Wakati wa kuacha na wakati wa kushikilia....nataka jibu

Kwa nini hasa? dont you think sometimes inabidi upigane mwenzio ajue how worthy they are to u?labda ni ka-situation alichopo ndo kanampa giza kushindwa kuona mbali.Labda ni upweke akaona haitawezekana..sometimes mtu unajisahau tu..**PS** am not trying to justify anything..nauliza tu.
Kitendo cha kua/kumpenda yeye tu badala ya wengine walio jaa mtaani wenye sifa za kila aina ni sababu tosha ya kumuonyesha kwamba ana thamani kwangu.Kitendo cha mimi kuongea nae kila siku..kumweleza mambo yangu na kusikiliza yake ni sababu tosha.Angekua hana thamani ningetumia huo muda kufanya mambo mengine au hata kulala tu.Na huko kumpigania nako kunategemea...kwa kisa kama hichi chako siwezi kuhangaika kwasababu huko ni kuendekeza ujinga...ni wazi kabisa kwamba mtu wa aina hiyo anajifikiria mwenyewe tu.Kama mtu analeta maringo sijui mapozz siwezi kuhangaika kwasababu i don‘t kiss anyones‘ A double S...na kuomba/kulazimisha/kubembeleza penzi ni turnoff kwangu.Kama mtu anaeonyesha kwamba mimi sio kiwango...that he thinks he could do better namuacha bila hata maswali....sipendi mapenzi ya huruma...au mtu kuonyesha ananifanyia favor kua na mimi.Wakati pekee nnaoweza kumpigania mtu nimpendae ni pale nnapoona ana matatizo yanayomlemea hata kama hayaharibu mahusiano yetu.Zaidi ya hapo...sijui labda sijawahi kupenda ila siwezi kumpigania mtu anaeonyesha kutokuthamini hisia zangu.
 
...................do not let it go that simple......komaa kaka mpaka utakapo hakikisha kuwa kweli si riziki,lakini for that simlpe sms,sikushauri uache..............huu ni wakati wa kukamatia kisawasawa....................
 
Sipo tayari mkuu,
my dream married life is not that way...haiko hivyo kabisa!\
I guess nimekupata mkuu.

Vipi na wewe, would you fight for love?

I tried Once and failed miserably,...kwani ushindi wake ni temporarily!
Penda unapopendwa mkongwe, moyo wa mapenzi hauna mbadala...
"You will never forget how she made you feel!"--- donda ndugu hilo!
 
Pole sana mkuu! Ila usijali,mim hapa nilipo hata kaz haiendi, uzuri tu ni yangu! Kuna mschana niliwekeza kwake Moyo wangu kama dhamana ya Penzi langu kwake! Jana ndo nimeelewa ule msemo kuwa ukipenda usimuonyeshe kwa asilimia mia moja! Nilikuwa sina kawaida ya kupekua cm yake,niliyoyakuta jana ni bora nisingeigusa kabisa! Jmosi tulikubaliana kuwa jpili(jana)tutashinda wote faragha kwa sababu huwa siko nae mda mwingi kwan bado yuko chuo,mwanzon alikubali,ila ucku akaniambia hali yake imebadilika,skujali nikasema basi tutapiga story tu! Asubuhi(jana)nikamtumia msg nikimueleza mahali tutakapokaa!msg haikujibiwa,nikampigia sm mara tatu,!sim haikupokelewa! mbaya zaidi mpaka inafka saa kumi nilikuwa sijui nin kinaendelea!nikampigia tena akapokea nakunieleza kuwa alikuwa na mama yake mdogo mahali!sikujali,tukakutana saa kumi hiyo mahali tulipoona panafaa!wakati tunaendelea na maongez yeye alikuwa na kaz nyngne ya kuchat!nikakasirika nikachukua sim yake! DAAAAAH....HADI HURUMA!KUMBE MDA WOTE ANANIAMBIA HAYUKO VIZURI,HAPOKEI SIMU, MARA YUKO NA MAMA YAKE MDOGO,KUMBE WALIKUWA FARAGHA WANAFAIDI URODA kwan mda ule walikuwa wanapongezana kwa maufundi waliyoonyeshana kwenye shughuli iliyoisha mda mfupi! Nilivyochukua sim ,mwanzo alitetemeka na baada ya hapo akakana kabisa huku akinitupia lawama kuwa simuamini! Hapa nilipo akili imeganda ila thread yako imenigusa sana!KWELI WASICHANA WA Dot.COM nashindwa hata namna ya kuwajadili!
 
Umm my papa hasn‘t told me anything regarding the subject...

Papa told me, don't rush..............................it will come when you are ready,stay when you are mature and fly away when you are old, that has kept my virginity to date..............
 
Papa told me, don't rush..............................it will come when you are ready,stay when you are mature and fly away when you are old, that has kept my virginity to date..............
Is that so?!Owwright then I‘ll try!!
 
Kitendo cha kua/kumpenda yeye tu badala ya wengine walio jaa mtaani wenye sifa za kila aina ni sababu tosha ya kumuonyesha kwamba ana thamani kwangu.Kitendo cha mimi kuongea nae kila siku..kumweleza mambo yangu na kusikiliza yake ni sababu tosha.Angekua hana thamani ningetumia huo muda kufanya mambo mengine au hata kulala tu.Na huko kumpigania nako kunategemea...kwa kisa kama hichi chako siwezi kuhangaika kwasababu huko ni kuendekeza ujinga...ni wazi kabisa kwamba mtu wa aina hiyo anajifikiria mwenyewe tu.Kama mtu analeta maringo sijui mapozz siwezi kuhangaika kwasababu i don‘t kiss anyones‘ A double S...na kuomba/kulazimisha/kubembeleza penzi ni turnoff kwangu.Kama mtu anaeonyesha kwamba mimi sio kiwango...that he thinks he could do better namuacha bila hata maswali....sipendi mapenzi ya huruma...au mtu kuonyesha ananifanyia favor kua na mimi.Wakati pekee nnaoweza kumpigania mtu nimpendae ni pale nnapoona ana matatizo yanayomlemea hata kama hayaharibu mahusiano yetu.Zaidi ya hapo...sijui labda sijawahi kupenda ila siwezi kumpigania mtu anaeonyesha kutokuthamini hisia zangu.

mmmmmmmmmh.........................................exactly "in the same words,gestures and explanation" i concur!
 
Yap, indeed, but if you take it for a dogma..............you will end up single,coz when you look around with that notion on your head you will always think that everyone comes to you coz he wants to lay you down,use you and leave you with pain.............but its good for a creed.

Is that so?!Owwright then I‘ll try!!
 
Yap, indeed, but if you take it for a dogma..............you will end up single,coz when you look around with that notion on your head you will always think that everyone comes to you coz he wants to lay you down,use you and leave you with pain.............but its good for a creed.
Is that what papa thinks?!That I go around thinking every man is after my body?!Come on now....
 
Papa told me, don't rush..............................it will come when you are ready,stay when you are mature and fly away when you are old, that has kept my virginity to date..............
congraturation for that......,keep it up....,excellent dont try until when papa wil tell you that now its a right time!
 
uncle Jei Jei..pole sana mkubwa!
ghafla umenifanya nijihisi langu ni dogo..
DAMN!

These female specie, sijui wanataka nini?!!
 
Mapenz upofu = we ushapofuka. mapenzi uziwi = we ushaziwika mapenzini donda = we usha umia. na waswahili wanasema nzi kufia kwenyekidonda ni halali yake. so we pigana mpaka uwone mwisho wake
 
Mapenz upofu = we ushapofuka. mapenzi uziwi = we ushaziwika mapenzini donda = we usha umia. na waswahili wanasema nzi kufia kwenyekidonda ni halali yake. so we pigana mpaka uwone mwisho wake

Tatizo mimi si nzi...nimeamua kufuata ushauri wa wengi!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
uncle Jei Jei..pole sana mkubwa!ghafla umenifanya nijihisi langu ni dogo..DAMN!These female specie, sijui wanataka nini?!!
tatizo kizazi hiki wasichana wanaona ufahali kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja! Wengi (NOTE: SIO WOTE) wanakaa na kushauliana ujinga! Ladies....surely their supposed to turn back!there are not even fear on GOD while HIV and unrespect to ones' feelings take it as small issue!
 
Back
Top Bottom