Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,464
- 113,539
August, ni kweli kwa UK haki hiyo ipo, ila inatumika kwenye abandoned houses, Waingereza ni very superstitious, kuna baadhi ya majumba, anapofariki mwenye nyumba, wanadai ghost lake hutokea na kusumbua, hivyo nyumba hizo huziita haunted houses, wenyewe huzikimbia na kuzitelekeza for good. Sasa akitokea mtu mwenye kuweza kuishi kwenye hauted houses hizo, au nyumba nyingine yoyote iliyotelekezwa, serikali inakutambua wewe kama tenant na sio vendor, yaani unatambulika kama mtumizi halali wa hiyo nyumba lakini sio mmiliki, na sheria inakulinda kuwa mmiliki akijitokeza, hawezi kukutimua kama mbwa, bali mtakubaliana kiwango cha kodi kwa mujibu wa uwezo wako na hivyo unakuwa mpangaji halali, ila sio mmiliki, ukimaanisha huna uwezo wa any deed ya transfer zaidi ya kufanya ukarabati, ukifa nyumba inakuwa chini ya housing trust kama Waislamu wanaifanya ni nyumba ya wakfu.nafikiri kuna mchangiaji moja kaeleza hapo mtu akikaa kupita miaka kadha basi sheria ina mpa haki ya kwanza kununua nyumba hiyo ikiwa nyumba hiyo ina uzwa, pili uingereza wana sheria ambayo inawapa haki squaters kuingia na kuishi kwenye nyumba ambayo mwenyewe hayupo au ana nyumba nyingi na hiyo alio kupangisha ni ya ziada au za ziada, na pia ukiwa mpangaji wa muda mrefu, halafu ukawa una shindwa kulipa mahakama itaangalia haki zako , na pia ujerumani kuna mthungu moja ana nyumba kadhaa ambazo hapati kodi kwani squaters wamw vamia nyumba zake na kuwatoa ni issue, na ndio maana nhc kwa kuwatia ujinga wamejaribu kuwapa hiyo tshs laki tatu kupoza mambo, lakini ikiwa nhc wanataka kufanya haki, kwenye hizo nyumba mipya si watatoa nyingi, yaani maflat, ya chumba kimoja, viwili, vitatu nk nk hivyo kwa hesabu rahsi kwenye nyumba 100 watatoa 300 kwanini hizo 100 wasiwape wapangaji wa zamani na hizo mpya 200 wapangaji wapya?