The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,885
nakubaliana na wewe ad watu wengi ni downers bila kujijua. Ndio maana nikasema huwa nawapa tution ma housegirl wangu jinsi ya kulea watoto including words that they should not ever use. Nshawahi kumshuhudia h/girl wangu mmoja amekazana kumwambia mwanangu hujuhi huku anamcheka na kumzomea; mwanangu analia. The lady did not know kuwa hiyo ina effect kwa mtoto hata akikua; nikamweka chini nikasema hata kama unadhani huo ni utani jua wazi ni mbaya kwa mtoto wa miaka miwili. Mfano mtoto alikuwa anaimba huku anachapia; yeye kamgeuza kituko.
Mimi wanangu nawalea kwa full misifa; na wakifanya kitu no matter how little or foolish might look watanitafuta niwapigie makofi. Na nimekuja gundua wame grow up being very smart (at least from the feed back i get from school) na mfano huyu wa kwanza wa miaka minne ana akili ya mtoto wa miaka saba. Ni wadadisi hajabu; always wanting to suprise their mother with their inventions
hata kum protect mtoto sana unaweza sababisha 'ashindwe' mbele ya safari..
Tazama mitoto ya geti inavyokuwa,
shule ni international...chuo nje ya nchi,
kazi kwa kimemo....siku anafukuzwa kazi...
Unasikia mtu kajiua.....why ?kwa sababu hakuwahi ku fught his/her own battles.....
P.s. Sio wote wanaosoma nje wako kwenye kundi hilo...
Nazungumzia zaidi wanao kwenda kwa vimemo kila hatua katika maisha yao
hata interview hawapati...