dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Serikali imetoa tamko na dodoso ambayo itatumika kukusanya sensa ya watu na makazi kuwa vipengere vya Ukabila na Udini havitakuwepo kwa sababu havisaidii katika swala la kimaendeleo na kijamii kwa Mtanzania.
Wakati huo huo Sheik Mponda akiitaka serikali iunde tume huru itakayo jumuisha wakristo, waislam na wapagani ili waweze kutekeleza kipendele cha dini katika kuhesabu idadi ya waislam, Wakristo na wapagani wa nchi hii.
Source: Mwananchi
My concern
Sasa hapa sijui watagoma kama walivyosema