Wakazi wa Madale waliobomolewa kulipwa kwa amri ya Rais

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha uhakika Mkuu alitembelea Madale siku ya ijumaa kabla ya safari na kuwaeleza wakazi wa madale Ujenzi ruksa kuendelea na ujenzi, na waliobomolewa walipwe.
 
habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha uhakika Mkuu alitembelea Madale siku ya ijumaa kabla ya safari na kuwaeleza wakazi wa madale Ujenzi ruksa kuendelea na ujenzi, na waliobomolewa walipwe.
Mkuu wa nini sasa?
Mkoa?
Wilaya?
Chuo?
Shule?
Nchi?
Familia?
 
bora ungetuandikia hadithi tukasoma kuliko kuandika hbr nusunusu.
 
Kwani alikuwa wapi muda wote wakati waaribifu wanafanya Kazi yao? Hadi aanze sasa Kutapanya kodi zetu Badala ya kununua Vifaa vya Kutibu Watanzania Mahosipitalini? - Ni sawa na Kuchukua hela za walipakodi na kuanza Kuzitapanya na Nyingine Kuchoma Moto!! au ni Bora akawalipe wazee wa East Africa Community wa zamani!!
 
Hawa jamaa mbona wanagongana sana kwenye maswala ya msingi. Tulianza na Samwel Sita na Membe wakaitangazia vita Malawi lakini Mkuu aka nagate. Pale Madale, Sadiq akasema wakazi wa kule ni Mungiki wengi wao raia kutoka nje lakini tunaona Mkuu anatokea kivingine. BHAAAS!
 
Mmmh hivi Samweli Sita naye alitoa TAMKO juu ya mgogoro wa MALAWI????
 
kama hutaki acha hizi ni habari za uhakika kabisa nashangaa vyombo vya habari hawajaandika
Bila ramani hizo squator hata mama Tibaijuka hatakubali huyo MKUU aruhusu bila barua hii Dunia yote ipo katika Ramani fungua Google Earth utaiona Madale sasa wajenge bila barabara bila soko bila choo msiwadanganye acheni wasubiri viwanja halali
 
Back
Top Bottom