Red
Miaka 50 bado unasema tuamini katika nadharia za ccm na itikadi zake? Hapo umechemsha. Au una tafsiri nyingine ya nadharia?
Black
Hata kina Dr Slaa Wametokea ccm, hivyo tayari kuna upinzani wa kweli ambao chimbuko lake ni ccm
Wapinzani hawasemi sera, itikadi wala nadharia zinazotawala CCM kua ni mbaya. Kiitikadi na kinadharia CCM ni bado chama cha wafanyakazi na wakulima. kiutendaji sana sana utasema CCM imeacha misingi yake ya kiitikadi na kinadharia uvu kutekeleza kama hii na hiki kinaifanya CCM kuonekana ni makini bado kwani wanahitaji watendaji ambao wapo sema hawana au hawapewi nguvu ya utekelezaji na wahuni wachache ndani ya chama...hivi unaweza kukosoa nadharia ya kwamba CCM
hata kelele nyingi za wapinzani zinahusu utendaji na ufuatiliaji wa CCM wa sera zao, ahadi zao, n.k
Dr Slaa alikua mtu mdogo sana CCM bila Bunge la 9 asingekua na impact yeyote. ili kujenga upinzani wa kudumu na wa kweli (siyo opportunism kama hii ya sasa ambapo CDM itapata retaliation na angry votes za CCM na siyo kura zake yenyewe kwa nguvu na ushawishi, na utashi wake yenyewe, kumbuka retaliation votes uwa zinarudi kule kule pindi matumaini yakififia ya watawala wapya)