1st.Tanzanian
Member
- Jun 28, 2012
- 7
- 2
|
|
mkuu hilo ni darasa huru.
duh!kichwa kinauma kwa sababu hawa wahhabi ndio waliotajwa na sheikh mkuu wa Tanzania,sheikh Simba kuwa wanaleta fujo na mapinduzi ndani ya misikiti hapa nchini wakifadhiliwa tokea nje ya nchi.Akatahadharisha kuwa wasipewe nafasi kwani imani yao haitambui uwepo wa imani nyingine tofauti na yao na inawafundisha kupambana hadi kuhakikisha watu wote wamekuwa waislam wa itikadi yao.Hawana tolerance hata kwa waislam wa madhehebu nyingine.Akaonya wakiachwa watakuwa ni tatizo kwa taifa na hata serikali kwani wao wanaamini uislam utafanikiwa mahala penye serikali yao(serikali ya kiislam au kilafa kama sijakosea) kwani wao kila kitu wanataka waendeshe kwa itikadi yao.Haya si maneno yangu,ni maneno ya mufti mkuu wa Tanzania,sheikh Simba alipokuwa akiwaasa waislam kutojihusisha na vitendo vya maandamano,mapinduzi misikitini,n.k!sasa nikisoma na huu uzi,yale yanayoendelea Misri na zile vuguvugu za mwaka jana pwani ya A.Mashariki,mh!sijui mnasemaje wana Jf wenzangu juu ya uzi huu na ile kauli ya mufti?
Let people learn but sadly it will not been seen as important document coz this .com generation want things that excite the brain like jokes and love.
Credo(motto)yao inasema, Quran is our constitution, Muhammad is our leader, Jihad is our way, Dieing for god's sake is our highest objective.
Kwa tafsiri isiyo rasmi, Kuran ndiyo katiba yetu, Muhammad ndiye kiongozi wetu, Jihadi ndiyo njia yetu, kufa kwa kumpigania Mungu ndiyo lengo la juu kabisa.
Hiyo ndio kaulimbiu ya udugu wa kiislamu(Muslim brotherhood)
Mkuu imani ni kitu tata sana, hali kama hii inaitwa FANATICISM, a person becomes so heavenly minded that he is of no earthly good.mkuu watu wa aina hii,wenye misimamo ya hivi inayoleta shida kwenye jamii na kila kukicha wanarecruit watu wapya,tunawafanyaje katika jamii?how to handle such a complicated situation?ukiwauliza wanakwambia wanakomesha dhulma,huku wakitaka kuexercise rights zao at the expense of other's rights!tunafanyaje na watu wa aina hii?
Mkuu imani ni kitu tata sana, hali kama hii inaitwa FANATICISM, a person becomes so heavenly minded that he is of no earthly good.
Kuna wasomi walishapendekeza kuwa kufundishwa kwa somo la falsafa kuanzia ngazi za shule ya msingi kuna weza kusaidia kupunguza imani zenye misimamo mikali, kwa imani zote, ukristo, uislamu, uhindu, ubudha, wicca , uyahudi n,k.
Somo la falsafa litamfundisha mtu maisha ni nini, imani ni nini, uhai ni nini na mambo mengine mengi ambayo yanamfanya mtu asiwe na misimamo mikali kuhusu mambo ya kidini.
nadhani kuna tatizo jingine pia ambalo waandishi wa threads wanapaswa kulijua.We zunguka Jf kwa mwaka mzima katika kila jukwaa uone threads zilizoandikwa kwa kiingereza zina wachangiaji wangapi!Hili si tatizo la Jf pekee,ni tatizo la "taifa".Hata kwa wauza magazeti utakuta nakala za Daily News,the guardian zikibaki nyingi!Wengi hawaelewi na wachache wanaelewa baada ya kurudiarudia sana.Sasa thread ikiwa ni report ambazo kwa kawaida ni ndefu kama hivi,utata mtupu.Watoa mada mngejitahidi kutafsiri hizi nyuzi kwa faida ya walio wengi.Ila cha ajabu zile tamthilia za tv huwa zinaeleweka sana wakati na maongezi!Sasa sijui maongezi na kusoma kipi afadhali,wataalam wa lugha mtanisaidia hapo.
lugha ya taifa ndio inapochukua nafasi yake na usitegemee maendeleo kwa taifa kutumia lugha ya kigeni kama lugha ya kufundishia athari yake watu hawawezi kuchangia mada.nadhani kuna tatizo jingine pia ambalo waandishi wa threads wanapaswa kulijua.We zunguka Jf kwa mwaka mzima katika kila jukwaa uone threads zilizoandikwa kwa kiingereza zina wachangiaji wangapi!Hili si tatizo la Jf pekee,ni tatizo la "taifa".Hata kwa wauza magazeti utakuta nakala za Daily News,the guardian zikibaki nyingi!Wengi hawaelewi na wachache wanaelewa baada ya kurudiarudia sana.Sasa thread ikiwa ni report ambazo kwa kawaida ni ndefu kama hivi,utata mtupu.Watoa mada mngejitahidi kutafsiri hizi nyuzi kwa faida ya walio wengi.Ila cha ajabu zile tamthilia za tv huwa zinaeleweka sana wakati na maongezi!Sasa sijui maongezi na kusoma kipi afadhali,wataalam wa lugha mtanisaidia hapo.