Wakazi wa Kigamboni waongezewa nauli ya kivuko

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Makali ya maisha kwa wa kazi wa Kigamboni yanazidi kuwa magumu! Kuanzia kesho nauli za Kivuko zimepanda kutoka 100 hadi 200.

Gari kutoka 700 mpaka 1000.
Pikipiki kutoka 300 mpaka 500
 
Wahamie huku bara!
Hizo ztakuwa ni
mbinu za kuwahamisha
george bush alikuja
kuangalia amana zake
juz kati sasa anataka
kuanza plan b!!!
 
Back
Top Bottom