Kila siku kinakuja kitu kipya. Mwaka huu peke yake tumeanzia na uchaguzi wa wizi then Dowans. Haya tumekuja na wizi wa bungeni posho lakini wenzetu ccm wanaita mishahara na marupurupu. Ukaja umeme wa kikwete na mafuta yake. Sasa tena tumepata zawadi ya UDA. Hapa sijazugumzia EPA, Richmond, Mbagala na Gongo la mboto bombs. What next mwaka huu? au ndio takataka wanaondoka serikalini. Kuwaita ccm trashes it's justifiable kabisa, wanaumiza wananchi na kumaliza population