Wakati siku 90 za kujivua zikiyoyoma , ccm wanapanga kuwapa miaka 4 ili wajiondoe ndani ya nyazifa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Mkakati uliopo ndani ya CCM KWA SASA NI KUONGEZA MIAKA MI NNE MBELE KWA AJILI YA WATUHUMIWA KUJIONDOA KWENYE NYAZIFA ZAO NDANI YA CHAMA NA HII MIAKA MI NNEITAKAMILIKA WAKATI WA UCHAGUZI UJAO WA MWAKA 2015, HII NI BAADA YA KUONEKANA SIKU 90 HAZITAWEZEKANA NA WAKIJARIBU KUWATIMUA KWA NGUVU ITAKULA KWA MKUU MWENYEWE. HII IMECHUKULIWA ILI KUMLINDA MKUU.
 
Back
Top Bottom