted douche nozzle crap and I wont call you out, but the momment you mention my name in your retarded rants ama put you in your place figuratively. I write what I feel without wondering what the next 'bag will feel about my post.

Interesting though.
Not too sure if your comment reflects majority of JF's posters or its just the lowest level of porch-monkey reasoning you have.Still thinking…

GONE.
Smata, IF YOU KEEP ON USING SUCH AN OFFENSIVE TERM LIKE THE HIGHLIGHTED ONE ABOVE, CONSIDER YOURSELF BANNED.
CC: Mods.
 
Is this all your corny a** can say,... thats why you quoting Russians directly you uneducated fruit. You getting homotional just because two Kenyans with the help of some Tanzanian stole (insured) money from an international bank, while you look away when whites rape your country dry off its minerals. Thats why you stay loosing while you console yourself with the illusion of peace that you have over there,.. sh*t will hit the fan one day and the old adage will come true, who laughs best laughs last..

Mbona sijaona Chupaku amekutukana wapi? Why u hurling all that to him? Mwizi huyu kutoka Kenya ana vituko? Kuna watu shida yao ni kutukana tu, hata wasiowatukana. Mimi natukana watukanaji! Jiheshimu, hivyo vihela vya mangumashi vitakupeleka pabaya! So your point is for us to allow Kenyans to steal as long as foreigners/others are stealing?
 
Actually, I can boldly say that the choice of all Kenyan crew deployed to JF to moderate and protect Kenyan interests was wrong. Go and tell your bosses about this. As usual, Smata - add some more insults...... thats what you are inside out, nothing but just that. Does this boost your ego? loser.....
I dont believe all Kenyans are like you guys, thats why you are a wrong choice.

Chupikuu, you have a right of opinion, and when I come and post garbage and somehow manage to string your name along, you have a right to respond.. I was level headed, shared my thoughts whether positive or negative (Depends on the reader), then you started potraying your poor educational background by trying to cast me out, it was only logical I call you out for what you are....

seriously you dont want to know what boosts my ego, and no its not talking isht on blogs and forums.
 
Mbona sijaona Chupaku amekutukana wapi? Why u hurling all that to him? Mwizi huyu kutoka Kenya ana vituko? Kuna watu shida yao ni kutukana tu, hata wasiowatukana. Mimi natukana watukanaji! Jiheshimu, hivyo vihela vya mangumashi vitakupeleka pabaya! So your point is for us to allow Kenyans to steal as long as foreigners/others are stealing?

Pia mie sijamtukana, I just put down observations from his posts, nothing major..
 
Back
Top Bottom