Wakatoliki wasitisha mkutano wa CUF Jangwani.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha wananchi-CUF kimesitisha mkutano wake wa kesho Jangwani kutokana na viwanja hivyo kutumiwa na Kanisa Katoliki katika kongamano maalum la kimataifa.Kongamano hilo litafanyika kwa mwezi mzima.

Source:Tanzania daima
 
Ni sawa tu maana kukusanyika wale waislam pale wangalikuja na mkakati wa kugomea sensa lakini wanaweza kwenda viwanja vya Biafra wakajipime na Chadema kisiasa .
 
Huu sio mtazamo sahihi. Tusiipe nafasi zaidi
 
Chama cha wananchi-CUF kimesitisha mkutano wake wa kesho Jangwani kutokana na viwanja hivyo kutumiwa na Kanisa Katoliki katika kongamano maalum la kimataifa.Kongamano hilo litafanyika kwa mwezi mzima.

Source:Tanzania daima

Takbih!
 
Back
Top Bottom