Wakati umefika wa kuwa na larger (> 10,000) denomination bills

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,144
1,648
Nadhani wakati umefika wa kuanzisha noti kubwa zaidi ya sh 10,000 (~$6/~€4). Noti ya 10,000 ni ndogo sana ... yaani imekuwa hadi mtu unajukuta unaenda ATM kila siku! Haya, na huko kwenye ATM zetu, uwepo wa pesa ni bahati, foleni kama kawa, etc. Tuondoleeni hii kero.
 
ni kweli pesa haina thamani hasa kutokana na hiked prices lakini badala ya kuwa na higher digit bills, tunaweza ku-cancel sifuri tatu (000) na kubakia na lower denomination lakini zenye thamani kubwa kwa mfano Ghanaian cedi ilikuwa sawa TZS lakini miaka mitatu iliyopita wali-cancel 3-zero sasa hivi 1cedi= usd 1.6-1.7. Yaani 10k inakuwa noti ya Tzs 10. Sina hakika lakini nadhani higher denomination ni dalili mbaya za uchumi.
 
Back
Top Bottom