Wake zetu na Ma-house girls, Kulikoni?

Kuna vitu havihitaji rocket science kufanyia maamuzi. Unaangalia tu unaamua tupa kule.
Kama nyumbani kwako mnafanyabconference ya siku 7 kumjadili hgal, kwangu hakuna nafasi hiyo. Pole kwa kukustua, we operate kama kampuni ya kigeni, i tell u.

Well! Sidhani Kama issue ya house girl inahitaji 7 days kujadliwa. Lakini naamini hgirl Ni member muhimu wa familia, na ndio maana mara nyingi anaitwa Dada.
 
na mie nakaa nae kama sehemu ya familia. na siku ya kwanza tu nampa orientation na naweka deal breakers mezani. anajua ukifanya 1 2 3 ujue hukai hapa. na hiyo haihitaji vikao hata vya 15 mins
dont mind me, im just too fast
Well! Sidhani Kama issue ya house girl inahitaji 7 days kujadliwa. Lakini naamini hgirl Ni member muhimu wa familia, na ndio maana mara nyingi anaitwa Dada.
 
Wana-jf sina uhakika kama hili lilishawahi kuzungumzwa hapa au la. Lakini nimeona si vibaya tukalijadili na kuchangia mawazo. Ndugu yangu mmoja hakumaliza wikiendi yake vizuri jana. Kisa ni kuwa mke wake amechachamaa anataka house girl aondoke haraka. Kwa maelezo ya huyo ndugu yangu ni kuwa jumamosi ya juzi binti wa kazi aliomba ruhusa kwa mother house kwenda kusuka nywele tangu alipoondoka saa 4 asubuhi akarudi saa 11 jioni. Mother house alipomuuliza binti kulikoni kachelewa vile akadai kuwa msusi alikuwa na kazi nyingi na wateja wa kusuka walikuwa wengi so alilazimika kusubiri. Mother house hataki anasema binti ameshakuwa na kiburi so akiondoka anarudi muda anaotaka. Jamaa amejaribu kumsihi mkewe amsamehe huyo binti kwa kuwa kwanza hana uhakika wa kupata h/girl mwingine kwa haraka na ukizingatia wana watoto wadogo wa kati ya miaka 5 na 2. Mother house amepamba moto kwa nini jamaa anapinga binti kuondolewa au yeye ndio anayempa kiburi may be kashamuonja so kanogewa hataki aondoke. Kwa kweli jamaa kila akifikiria busara ya kumfukuza binti ukizingatia yeye na mkewe wote ni wafanyakazi haelewei kilichompata mkewe. Na kibaya zaidi mother house kampigia simu mpaka mama yake mzazi ( mama wa mother house) kuwa yeye muda wowote atarudi kwao kwa kuwa jamaa anapinga binti wa kazi kuondolewa kwa kuwa eti huenda anampenda sana h/girl kuliko kusikiliza ushauri wa mkewe. Ndani ya nyumba hakuna amani kisa msichana wa kazi.. Jamani hii vipi? FL, Nyamayao, Pretty na wadada/wamama wengine ndivyo mlivyo au??
Simply eny kama kapendeza basi hawezi kumpenda
 
Ningekuwa mimi namtimua wife na housegirl....utajiaminishaje kwa mtu asiyekuamini...wote waende kwao tu..kama noma na iwe noma kweli..alaah
 
wakina mama huwa hawajiamini mbele ya wafanyakazi hasa ukikuta kibinti kina ushape ndio kabisaa. hii yote inasababishwa na macho kodo na dokoa dokoa za waume zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom