Wakenya lazima wawe na digrii kuingia Dubai

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
UAE's new regulations require visiting Kenyans to have a degree certificate

phwetangula1702l.jpg

Government Spokesman Alfred Mutua says Foreign Affairs minister Moses Wetang'ula (pictured) will be travelling to the UAE within the week to address the simmering diplomatic tiff.



By ALPHONCE SHIUNDU

Posted Sunday, April 18 2010 at 18:04


Thousands of Kenyans going to or passing through Dubai (United Arab Emirates) will need a degree certificate to get a visa into the Arab country.

A degree certificate “or higher” is required for one to enter the UAE, otherwise, without the Visa, you will not enter and won’t leave, but will be detained at the airport.

The rules were effected last Monday, just four days after the UAE Foreign Affairs Minister Sheikh Abdullah Al Nahyan met both President Kibaki and his Kenyan counterpart Moses Wetang’ula in Nairobi.

Kenya and UAE then signed a memorandum to open doors for the oil-rich Arab state to set up a mission in Kenya.

But even before the ink dried on the agreement, the UAE slapped the new regulation barring Kenyans without Bachelors degree from entering Dubai -- the busiest aviation hub in the Middle East.

This means that the 369 Kenyans in Iraq, the 36 in Afghanistan and the 36,000 others who live and work in Dubai, will not dare leave unless they have visa approval. That is besides the thousands of traders who make daily trips to the international trade hub in the middle East.

The exact reasons for the new move are unknown but the chairman of Parliament’s departmental committee on Foreign Relations and Defence, Mr Aden Keynan, said it was as a result deportation of UAE nationals touring the country.

“It is unfair for the Dubai government to punish all Kenyans over this misunderstanding,” Mr Keynan said. “Mr Wetang’ula and his team must be proactive in their dealings with such crucial trade partners so that such hitches do not occur.”

Speaking to the Nation on Sunday, Government spokesman Alfred Mutua said Mr Wetang’ula will be travelling to the UAE within the week to address the simmering diplomatic tiff.

Foreign Affairs permanent secretary Thuita Mwangi and Dr Mutua said the move had not been officially communicated.

A US firm operating in Iraq has warned its Kenyan employees who were due to return home for a two-week break that should they leave their station, “there’s no guarantee that the employee will have a Dubai visa approved for their return.”

The firm, Kellog Brown & Root Proprietary Data, employs hundreds of Kenyans as mechanics and electricians in Army bases in Iraq.

According to correspondence seen by the Nation between the company and the Kenyan Mission in Abu Dhabi, no Kenyan without a Dubai visa will be allowed to transit through the airport.

However, Dr Mutua insists, Abu Dhabi reserves the right to change its visa regulations “but the minister will find out what the real problem on this situation is.”

The Kenyan mission in Abu Dhabi is exploring ways to get those Kenyans without visas to transit via Dubai into other countries in the Middle East.

http://www.nation.co.ke/News/Varsit...er Dubai/-/1056/901834/-/o1ni8yz/-/index.html
 
jee kuna na nchi nyengine ilowekewa masharti hayo au Kenya peka yake?
 
The exact reasons for the new move are unknown but the chairman of Parliament's departmental committee on Foreign Relations and Defence, Mr Aden Keynan, said it was as a result deportation of UAE nationals touring the country.

aah kumbe wana mzozo!
 
Theres most definitely a bigger picture here...I will wait and see first...Other than that it's the most absurd requirement for a visa i have ever heard.
 
Was listening to classic FM this morning and one of the presenters said that it's so easy getting a fake degree in downtown Nrb, so that wount be a problem for people who really have the need to go to or pass through UAE.
 
Hii habari nimeisikia BBC. Kwa mujibu wa msemaji 1ja aliyehojiwa Inaonenekana maofisa wa uhamiaji wa kenya walichemsha na wakusumbua watu fulani wa UAE( inawezekana walikuwa wakubwa). Na mbaya zaidi walidia rushwa na wakaenda mbali zaidi kubugudhiwa kwa kuhofiwa kuwa ni magaidi. na wale watu walirudishwa UAE

Kwa hiyo hii sheria ni kama adhabu na kisasi kwa kenya iimigration conduct waliyofanya wa wale raia wa UAE. kwa hiyo inawezeakana hii ban ikawa lifted baada ya wakenya kuomba msamaha
 
lol.. too funny.. Wakenya wanalo kidogo mapaka wakalambe makobazi ya Sheikh Nahyan...lol
 
Foreign Affairs Minister Moses Wetangula is tonight travelling to the United Arab Emirates to negotiate for a repeal of a new visa requirement that bars Kenyans without at least a bachelors degree from travelling to the Middle East country. The new regulation according to assistant minister Richard Onyonka is a retaliatory measure following UAE's complaint that its citizens were being harassed and treated as terrorists at Kenyan entry points. and as Sylvia Chebet reports, the new regulation could be a blow to over 35,000 Kenyans working in middle east alongside thousands more of businesspeople who source their goods from Dubai



For more newsGONGA HAPA
 
This is what can be described as the zenith of lunacy. Waarabu are acting totally irrational on this matter, simply because their people were mistreated by Kenya's officials it doesn't mean they should do the same. One should reminds them that two wrongs don't make a right.
 
Kwanini Tanzania isiige mfano wa UAE,nadhani bado hatujachelewa.
 
Nasikia waliwanyanyasa raia wa Dubai wakawa deport. Sasa inakula kwao
 
Nasikia waliwanyanyasa raia wa Dubai wakawa deport. Sasa inakula kwao

I hope they teach them a lesson, dunia nzima inawafahamu kuwa wanaringa, wanajifanya wao wako juu, wanawaradhau sana watu wa nchi zingine, they think Kenya is some kind of a developed and illiterate free country. wanahangaika sana kusema ukweli. at the end of the day, siku zote huwa wanaambulia aibu tupu.

hata kujiunga na Tz katika east africa, moja ya sababu watz wanaona kama si vyema kujiunga nao, ni dharau, kiburi na majivuno. wanafikiri hatuwezi kitu bila wao na kwamba wao wako juuuu. nawapa hongera Dubai kwa kufanya hivyo. good job.
 
my friend hawa jamaa ni haki yao kufanyiwa hivyo, kwani hawana utu hata chembe. no Kenyans even wako wa kikuyu,jaluo,kale and others lakini wakenya hakuna, kwani hata ndani ya kenya yenyewe hawana utaifa wanatambuana kwa ukabila ni wabinafsi vibaya hawafai. na kumbuka last 2 years walinikatalia kupanda ndege ya kq kwenda Sudan just becose Watanzania tunapewa visa ya kuingia sudan on arrival and kenys are not, washkaji waligoma kabisa wakisema kwani waTZ ni kinanani. nadhani wanahitaji kibano zaidi
 
my friend hawa jamaa ni haki yao kufanyiwa hivyo, kwani hawana utu hata chembe. no Kenyans even wako wa kikuyu,jaluo,kale and others lakini wakenya hakuna, kwani hata ndani ya kenya yenyewe hawana utaifa wanatambuana kwa ukabila ni wabinafsi vibaya hawafai. na kumbuka last 2 years walinikatalia kupanda ndege ya kq kwenda Sudan just becose Watanzania tunapewa visa ya kuingia sudan on arrival and kenys are not, washkaji waligoma kabisa wakisema kwani waTZ ni kinanani. nadhani wanahitaji kibano zaidi

kwani waTZ ni kina nani? naomba unijibu hilo swali? Twaongea mambo ya dubei, wewe watoka nje ya mada waanza kubadilisha mwelekeo wa thread hii, ndio maana mwadharaulika nyie.
 
I hope they teach them a lesson, dunia nzima inawafahamu kuwa wanaringa, wanajifanya wao wako juu, wanawaradhau sana watu wa nchi zingine, they think Kenya is some kind of a developed and illiterate free country. wanahangaika sana kusema ukweli. at the end of the day, siku zote huwa wanaambulia aibu tupu.

hata kujiunga na Tz katika east africa, moja ya sababu watz wanaona kama si vyema kujiunga nao, ni dharau, kiburi na majivuno. wanafikiri hatuwezi kitu bila wao na kwamba wao wako juuuu. nawapa hongera Dubai kwa kufanya hivyo. good job.

I think you should also do the same, and we see who will suffer.
 
I think you should also do the same, and we see who will suffer.

smatta...do u really think WE TANZANIANS will suffer???..HOW?...unataka kusema No kenya No Tanzania sio?...angalia vizuri naamini KINYUME CHAKE NDIO SAHIHI
 
nilikuwa sijui kumbe "our northern neighbours" hamjasoma???...sasa kama kigezo ni hiyo digrii tena moja tuu watu about 3000 watashindwa kusafiri plus x'000 wanaofanya biashara....sasa tambo zenu hapa EAC ya kuwa mmesoma , mnaelimu mnakiingereza na blahblahh kibao ziko wapi??...hapo dubei wameomba degree...marekani wakiomba masters degree ndio kabsaaa...mie naona hapa Tanzania tuwaombe cheti cha form IV na muwe mumefaulu kiswahili ndio muingie kwetu...wallah mutaishia kuishi nairobbery kwenu...

majirani rudini shule mkasome..maana mnanitia aibu kuwa hamna degrees then hamjasoma..thats a definition ya elimu....jengeni shule na vyuo musome acheni kujisifia ujinga mtupu
 
I think you should also do the same, and we see who will suffer.


Wakenya kwa tabia zao, ni kinyesi cha uhalo..nikiwasikisikia nataka hata kutapika. Lakini dawa yao inachemka..dharau zao zitawagharimu. Unahitaji kutafuta maisha kwenye nchi ya mtu halafu waleta arrogance..huo si wendawazimu?LIA KWA TANZANIA ITAKULA KWAO!
 
Back
Top Bottom