Wakati mko bize kuchumbiana humu, na mie nimejitafutia nyumba ndogo kimya kimya.....!

labda tuambie sababu zilizokufanya utereze......ipi iliyokuvuta kati ya zile zoooote unazoziandikaga humu.....
 
kumbe wana jamvi wanakujua Erickb52 kwa faulo zako
Erickb52 ni simba mwenda pole.................

Ila mzee mzima Mtambuzi ameingia choo cha kike...............yule namfahamu ni memba mkongwe mwenye ID mpya labda kama anakubaliana na mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom