Wake wengi

...Na hakuna mwanamke hata mmoja ambaye huwa anafurahia ukewenza.
Labda mke wa kwanza. Lakini wa pili na kuendelea hadi wa nne, tunawezaje kusema hawafurahii huku wameingia weneyewe kwenye ndoa ambazo walijua wazi kuwa tayari kuna mke mwingine/wake wengine?
 
Bora muwe kama mimi!
Single and without stress. Later utakuja kujiuliza tuko wangapi na by
that time it will be too late. So to conclude ni bora basi kama huwezi
kujizuia kuwaka tamaa, oa au olewa na mmoja tu. Acheni mapenzi ya
rejareja.

big up brother,i lyk that
 
ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!

kwa imani yako unavyoamini weye kuna ndoa ya aina moja tu! mume mmoja .. mke mmoja..?! well hayo ni mawazo yako brother/ sis ....... ni haki yako kikatiba

but news flash bro!/sis out there dunia usioyoifahamu weye .. kuna ndoa za aina nyingi mno!...

facts will always remain to be facts...Mungu hakuwa mjinga kuumba jinsia mbili na kuziweka pamoja siku ulimwengu ulipokamilika kuumbwa...ushawahi jiuliza hilo?
 
Kwani wakati wa kuumba Mungu aliumba mwanaume mmoja na wanawake wengi? au aliumba mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu? Hili liko wazi wala halihitaji akili ya ziada kulijua, na Mungu aliona wanatoshelezana 1 kwa 1 na si zaidi ya hapo. Vinginevyo ukienda zaidi ya hapo wewe sasa unakuwa nje kabisa ya mpango wa MUNGU na huo unaitwa uzinzi na uasherati tu.
 
Ndoa ni mume mmoja mke mmoja zaidi ya hapo ni uzinzi tu

Kwani wakati wa kuumba Mungu aliumba mwanaume mmoja na wanawake wengi? au aliumba mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu? Hili liko wazi wala halihitaji akili ya ziada kulijua, na Mungu aliona wanatoshelezana 1 kwa 1 na si zaidi ya hapo. Vinginevyo ukienda zaidi ya hapo wewe sasa unakuwa nje kabisa ya mpango wa MUNGU na huo unaitwa uzinzi na uasherati tu.

ni maoni yako binafsi na shati t shirt uliyovaa wakati ukiandika ... siyo sheria... na unapoleta swala la mungu kumbuka tunatofautiana kiimani.. unachoamini weye yawezekana mimi sikiamini
 
facts will always remain to be facts...Mungu hakuwa mjinga kuumba jinsia mbili na kuziweka pamoja siku ulimwengu ulipokamilika kuumbwa...ushawahi jiuliza hilo?

sijawahi kujiuliza kwamba mungu ni mjinga ama la!.. naamini mungu yupo 100% right... kuhusu uumbaji wa ulimwengu hapo tutatofautiana.... nadhani mwenzangu we wa imani nyengine na mimi muislam na isitoshe kitabu chetu tukufu kimeturuhusu mpaka wa nne kama ukiwa na uwezo ili kendeleza family ...! Ndoa ni zaidi ya ngono..!
 
pamoja
 
Back
Top Bottom