wakenya kujenga uwanja wa ndege karibu na mlima kilimanjaro faida kwao au kwetu

swali nalojiuliza kila siku,huu mungano mwisho wake utakuwaje?

..jumuia itakuwepo come day come night! n we need it! the matter on our part is to get rid of CCM and start a new chapter with leaders having new n modern vision on how we can benefit on EAC even SADC...these r our brothers lets not capitalise on the negatives rather than concetrate first on how to clean our house which will send a good msg especially to kenyans that NOW WE R IN BUSINESS! only that will command that respect we deserve!
 
mbona hatukupiga kura hii ndoa ya wakenya na watanzania,bora tuungane na wazambia tunafanana vitu vingi
hasa utashi,mikenya mijitu ya ovyo sana,yanatuona sisi watanzania kama wajinga,
na nyie mliolazimisha hii ndoa na nyie ni mazuzu wa ovyoo!!!

There must be a true reason why Kenyans thinks and/or look at Tanzanians that way. So, a realy men don't run. REAL MEN DON'T RUN AWAY.
 
mbona hatukupiga kura hii ndoa ya wakenya na watanzania,bora tuungane na wazambia tunafanana vitu vingi
hasa utashi,mikenya mijitu ya ovyo sana,yanatuona sisi watanzania kama wajinga,
na nyie mliolazimisha hii ndoa na nyie ni mazuzu wa ovyoo!!!

Shhhhhhhh dada Rose....William Malecela atakusikia!
 
aisee mikenya hapa arusha tunakosa pa kupumulia,yamejaa kila kona,halafu wanaongea kwa kutabasamu sana
mambo ya kujipendekeza
 
Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.

Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".

Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndio size yenu.

Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.

Kwanini double standards?

Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?

Nilikua napita tu Wakuu.


haya tena basi jamani 3.jpg
 
Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.

Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".

Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.

Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.

Kwanini double standards?

Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?

Nilikua napita tu Wakuu.


View attachment 31869


wee mzee makaimati kwa huu mungano wetu na nyie mnafaidi zaidi,
au kwa vile mafuta yametokea ndo mnaanza kutubagua,
haondoki mtu hapa maalim.
 
Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.

Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".

Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.

Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.

Kwanini double standards?

Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?

Nilikua napita tu Wakuu.


View attachment 31869
Mimi naona nyinyi ndio mpo sana huku kulingasnisha na sisi tulivyo huko.
Wengi wetu hatutaki kabisaaaa muungano....kabisa kabisa.
Wengi wetu tunahofia ukorofi.Lakini hatuhitaji karafuu,fenesi,stafeli.......you guys can keep that.
Ooooooh...waambieni na wanasiassa wenu waache kujenga majumbas huku masaki,muda si mrefu watyaacha nadhani,but I pray for peace.
 
Hapa Arusha hawa jamaa wananunua mashamba na wengine wamejenga majumba na tunawafahamu. Kule kwao sisi waTZ huwa tunaishi kwa wasiwasi sana na intimidation ni kila mahali. Wametufunika sana hapa EAC kwa kazi na most Tanzanians wamekata tamaa ya ku- apply kazi EAC
 
halHapa Arusha hawa jamaa wananunua mashamba na wengine wamejenga majumba na tunawafahamu. Kule kwao sisi waTZ huwa tunaishi kwa wasiwasi sana na intimidation ni kila mahali. Wametufunika sana hapa EAC kwa kazi na most tanzanians wamekata tamaa ya ku- applu kazi EAC


hivi jamani tutabakia watu wa kulalamika mpaka lini?hatuwezi kuchukua hatua kwenye hili??
au ndio ule upendo wa mshumaa aliozungumza mweshimiwa mtikila?
ok,tusubiri wachukue kila kitu.
 
Nadhani wazambi tungefai zaidi lakini sio kenya, tuungane za uganda,rwanda burundi na drc
 
Nadhani perception yenu kwa waKenya is somehow misinformed. Sisi sio wabaya vile mnavyojaribu kuonyesha, hatuna chuki dhidi ya wabongo ama mtu yeyote kwenye hii Jumuia, twashughulikia maslahi yetu na ya watoto wetu. Hapo juu nimeona mtu akisema kuwa waKenya tuna tanua Arusha ilhali wabongo wengi wanaishi hapa Kenya kwa uwoga mwingi, thats a white lie coz kama kuna mahali wabongo hawabaguliwi ni huku kwetu Kenya. kusema ukweli waTz wanaheshimiwa sana na wanapendwa kwa ustaarabu wao, wameoa, wanasoma, na kununua mashamba huku bila ya kubaguliwa. tuseme ukweli, ni rahisi kwa Mtanzania kuwekeza huku Kenya kuliko Mkenya kuwekeza Tanzania. Tusi eneze chuki tukitumia uwongo, tujaribu kuelewana kwa kuwa tumelelewa kwenye enviroment tofauti sana na ni vizuri mkatuelewa. Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
 
Hive Makaimati unafikiri kweli zenji wanaweza wakajitegemea wenyewe kiuchumi? angalia tu sasa hivi walivyo mzigo kwa upande wa bara. nbajeti ya zenji kwa asilimia kubwa inatoka bara, wazenji wengi wanaruhusiwa kuja bara kirahisi tu na hata kuchukua ardhi na kuhamia moja kwa moja lakini sio rahisi kwa mbara kufany a hivyo zenji. umeme usisahau unatoka bara, mashule mengi unayosomesha watoto wenu yapo tanganyika vyou vikuu. Fikiria ni wazenji wangapi wamesoma bara na hata cha ajabu zaidi kushika nafasi muhimu za uongozi wa makampuni, idara za serikali, mashirika ya umma, uwaziri, makamu wa rais na hata urais! huoni kwamba yote haya ni mafanikio na faida kubwa sana kwa zanzibar na pengine ni hasara kwa tanganyika?

Ni wakati muhimu sasa kwa Watanganyika tukakataa muungano usio na faida kwetu!


Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.

Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".

Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.

Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.

Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.

Kwanini double standards?

Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?

Nilikua napita tu Wakuu.


View attachment 31869
 
watanzania ebu angalieni wakenya wameamua kupeleka uwanja wa ndege karibu na mlima kilimanjaro kwa upande wa kwenya kweli tutapata wageni wa kutua uwanja wa ndege kia, tatizo nini? Au nikuwa na viongozi wasiokuwa na mtizamo? Wenzetu wanaamua kuuteka mlima wetu uwe wao kwa upande wao

Tena tuwashukuru sana waKenya na wa Ethiopia. Ethiopian Air inatua Tanzania mara 3 kwa siku, ndio inaongoza kwa kutua mara nyingi kwa siku kuliko ndege zote duniani,inatuletea watalii huko zanzibar na kilimanjaro. Kenya nao kwa kutumia KQ wanatuletea wageni kila siku.zisingekuwa hizo ndege mbili tungepata wapi wageni kuja huko kilimanjaro. wakenya wakijenga huo uwanja ni faraja kwetu. acheni fikra finyu,hatuna ndege.
 
[h=1]Sibling rivalry threatens regional integration[/h]
Published on 12/08/2011
By Joe Kiarie
The realisation of the East African Community dream is in jeopardy as diplomatic wrangles and perceived mistrust between two pioneer members dominate.
At the heart of the tussle is Kenya and Tanzania, who continue to instigate well-calculated moves aimed at locking each other out of lucrative economic resources, especially in the tourism sector.
srcap130811_01.jpg
Wildebeast migration from the Masai Mara in Kenya to Serengeti Park in Tanzania. [PICTURE: FILE/STANDARD]

The two have been engaging in fierce behind-the-scenes cross-border hostility that mainly revolves around economic exploits in the Serengeti-Mara ecosystem and Mount Kilimanjaro.
Among the manifestations of the friction is the sustained closure of the Sand River/Bologonja border crossing that links the Masai Mara and the Serengeti game parks as well as strict restrictions imposed on Kenyan tour operators by Tanzanian authorities. Access to Mt. Kilimanjaro equally continues to threaten regional unity, with the two neighbours competing for economic gains from Africa’s highest peak and attractions around it.
Persistent harassment
Today, Kenyan tour operators complain of persistent harassment by Tanzanian immigration and security officials in what they deem a deliberate move to ward off competition that Kenya poses to Tanzanian tourism.
Mr Joseph ole Parpai, chairman of the Kenya Tour Drivers Guides Association, says the situation is so grim that majority of Kenyan operators have dropped the Tanzania circuit as part of their itinerary.
"No one wants to take tourists to Tanzania anymore. At the Isebania, Namanga, and Loitoktok entry points, our drivers are kept waiting for hours pending clearance despite having annual work permits that go for Sh8,800 ($200). Once in Tanzania, one can be arrested up to six times during a single trip by officers who extort money claiming you have broken traffic and immigration rules. If you do not have the money, you are held in custody for several days and later released without any charges," he notes.
Parpai reveals that to enter Tanzania, tour operators must be in a four-wheel drive vehicle with Tanzanian registration numbers and driven by a Tanzanian national. He says Kenyan tour guides/drivers are classified as foreigners and pay Sh5,640 ($60), same fee as tourists, to enter premium parks. Ironically, Tanzanian tour/driver guides are charged a meager Sh200 to enter Kenya. They are categorised as East African citizens and pay Sh300 to enter premium parks in their own tour shuttles.
"Rather than face this perennial persecution, more than 90 per cent of Kenyan tour operators now prefer to transfer tourists to Tanzanian operators at the border," he states. The chairman says that so rooted is the Tanzanian mistrust in their neighbours that a move to form a regional tour guides union, which was supported by Kenyan, Rwandese, Ugandan and Burundian tour guides, aborted after their Tanzanian counterparts opted out.

Parpai’s account is confirmed by Anthony Ndegwa, a seasoned tour guide, who says he dreads trips to Tanzania.
"Their police officers normally tell us openly that we have to go back home since we are yet to exploit all tourist opportunities in Kenya," assets Ndegwa.
The other bone of contention is Tanzania’s refusal to open the Bologonja gate, which would give tourists from Kenya direct access from the Masai Mara to the Serengeti and other tourist attractions in the northern Tanzania tourist circuit. The entry point was closed upon the collapse of the East African Union in 1977, but Kenya has always lobbied for its re-opening. While it would normally take a few minutes to cross from the Mara to the Serengeti, the closure of the gate means tourists have to endure a six-hour ride to Arusha via the designated Isebania-Sirare border point. Others have to drive or fly back to Nairobi for an overnight stopover and proceed to Arusha via Namanga the next day.
"It beats logic that while using the Sand River/Bologonja gate would take minutes; we have to tackle more than 400km to enter Serengeti. This journey costs us a lot of time, money, and energy," Ndegwa laments.
Border crossing
In 2009, Tourism Minister Najib Balala officially announced that Kenya and Tanzania had agreed to open the border crossing following clearance by immigration chiefs from both nations. Mr Fred Kaigua, the Kenya Association of Tour Operators (KATO) chief, subsequently sent a circular dated September 18, 2009 to all members announcing the good news.
But barely 24 hours later, the Tanzania Tourist Board (TTB) sent another circular to KATO members denouncing Balala’s communiquÈ as misleading and stating that the border crossing remained closed.
"We would like our esteemed clients’ to note that Tanzania has no intention to re-open the Sand River-Bologonja border point. The entry point will remain closed for environmental reasons," the TTB circular read in part.
Antagonism between the two countries has now been aggravated by Kenya’s plan to build a state-of-the-art airport at Taveta, barely 100km from Kilimanjaro International Airport and just seven kilometres inside Kenya. According to Kenya’s High Commissioner to Tanzania, Mutinda Mutiso, construction of the Sh11 billion facility near the Holili border post is expected to start later this year and will mainly be utilised in tapping the tourism potential of south east Kenya and north east Tanzania, both of which are rich in tourism resources.
The plan sparked panic among Tanzanian authorities, who described the move as economic sabotage that contravenes the spirit of the EAC, which dissuades member states from creating investments that compete.
And so fierce is the tension that the Tanzanian Parliamentary Standing Committee for Defence, Security and Foreign Affairs, chaired by Former Prime Minister Edward Lowassa, is reported to have instructed Tanzanian EAC Minister Samuel Sitta to refer the matter to the EAC Council of Ministers.
And should diplomatic means to halt Kenya’s plan fail; Tanzania has even threatened to file a lawsuit in the East African Court of Justice against its neighbour over the standoff.
Serengeti highway
It is believed that a recent plan by the Tanzanian government to construct a 54km highway through the northern tip of the Serengeti targeted restricting wildebeests to the Serengeti by cutting off their migration route to Kenya. The move was dropped in June following pressure from the international community.
Parpai claims this is not the first such attempt, saying Tanzanian game wardens have in the last two years been burning hectares of grass on the Serengeti side of the border when the migration nears in a bid to restrict the famous wildebeests to the Serengeti. "But the wildebeests move using instinct and always cross to the Mara without hesitation. The idea seems to have backfired and it’s not a surprise we did not witness the burning this year," the chairman asserts. Perennial calls by Balala to have Tanzania stop harassing Kenyan tour operators and abolish bureaucratic barriers that hinder cross-border co-operation have been unsuccessful.
"Whether by default or design, Tanzania always skips or sends junior officials to important tourism meetings in which Kenya is involved. They never listen to us and our citizens continue to suffer as we helplessly watch," notes an official in the tourism ministry who seeks anonymity.
Telephone calls and emails sent by The Standard on Saturday to both the TTB and the Tanzanian Ministry of Natural Resources and Tourism to comment on the issue went unanswered for a week.
http://www.standardmedia.co.ke/specialreports/InsidePage.php?id=2000040718&cid=259&story=%20Sibling%20rivalry%20threatens%20regional%20integration

MY TAKE
I personal have no objection on Kenya building an International Airport at Taveta/Holili border since for me i see it as a competition that needs to be enhanced so as to develop! KIA has been there since 1970 and failed to realize the potentials that exist across the border e.g. flying tourists that go to Amboseli NP! And fun enough KIA was dubiously privatised for a price of $1000 per month (Lowassa et al know this shady deal)! My Fellow Tanzanians don't listen to these corrupt leaders that incite nationalism to cover up their lack of planning, vision and corrupt practices wherever they see a genuine competition on the horizon! If Tanzania wants to real fight the competition fairly and squarely then they need to come up with an airline that will ferry the tourists straight from Europe and the US to KIA since Kenya can manage to dare to build up an International Airport 100 km apart cause they are sure of flying the envisioned passengers (though feasibility might not say so)! I for one won't have a problem to use the service of their airport at Holili/Taveta if i get a chance to go to the North from any part of the World!
 
The issue is not as simple as it looks. Is it acceptable that one country freely exploits the natural resources of another? Mt. Kilimanjaro and The Serengeti National Park are part of the natural wealth of Tanzania. Are we expected to let Kenyans freely use these for their own benefit? I don’t think so.

If tourists want to see the Serengeti or want to climb Mt. Kilimanjaro, then they should do so from Tanzania, and not from Kenya. Entry permits into the Kilimanjaro and Serengeti National Parks ought to require possession of itineraries that include at least three nights in Tanzania.

Like Kenya, and indeed like all other countries, we want our tourists to use our airports, our drivers, our hotels, our tour guides and all the other associated products. We don’t spend our days planning on how to exploit the tourist attractions of Kenya; we leave that to the Kenyans. Why don’t they do the same? Why are they always seeking to make a buck out of our Masapilas, our Mountain, and our animals?

Are we to accept exploitation simply because it comes from fellow East Africans? We might not want to bomb the airport that Kenya builds at Holili, but we must surely not allow people to walk from there and into Tanzania. That proposed airport might be geographically close to Mt. Kilimanjaro, but it is in our national interest to make sure that in practice it is further from us than any other part of Kenya.
 
The issue is not as simple as it looks. Is it acceptable that one country freely exploits the natural resources of another? Mt. Kilimanjaro and The Serengeti National Park are part of the natural wealth of Tanzania. Are we expected to let Kenyans freely use these for their own benefit? I don't think so.

If tourists want to see the Serengeti or want to climb Mt. Kilimanjaro, then they should do so from Tanzania, and not from Kenya. Entry permits into the Kilimanjaro and Serengeti National Parks ought to require possession of itineraries that include at least three nights in Tanzania.

Like Kenya, and indeed like all other countries, we want our tourists to use our airports, our drivers, our hotels, our tour guides and all the other associated products. We don't spend our days planning on how to exploit the tourist attractions of Kenya; we leave that to the Kenyans. Why don't they do the same? Why are they always seeking to make a buck out of our Masapilas, our Mountain, and our animals?

Are we to accept exploitation simply because it comes from fellow East Africans? We might not want to bomb the airport that Kenya builds at Holili, but we must surely not allow people to walk from there and into Tanzania. That proposed airport might be geographically close to Mt. Kilimanjaro, but it is in our national interest to make sure that in practice it is further from us than any other part of Kenya.


I salute you! Ingawa kiasi tumesinziaaaa sana.
 
I salute you! Ingawa kiasi tumesinziaaaa sana.
<br />
<br />

Hatujasinzia ni kwamba tumelala tena usingizi wa pono kuamka kwake na akili kuchangamka tena inachukua muda kweli.....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom