Wakazi wa Samunge

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Haya tena kwa wale wakazi wa Samunge huu ndio wakati wa kujinafasi Airtel has launched a site in your area! piga sh 1 kwasaa 24 kwa wale wakazi wa Loliondo hakuna tena shida ya mawasiliano ni kutwanga tu! unaweza hata kuongea na Babu! hizi ni habari safi keep it up Airtel.
 
At least moja ya faida tangible za ujio wa babu huko Loliondo imeonekana.
 
Sasa hii thread gani au umekosa cha kuandika?

Au inafanya promo?
 
Asante Ndalo kwa habari hii njema kwa watu wanao jiandaa kwenda kumwona babu wasihofu kukaa nje ya mawasiliano wawpo samunge.
 
Sasa hii thread gani au umekosa cha kuandika?

Au inafanya promo?[/QUOTE]

Baki ndani ya hilo blanketi naona uko kwenye baridi! sio promo ni kua watu wanaokwenda huko hii ni afuheni hata ya wanandugu jamaa na marafiki kupata fursa ya mawasiliano na kujua nini kinaendelea wacha ushamba!
 
At least moja ya faida tangible za ujio wa babu huko Loliondo imeonekana.

Usisahau na ile ya Magufuli kuwapelekea barabara wakati wamekaa miaka nenda rudi wanalilia hata kagreda kapite angalau papitike....
 
Back
Top Bottom