Wakazi wa Dar es Salaam wanatia aibu, je maisha yetu wakazi wa dar ni mazuri kiasi hicho?

Tatizo lililotea Vijibweni mgawanyiko wa kura baina ya CCM, CDM na CUF.

CCM kama makadirio ya kura 1200
CDm makadirio ya kura 800 na ushee
CUF 700 na ushee kwa na pia watu wengi hawakupiga kura.

Hivi kumbe CUF bado wanaexist? hawa wapo kugawa kura za upinzani ......
 
inasikitisha mji mkubwa kama dar es salaam, ambapo ilitakiwa kuwa kitovu cha mabadiriko ndiko haswa imekuwa ngome ya ccm, hivi ni kweli maisha ya wana dar haswa eneo la vijibweni maisha kwenu ni laini, hayawabani kama mbeya, songea na sehemu nyingine nyingi hapa nchini?

Kwakweli baada ya kupata matokeo ya udiwani vijibweni nimesikitishwa saana, watu wa mlo mmoja! Bado watu wanaowasababishia hivyo mnawaunga mkono! Dar es salaam, kwa kweli inatia aibu, inasikitisha saana, tena saana. Maeneo ya vijibweni mimi nayafahamu vizuri, hivi ni kweli kabisa ccm wameshinda kwa aina ya maisha ambayo mnaishi nyie watu wa vijibweni?

Yaani ccm is taking a very good care for you? Mnasikitisha!

Nawasilisha

shida ya hawa watu waswahili sana ndio tatizo lao....mpaka sisi wasukuma tumewaacha ona kwetu shinyanga tulivyo badilika na kuchagua upinzani,,ona hata ndugu zetu mwanza!! Sijawahi ona kama dar??? Nchi nyingi mabadiliko huanzia makao makuu ya nchi lakini kwa tanzania hilo tofauti.
 
Tatizo kubwa la Dar es salaam ni mchanganyiko wa makabila mengi na kama unaishi jimbo ambalo Wazaramo ndio wengi basi wewe sahau mabadiliko hapo......mfano hai mbunge wa Ilala Musa Azzan Zungu yeye amejijengea ngome Ilala ukiuliza kisa nini eti yeye kila msiba jimboni kwake anagharamia turubai, viti na ubwabwa pamoja na ubani wa shilling 50,000/=.....sasa watu wa namna hii kuna akili kichwani iliyosalia!!??
 
Mmh! Kweli wajinga ndio waliwao. Na kero ya usafiri na maji itaendelea kuwatafuna kilasiku.
 
Back
Top Bottom