Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
ijitu vizinzi visiwasumbue akili. Ndio maana tuko bize kudai mahakama ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake kuuliza ni kutaka kujua wanawake wanaoomba talaka kama ni wake wadogo nihamie zanzibar. nitakuwa nawabanjua wakiwa kwa waume zao ili kupunguza kasi ya kuomba talaka.
naamini wanaume walaku tupo kibao tunaweza kwenda kuishi kule kuokoa ndoa za wenzetu!
Mwanamke wa Zanzibar huheshimika zaidi kwa idadi ya 'vyuo' alivyonavyo
mm ni born muslim .ila dini yangu ,inahimiza utuzwaji wa wanawake na heshima ya ndoa ,ila s unaajua binaadamu sisi tumeumbwa hatuwezi tukawa parfect ,
Ikiwa taarifa hii umeiwasilisha kama ilivyoandikwa, nahisi inajitosheleza wala haihitaji kutafuta mchawi wa pili. Taarifa inasema na kusisitiza..."wake wanadai talaka baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanywasaji, kutelekezwa na kudhalilishwa na waume zao.....ndoa zimeparanganyika sana kule visiwani kutokana na waume kushindwa kubeba majukumu yao....."
Sasa Ruta Mkuu, ikiwa mume ni mnyanyasaji, mtelekezaji, mdhalilishaji, anayeshindwa kubeba majukumu yake (kwa mujibu wa taarifa ya kadhi na kusisitizwa na maelezo yako), bado unahisi kuna haja ya kudai mke atakeleze majukumu yake? Tuseme hayo matendo ya mwanamme yanatokana na mwanamke kutotimiza wajibu wake?
Kama nlivyodokeza kule juu kuhusu haki na wajibu, hivi vitu vinakwenda sambamba kwa wakati mmoja, mwenye wajibu atekeleze kabla ya kudai haki, na kwa kadhia hii tunaona kuwa mwanamme ndiye kwa kupitia matendo kadhaa anakiuka wajibu wake. Bahati mbaya suala la ndoa linaangukia sana kwenye dini, utamaduni na mfumo ambapo yote matatu kwa bahati mbaya mwanamke/mke anakuwa "raia wa pili", wa kwanza akiwa mwanamme/mume.
lizzy jaribu kuandika kitu unachofaham ukiandika wanawake wa kiislam tayari umeshawatukanisha waliokuwemo na wasiokuwepo na dini ya kiislamu kwa ujumla.
-hakuna popote palipoandikwa mwanamke wa kiislam akiwa ndani ya ndoa atafute mchumba hayo ni matakwa ya mtu
binafsi hata wakristo, wapagan, wanafanya hivyo kutekeleza matakwa yao na sio dini ya KIISLAM na waislam.
-TALAKA hazitoliwi kama njungu kuna sheria zake kufuata misingi ya dini kiislam
-unaposema mtu 1 nguzo tano unamaniisha nini?mwanamke wa kiislam hawezi kuwa na wanaume wa tano na
mwanamume wa kiislam ameruhusiwa kuowa wake zaidi mmoja kwa sababu maalum na awe muadilifu na mchamungu.
Labda kwa vile waume zao wanaruhusiwa kuwa na wake wengh wanashindwa kuhudumia pande nyingine!
Wanawake wengi wa Kiislamu wameanza kuelimika siku hizi wanajua haki zao. Talaka tatu maana yake usithubutu kurudi na kusema turudiane. Talaka moja bado anakuwa mke halali lakini talaka tatu ni TUSIJUANE. Penzi haligawanyiki ndani ya nyumba wanawake watatu huko ni kudanganyana anayefaidi ni mwanaume na si wanawake.
Mkuu mbona magonjwa yamesha expire siku nyingi? hakuna ugonjwa tena unatembea peku kama huna kichwa vile!
Idadi yao si sababu kwa sababu timu ya walaku ni kubwa. hapa nawakilisha tu!
sio avatar ni picha yangu
Mwanamke wa Zanzibar huheshimika zaidi kwa idadi ya 'vyuo' alivyonavyo