Wakati tunahesabu siku kuelekea miaka 50 ya uhuru hebu tuipe challenge kidogo serikali

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Sio kwamba hamsikii kila tukiongea kwenye makongamano, migongano ya hoja, vitimoto na maandamano ni kwamba tu mnaziba masikio na hamfikirii kuwa na mipango dhabiti ya maendeleo zaidi mnawaza kula tu ndio sababu sasa tumeona bora kuwaandikia kwani mkiona tumevaa kila siku labda zitaclick akilini mwenu.

Pata moja kwa ajili yako kuishawishi serikali kuwa na mipango dhabiti ili kupata maendeleo ya kuonekana sio kusemwa tu midomoni alafu hainekana kwa kuridhisha. Waonyeshe kuwa miaka 50 iliyopita hatujaridhika kwa kiasi kikubwa

Tsh. 15,000 tu.
 
Mshahara wa serikali sehemu nyingi hatujapata,na hatujui ni lini utatoka,pia ukitoka ni kiduchu maisha juu,Je ukitoka bado zitakuwepo na ka bei katapungua japo kidogo.Ili nasi wanaharakati wasio na kitu tupate?
:argue::juggle:
 
Usihofu ndugu zipo tu anytime nipigie utakuwa umepata kuhusu bei usihofu will talk na hata ukiwa na rafiki zako wanataka naweza kupatia kwa jumla ukaenda kuwauzia wewe

Back
Top Bottom