Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na hatarishi kwa usalama na utendaji kazi wa taifa letu kumekuwapo na influx kubwa ya raia wa nchi jirani kama wafanyakazi katika moja ya taasisi nyeti na kubwa katika utendaji wa serikali ya jamuhuri ya muungano.
Pamoja na malalamiko yaliyoweza kuwasilishwa kwa vyombo husika vya usalama hatujaona hatua yoyote mathubuti ilochokuliwa mpaka sasa kwa kuwa raia hao wa kigeni bado tunao mpaka wakati huu katika ofisi zetu za serikali na wengi wao wamekuwa wakijitambulisha kwa ukabila wa maeneo yanayopakana na nchi zao.
Najua watu usalama mpo humu naomba mfuatilie hili suala. Asanteni sana.
********
UPDATE: Serikali inachukua hatua? - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/335327-wafanyakazi-wageni-vihiyo-wasakwa.html