Wake kwa waume nipeni jibu

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
  1. Je, inawezekana ukampenda mtu pasipo kumuona physicaly ila kwa kuongea tu kwenye simu hadi kutamani kuvunja amri ya sita?
  2. Mmeonana sasa for the first time, je mwanaume unaweza kuzama chumvini pasipo kufanya the tendo itself? na wewe mwanamke utakubali kufanyiwa hivyo na mtu ambaye umeonana nae for the first time?
 
Mkuu katika hali ya sasa ni ngumu sana
Utampendaji mtu ambaye humjui wala huna uhalisia wake yukoje na utatamani vipi kufanya sex na mtu ambaye hujawahi kumuona na hata kama umeonana nae kwa mara ya kwanza hayo mambo unafanya kwa mtu ambaye kweli unamuamini na una uhakika nae sio tuu kila ukiona kichaka unabanwa na haja mkuu
Hujui usafi wake hujui afya yake hakujui wewe na afya yako na usafi wako then mkubali mambo kama hayo tena katika hali ya sasa ni ngumu mkuu
 
Dah, mkuu kweli duniani kuna watu wa ajabu. Rafiki yangu kapendana na mtu kwenye simu tu na siku wameonana mwanaume kazama chumvini, aisee sijaelewa hii ni aina gani ya mwanaume na mwanamke!!
 
Dah, mkuu kweli duniani kuna watu wa ajabu. Rafiki yangu kapendana na mtu kwenye simu tu na siku wameonana mwanaume kazama chumvini, aisee sijaelewa hii ni aina gani ya mwanaume na mwanamke!!

Mkuu WALIMWEUSI hiyo ni balaa aise
Humjui na hakujui hujui lolote linalomhusu hata historia yake na maisha yake yakoje unakubali hayo
Kuna watu wana moyo mkuu usicheze na watu aise
 
Last edited by a moderator:
Una nikumbusha jamaa mmoja aliwahi chubuka mdomo,akiulizwa tatizo
nini hasemi,.....kumbe alivamia chumvi iliyo mchangani duh
 
Kizazi cha carolight na supra kina mambo!!!
carolight-cream-jar-300ml-11-p.jpg

Supra_Society_46.jpg
 
mie hiyo ya kwanza kweli sidhani ila ya pili mhm kama goma kweli la uhakika na nimevutiwa nalo na K ipo mwake najibwaga tuu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
mie hiyo ya kwanza kweli sidhani ila ya pili mhm kama goma kweli la uhakika na nimevutiwa nalo na K ipo mwake najibwaga tuu

Duh, we noma, sasa vipi kuhusu mustakabali wa afya yako mana K inaweza kuwa safi lakini ina wadudu
 
Mie apana usawa wenyewe huu wa manati hata anukie nini mambo hayo kwanza yasubiri nikuzowee........
 
Mwanaume huyu alifanya tendo la kishujaa aisee, duh!
 
Duh, we noma, sasa vipi kuhusu mustakabali wa afya yako mana K inaweza kuwa safi lakini ina wadudu

unajua mie nashanga sana y watu wanaanza kusemaga mambo ya vidudu kama ni total stranger. wanasahau kuwa hau ma gf/bf wao ni total strangers maana wengi wao uchakachuana bila ata kwenda kupima afya zao. tofauti iliyokuwepo hapo ni kwamba mnajuana lakini wengi bado hawajuani afya zao na bado wanaingia chumvini.

alafu najua nikiingia chumvini lazima demu ngoma itanoga atanipanuilia kilaini
 
Inawezekana tena sana, nawajui watu weng wamepata wapenz kwa njia ya social networks au kukosea no ya cm wakaanzsha mazoea, wakapendandana hata bila kuonana na sku ya kuonana jamaa kapewa 071... Na mbaka, leo wako pamoja mwaka wa 2
 
Back
Top Bottom