Wakazi wa DAR, tumelogwa na CCM? Kulikoni?

Mkuu mimi nipo jimbo la Ilala....tena city center kariakoo na kuna miundombinu mibovu usipime! maji yanatoka kwa wiki mara moja tena ni usiku
lakini watu wanaipenda ccm maeneo haya usipime! hata huwaelimishe vipi hawasikii!
Sumu inauwa lakini kila kukicha watu wanaila na kufa..................
 
Mimi ni mkazi wa Dar wapinzani waliniboa to earth

Tulipoanza vyama niliwapigia NCCR walipopata madaraka ubunge wakaanza kufarakana

Uchaguzi uliofuata nikiwapigia CUF wakaanza kupakaziana kuwa ni wadini

Uchaguzi uliofuata ndio udini ukakolea Chadema wakamsimamisha Padre (bored)

Waraka, Mwongozo...sic...nikajua bila CCM nchi itapotezwa na wabaguzi wakubwa..
Hivi wewe Topical, kwanini udini umeuweka mbele sana kwenye kila post yako? Yaani wewe huwezi changia thread yako au ya member yoyote
humu ndani bila kuweka mambo ya udini? Huko ccm ulikokimbilia wao ndiyo waasisi wa propaganda hiyo ya udini....na wewe kwa ujinga wako
umeingia kichwa kichwa bila kutafakari kwanza. All in all mkuu Topical unapenda sana mambo ya udini!. Badilika kaka angu hata Mungu apendi hivyo.
 
Mkuu ebu nisaidie udini uko wapi kwenye thread yangu?

Au wewe una udini bila kujifahamu..tusaidiane mkuu hata mimi sipendi watu wenye mawazo ya kidini
 
Mkuu naomba niwe muwazi,binafsi nitashindwa kubishana na wewe....wanaoweza kubishana na mtu kama wewe hapa jamvini
ni mtu kama Feedback,Rev.Masanilo,Saigon,Mdondoaji nk.....lakini mimi nitashindwa na naomba unisamehe bure.
 
Mimi ni mkazi wa Dar wapinzani waliniboa to earth

Tulipoanza vyama niliwapigia NCCR walipopata madaraka ubunge wakaanza kufarakana

Uchaguzi uliofuata nikiwapigia CUF wakaanza kupakaziana kuwa ni wadini

Uchaguzi uliofuata ndio udini ukakolea Chadema wakamsimamisha Padre (bored)

Waraka, Mwongozo...sic...nikajua bila CCM nchi itapotezwa na wabaguzi wakubwa..
Sijakuelewa......Hivi hao wapinzani unawachagua kwa upinzani wao au SERA zao...??? Maana nijuwavyo SERA huwa hazifarakani..............
 
Hatudanganyiki hii thread yakufikiria kwa njia za Masaburi. Dar yetu imetulia na katu chama pinzani hakiwezi igusa dar kwani wanajua ni moto.

Kama unataka mageuzi hama Dar yetu na nenda uko utakako na watu km ww Dar hii mmehamia tu sio wakazi wa mji huu, ondokeni Dar mrudi makwenu.

Pambafu wewe watu wanapojadili mambo ya maana hutakiwi kuingiza pumba alaa.
 
Mkuu ccm wanakubalika mitaa yenye waswahili wengi + BAKWATA chunguza hili utagundua.
Hapana Mkuu si kweli! Na kama haya uyasemayo ni ya kweli....wewe unaona kifanyike nini ili hao watu waikatae ccm kuanzia sasa hadi
kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2015?
 
Sijakuelewa......Hivi hao wapinzani unawachagua kwa upinzani wao au SERA zao...??? Maana nijuwavyo SERA huwa hazifarakani..............

Mpaka leo wewe bado unaamini sera zilizoandikwa??

Mimi nachagua mtu anaye make sense maana sera zote ni safi sana (a marketing tool)

Utekelezaji wake ndio cha muhimu zaidi..

Na hii hufanywa na mtu au watu ok
 
Mkuu ccm wanakubalika mitaa yenye waswahili wengi + BAKWATA chunguza hili utagundua.

Usiseme waswahili au bakwata sema waislamu wengi unajificha nini wewe mdini mkubwa

Kwa hiyo kule kigoma kwa zitto hakuna bakwata/waswaliji (waislamu)?

acha unafiki wewe
 
Hatudanganyiki hii thread yakufikiria kwa njia za Masaburi. Dar yetu imetulia na katu chama pinzani hakiwezi igusa dar kwani wanajua ni moto.

Kama unataka mageuzi hama Dar yetu na nenda uko utakako na watu km ww Dar hii mmehamia tu sio wakazi wa mji huu, ondokeni Dar mrudi makwenu.
Mijitu mingine inaboa!! lakini ndo ilivyoumbwa hivyo. Mawazo mgando. Badilika ndugu yangu.
 
Huyo abadiliki na hatokuja kubadilika hata siku moja.....ana akili kama za Muammary Gaddafi wa Libya. Lakini mwisho wa siku ataisoma namba!....tuombe uhai tu.
 
Nilishawahi kuchangia post moja hapa nikaelezea ninavyokwazika na watu wa dar. Inashangaza sana unapoona watu wanaolalamika kila siku kwenye vyombo vya habari kuhusu hii serikali halafu ukifika uchaguzi wanawachagua tena. Halafu ndio wao wanajiita wasomi!
Binafsi nawaona kama mambumbumbu wa mwisho! Ndio wanaotucheleweshea mageuzi ya nchi na wasaliti wakubwa. Elimu haiwasaidii, shida haziwafunzi wala hawajui lolote! Washamba tu. Wengi wao ndio wanawashabikia wangine wanavyopambana na ccm lakini wao hawawezi. Ni washabiki tu lakini waoga. Wanaendekeza starehe na sio maendeleo! Hovyo kabisa!?
 
Mkuu haujakosea kabisa....yaani inatia hata hasira! binafsi najiuliza mpaka leo sijapata jibu ni kwanini wabongo waliowengi ni mtaji wa ccm.
Mkuu kwa mtizamo wako unaona klifanyike nini ili wabongo wazinduke?
 
Soma post#1 halafu fuatilia Igunga, halafu fuatilia nyuzi iliyoanzishwa na Regia uone anvyoidhihaki hijab. Halafu utajuwa namaanisha nini.

Mtu akivaa hijab, afu akiwa panja (mwizi) unataka wananchi wenye hasira wampigie vigele gele?
 
Tatizo vijana wa Dar ni kujiandikisha kwenye daftari wengi hawajajiandikisha pili wakina mama wauswazi wengi wanashabikia CCM ila ndo choka mbaya pia vijana wa Dar usharobaro mwingi lakini dhiki ndo zimewajaa sasa upinzani kutoka inakuwa ishu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom