Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

That's it..vijana hawaelewi..wakikua wataacha

Unajua nini hapa wale mnaowaita WAKUBWA ni wale ambao wameshaoa tayari na zaidi ya hapo lengo lao linakuwa kupiga ile one night stand tu, hiyo hata vijana mbona wanaiweza kama hana mpango wa muda mrefu na mtu aaah ile hofu haiwezi kuwepo
 
Hahahahahaaa sitakikuongelea sana "WAUZA SAMAKI" lakini naongelea hisia ambazo anakuwa nazo binadamu wa jinsia ya kiume pale anapomtaka mtu ambaye ana hisia za ukweli kwake.

Ntakupa mfano, wewe umewahi kuwa na hisia kwa mtu fulani ambaye labda kwa bahati mbaya akawa hajajua hilo, huwa unapata hisia gani ukimuona au hata ikitokea akasogea karibu yako au hata akakuangalia?
musimo ndugu yangu...unataka tuanze fundishana haya mambo humu ndani? hapo unatakiwa uwe shujaa kwani unaweza kuta na yeye anataka umuongelleshe
 
musimo ndugu yangu...unataka tuanze fundishana haya mambo humu ndani? hapo unatakiwa uwe shujaa kwani unaweza kuta na yeye anataka umuongelleshe

Hahahahaaa hapana Moria here mi naongelea namna unavyokuwa unajisikia wewe mwenyewe personally whether yeye naye anataka kuongeleshwa pia hiyo ni hatua nyingine
 
kaka kweli bana ka totoz umeizimia ile mbaya mipango huwa inakuwa mingi sana plus ka hofu flan
 
kaka kweli bana ka totoz umeizimia ile mbaya mipango huwa inakuwa mingi sana plus ka hofu flan

Unajua hofu hasa huwa ni ya nini? Kama utakataliwa how r u gonna feel? Maana unakuwaumeshatengeneza nanamna mtakavyokuwa kama mtakuwa wapenzi
 
mbona hii imerahishwa sana siku hizi na matumizi ya technolojia. i have a software that I use
 
Mh software gani tena hyo? Mi mwenzenu mgeni mji huu
 
Tafuta pesa wewe,Siku hizi kumtokea demu ni easy as ABCD or 1234,how come wewe una sura kama goti then unataka kumtokea demu ambaye anaogea maji safi??? lazima utakuwa hujiamini tu,lakini ukiwa na pesa itakuongezea comfo!!!
 
Bob, hyo yako citaki kbs coz itanipa wale ambao wanataka hizo pesa tu. And just to straighten things up, m more than HANDSOME!
 
Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
Ofcoz ndivyo inavyokua kwetu wanaume pindi tuwatokeapo wanawake/wasichana tuwapendao... Kumtongoza mwanamke umpendae ni risk, ni kama zile hesabu za probability!
 
Tanganyika, omba msaada wa binadamu bhana.

Gagurito umeona eeh?
 
Jamani mwanamke ni mwanamke iwe wa kuoa au la, kwa dunia ya sasa kumtongoza mwanamke wala sio issue kabisa otherwise una matatizo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom