Wakati umefika tuwaone!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!!
Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!!
Bora ununue Ohio!!!
 
Acha kuongea pumba wewe!Kila mmoja?Unawajua wangapi kwenye hilo kundi la kila mmoja?Kama umetendwa jaribu kuacha watu ambao hawakuhusika nje ya hasira zako!Alafu vipi na wewe ukiringa?Hapo utakua umewakomesha!
 
KakaKiiza umepigwa kibuti nini??

mbona unajumuisha jumuiya nzima? kwenda Ohio si jibu la tatizo lako, usikate tamaa, kata mti panda mti mpaka mambo yatakaa vizuri tu.
 
Mhh!!!umeshatendwa wewe huna lolote
unamalizia hasira zako kw akugeneralize
muda haujafika ukifika utapata huyo wa ai lav yu
kwa sasa hivi kama unaona solution ohio haya we nenda na kwa style hiyo sijui kama utafikia kupata wa ai lav yu
kila la heri kijana
 
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!!
Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!!
Bora ununue Ohio!!!

Kwanza mwalimu wako wa kiswahili ndivyo alivyokufundisha eeehhh.

Wewe kama umeachwa hasira ya nini sasa mbona wanawake wako wengi tuuuu wewe nini bana peleka hasira zako kwa huyo aliokutenda
 
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!!
Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!!
Bora ununue Ohio!!!

Mshiko ukiwa kidogo Nenda Buguruni, Manzese, Kinondoni hata Sinza makaburini
 
kwi kwi kwi kwi lol! nimecheka mpaka basi mtenda akitendewa
 
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!!
Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!!
Bora ununue Ohio!!!

Vp ushauza ule 'mkweche'??
 
kiongozi una attitude mbaya sana juu ya hii jinsia ya pili,inaonekana wamekutenda sana lkn kuwachukia na kuwakashfu kwa ujumla wao haitakusaidia sanasana unajiongezea nyongo!hebu kaa chini tulia na wewe ujitathmini inawezekana una mapungufu pia kny mahusiano.
 
Nibora kununua Ohio kuliko mambo ya i love you sijui...kimepanda kimeshuka!!!
Tuone na malingo yenu mmezidi kulinga na zaidi mnachakachua sana na kila mmoja lazima awe na watu wa2-3!!
Bora ununue Ohio!!!
ila ujue kama sisi tuna zaidi ya mmoja ninyi munawangapi?
kwani tunajifanya wenyewe bila nyie.

Inaelekea unawapata kirahisi dats why na wenzio wanakumegea kirahisi.Easy get,easy gone,easy to everybody so tafuta yule wa kiti cha pili kutoka kile cha Mchungaji na sio online love making.
 
Dah,nipo dunia nyingine kabisa maana sijaelewa una maanisha nini ingawa naona ni kiswahili
 
pole sana KakaKiiza! punguza hasira, kwani hasira ni hasara.

hata kama umetendwa si vema ukachanganya wanawake wote.
 
Nimewasikia na nitawafikia mimi kupigwa kibuti nisawa kwani wewe ujawahi kupigwa kibuti mimi nasema ukweli!!Kati yawachangiaji jitazame kama kwenye simu yako una mabwana wawili!!!ukikuta mmoja rudi uniulize swali!!
 
ila ujue kama sisi tuna zaidi ya mmoja ninyi munawangapi?
kwani tunajifanya wenyewe bila nyie.

Inaelekea unawapata kirahisi dats why na wenzio wanakumegea kirahisi.Easy get,easy gone,easy to everybody so tafuta yule wa kiti cha pili kutoka kile cha Mchungaji na sio online love making.

Not always my dear. Wengine wanapatikana kirahisi, akishakuwa kwenye consideration anavaa miwani ya mbao.
 
Back
Top Bottom