Wakenya banaeeee!!!

ulimwengu ushajaa wewe ndio maana wa jinsia moja wanaoana wao kwa wao,we unadhani mungu hana akili

Acha kutufanya wajinga! Kwani unafikiri ni wewe peke yako unayeishi ulimwenguni? Labda useme nyumbani kwako kumejaa! Usipende kutetea uovu kwa sababu wewe binafsi umeshindwa kutenda meme, siyo kweli bali watu wamependa zaidi ku-deal na shetani kuliko Mungu, ila nyakati zote Mungu atakuwa juu tu. Hatutakuwa mashoga wote wala wasagaji,kwa msingi wa mchango wako tuwe mashoga na wasagaji? Pole
 
they look good together, to each his own.. Sisi hizi relationship zetu wenyewe zinatushinda, kama hao wana prefer same sex marriage na they have found happiness there, then who are we to start judging. Kile ambacho huwa hakinifurahishi ni pale hawa ma lesbians wana force wenzao kushiriki kwenye ngono nao, kama kisa wiki jana msichana wa Highschool ali gang rapeiwa na wenzake, ilikuwa hadi kwenye news na akaumizwa vibaya.. Licha ya hiyo, wacha wajienjoy, life is hella short.
 
bila kuongozwa na Mungu, akili ya binadamu is pretty much like an unguided missile...; under such circumstances, tutafanya kila kitu ambacho tunadhani kitatupa furaha but this will always be at at our own peril...
 
sexual perverts is a world wide issue, even here we have witnessed such relationships but they don't have a united voice, and i prefer to remain that way for unforceable future if possible.
 
Hii nayo ikishazoeleka tutaanza na familia nzima kua kwenye mahusiano!Wanadamu haturidhiki..tunageuza maajabu kua mazoea alafu tunatafuta kingine cha kushangaza!Mungu na atusamehe maana tunakoelekea siko!Hao sijui nao watazeeka na kua na wajukuu..
 
some people need to get out of their backward African mentality. the two girls are in love with each other so people should let them do what lesbians do.



Kuhalalishwa kwa mambo na kupachikwa jina la mordenity inatakiwa kuangaliwa kwa makini sana. Ukiangalia taifa ambalo pamoja na habari ambazo si rasmi lililokua linaongozo kwa shughuli za back door toka karne za kale mpaka leo ni uarabuni due to the fact that kumuona let alone kumpata binti wa kulala nae ni impossible, lakini bado haijahalalisha wala hawataki kuzungumzia kua wana ilo tatizo. Magharibi mashoga wameshamiri miaka ya juzi tu, lakini kwa sababu wao ndo wanaongoza muelekeo wa dunia basi tunataka kukubaliana na kila kitu. Wanadai kwa nguvu zote kua haki za binadamu, mpaka wanathubutu kuruhusu viongozi wetu wa dini nao iwe halali, nyie watu where are we going? Our next generations zitaishi vipi? Hio kuhalalasha ndoa ya njinsia moja ni the next step, the second itakua kuhalalisha mtu na dada/kaka yake in the name of mordenity and human rights, we will be animals.

Na hio same sex marriages kwa waschana inaweza isikuume sana, but wanaume? Inaniuma sana.... and i can not go into details.
 
some people need to get out of their backward African mentality. the two girls are in love with each other so people should let them do what lesbians do.

Why cant you sleep with your mother...if its just a question of being in love? or why cant your father sleep with his daughter...lets stop this simplistic way of thinking..simply because the white man says something is right...doesnt mean its right. Next time when they outlaw same sex relationship..will you 'progressive' Africans change your tactics too? Whiteman syndrome at best...
 
That one is not acceptable in our african culture, and it will never be acceptable



Be careful GJ Mwanakatwe, dont you see what is goin on? Do you think our country leaders have any say in these matters - with time tusipoangalia itakua accepted kabisa. Do you remember the Malawi incident ya a gay couple waliweka sherehe ya engagement wakatiwa ndani kwa amri ya Rais cause kuna sheria ya kupinga hio kitu; nchi za magharibi zikaiingilia na kuamuru waachiwe mara moja. fanya follow up ya hio incident then ufanye analysis wapi tunaelekea if we are not careful.
 
Back
Top Bottom