Wakati umefika

bokango

New Member
Jul 21, 2010
2
1
Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
 
Lowassa, sijui kama atakuja na jipya sana. Mambo yanaharibu nchi ni yale ambayo CCM imekuwa ikiyanyamazia.
 
Mwizi hawezi kuwa na ubavu wa kukemea maovu kwani anajua watu wanajua madhambi yake. Katika hali kama hii huwezi kumkabidhi Lowassa nchi.
 
Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
Umekula chakula mchana huu?Maana njaa wakati mwingine hupelekea watu kuongea vitu visivyoeleweka.
 
Raisi kichwa boga huyu, kwani mmesahau matokeo ya mtihani ya binti yake. like a father like a daughter.
 
Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!

Mimi naona tuachane tu na hii CCM,kwasababu E. L ni mmoja wapo walio Mpitisha huyu VASCO-DAGAMAkwenye vikao vyao vya NEC na sasa tunayaona matokeo yake.Kwahiyo sidhani kama E.L atakuwa na jipya tena kwa Nchi ilipo fikia sasa
By Oremus
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom