Wakati Fulani

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Katika kutafuta uhuru wa maisha yangu , kazi , mapenzi yangu na amani ya akili yangu
Niliacha kumbukumbu yako nyuma , moyoni kwangu ulikuwa umejaa sana kuliko pishi la wali , hukuwahi kuteleza wala kuterereka .

Nataka kuanza maisha mapya ya mapenzi lakini siwezi , kwasababu bado ulikuwa akilini mwangu moyoni mwangu nakatika shuguli zangu za kawaida , sikuwa na njia nyingine yoyote ile

Kwasababu najua ukweli kamba ntakufikiria wewe saa zote , muda wote na popote pale nilipo likija suala la kukupenda wewe milele na milele , kukusikiliza na kuwasiliana na wewe , kama muda na wakati napata .

Najaribu kutupa picha yako kutoka akilini mwangu , labda ntakusahau , au pengine upotee kabisa toka sehemu zote ntakazo kua Najaribu kuacha kukufikiria ,kama nilivyokuwa nakufikiria na kukujali enzi hizo lakini hata siwezi hata robo haifikii .

Kila nikipita njiani wale ndege wa mitini wanaimba nyimbo za jina lako , naona aibu hata kuangalia ardhi kwa siku ile ya mwisho tulivyofanyiana mambo ya ajabu ajabu , hata mawingu nahisi yanataka kunidondokea , magari nahisi kama yanataka kunigonga , watu pia nawaogopa labda wanaweza kunisulubu

Nikipita baharini , sauti za mawimbi zanabeba sauti kutoka kwako , Inanikumbusha enzi hizo nikienda kuogelea , sikuwa naona maji ya blue bali niliona sura yako majini , hiyo ilinifanya niogelee kwa ufanisi na furaha , haya maji ndio yanaunganisha sehemu ulipo nami .

Siku hizi naogopa hata kuangalia maji ya baharini kwasababu sioni kitu chochote kile sioni rangi naona mawimbi tu na sauti za ajabu ajabu , hawa ndege nao wanaimba nyimbo mbaya mbaya tu hazina radha .

Sijui unanifikiria kiasi gani hapo ulipo , au sijui unanifikiria kwa mabaya sio mazuri ? nahisi ni mazuri , kwasababu mambo yale yalishapita nami nimeshasahau kitambo , kama unanifikiria kama ninavyohisi na kufikiria je Unajua ukweli kwamba nakufikiria wewe pia ?

Ukirudi kwangu katika maisha yetu ya kawaida Siku moja sijui ni siku gani hiyo kwa sasa siwezi kufikiria zaidi mahala Fulani , wala sijui mahala gani , labda juu yam lima Kilimanjaro au bagamoyo katika hoteli fulani , au Zanzibar kuogelea na samaki wadogo
Ni mimi na wewe mpenzi

Tutajua hatima yetu , kuhusu mapenzi yetu na maisha yetu ya mbeleni , ukisharudi tukikutana siku hiyo , naogopa kufikiria sana au kuelezea sana kwasababu najua ni dhambi kuhisi vitu ambavyo havipo au pengine haviwezi kuwepo

Tutasheherekea mapenzi yetu mazuri na ya kweli kabisa Kwasababu hakuna mtu anayetumiliki , wala hakuna mtu anayeamua mambo yetu , hata huu uamuzi tulioufikia hakuna mtu aliyeamua , ila naona nahisi kuna wengi wanajifanya kwamba wameamua wao tuwe mbali kwa muda Fulani au pengine milele na milele .


Tutakutana , wewe uwe wangu nami niwe wako kuliko enzi hizo tulivyojuana kwa mara ya kwanza , kwasabu kila mtu atakuwa amerudi kwa ari mpya , kazi mpya na kila kitu kipya sasa kila mmoja wetu atajua anafanya nini kwa mwenzake .

Tutacheza na kufurahia pamoja
Huu upendo tulio nao pamoja

Lakini sasa uko dunia yako , sijui huko ulipo unajisikiaje na uko na nani na huyo nani anakushauri nini au anakusaidia nini kimawazo , najua hilo suala halinihusu , napenda kukusikia uko na amani na unaendelea vizuri na maisha yako mpaka siku hiyo tutakapo kutana tena sijui lini

Mimi pia niko katika dunia yangu , maisha yangu ni salama tu , hapa mjini mvua nyingi sana , natamani ungekuja kunipa angalau joto la mwili wako nami nikupe baridi la mwili wangu , nikukumbatie na kukubusu sehemu zote nzuri zinazokubalika , ila dunia yangu iko kimya sana kwasababu yako iko kimya kabisa .


Huo upendo ulioupanda katika moyo wangu na roho yangu ni upendo ambao hauwezi kuisha milele ,nawe unajua hilo .

Sijawahi kupata hisia hizi kabla na kitu katika moyo wangu unaniambia ni wewe pekee , je nawewe unajisikia sawa namimi ? nakutaka wewe wote , mwili wako na roho yako .

Ndoto zote nzuri ambazo hujawahi sema , kila kitu ambacho hujawahi kushirikiana kabla , kila baya na zuri lako

Jamani ninavyosubiria ,kusikia sauti yako
Na hayo maajabu ya penzi lako

Siku tukiwa wote katika giza
Nisikie mdundo wa moyo
Sina cha kuficha

Nakutaka wewe na kila kitu ambacho unataka katika penzi letu liwe bora na kudumu zaidi , utaelewa zaidi siku hiyo tukiwa tunasikiliza radio , nimekushika mkono kisha tuanze kucheza muziki taratibu .

Bado nakupenda na kukuhitaji sana , umeondoka wakati ambapo ndio nakuhitaji zaidi na sana .

Si utarudi tena ?


Hivi nilichelewa kukuambia haya ninayokuambia sasa ? kama nimechelewa naomba unisamehe sio makosa yangu ni makosa ya mawazo yangu nilihitaji kupumzika kwanza kuweka mambo sawa ili niandike vizuri sio uchochoro


Je nilichelewa kukuambia kwamba hakuna aliye juu yako ?

Unajaza moyo wangu na amani unaondoa mateso yote
Kutowa shida zangu , ndio unachofanya

Siku zangu huzijaza na upendo

Unajaza maisha yangu na tabasamu , ndivyo ulivyo

Kuna upendo unaolezeka , nao ni kati yangu na yako

Mwisho wa siku , inabidi tuombe na kumtukuza aliyetukutanisha
 
Here are our all time favourite love text messages! Short, Cute and Sweet:) Don't delay to send them for free to your loved ones...

You can use sweet text messages to flirt about your love and admiration for someone while expressing your true feelings...


Love is to think about someone else more times in a day than you think about yourself.
 Never frown, even when you are sad, because you never know who is falling in love with your smile.


 True luv is hard 2 find. Special 1-1 of a kind. But the luv inside of me is true. It appeared the day i met you!


 I asked God 4 a rose & he gave me a garden. i ask God 4 a drop of water & he gave me an ocean. i asked God 4 an angel & he gave me u!


 I believe that God above created u for me to luv. he picked you out from all the rest cos he knew id luv you the best!


 If i died or went sumwhere far i'd write ur name on every star so everyone could look up n see u mean the world 2 me.


 One day youll ask me: whats more important to you, me or your life? ill say my life and youll go and leave without even knowing that you are my life.


 If love were to be taxed, I would be the highest tax payer, you can't buy Love... but you can pay heavily.


 Common sense is common, but... the use of common sense is uncommon !!!!


 Promises are like babies, easy to give hard to deliver.


 You need Money to call someone Honey.


 My girlfriend told me, I should be more Affectionate, so i got two Girlfriends.


 We can see more Grafitti's in girls toilet , WHY ?
Because their both hands are free.


 Definitions :
Home : A place where you can scratch where it itches.
Doctor : A person who cures the ills by pills,
and kills by his bills.
LOVE : Loss Of Valuable Energy
WIFE : Worries Invited For Ever


 I love you not because of who you are, but because of who I am when I am with you.


 TaLk 2 me wHen i'm boReD, kiSS me wHen i'm saD, hug me wHen i cRy, caRe 4 me wHen i diE, loVe me When i'm sTill Alive...


 It is not being in love that makes me happy... but is being in love with YOU that makes me happy.


 It’s hard to find someone whom you truly love, much less to find someone who loves you as much. When the chance comes, don't ever let go.


 Cherish the person you love, never tell lies or attempt to hurt them because you won't know how important they are until they are out of your life...


 Who cares whether this is a poem or rhyme, I will love you until the end of time...


 A sMiLe tO pUt You On HiGh... A KisS To Set YoUr SouL ALriGhT... WouLd iT bE aLriGhT iF I spEnT ToNiTe BeiNg LovED bY YoU???


 Never WasTe an OppOrtuniTy 2 sAy 'I LoVe U' to Someone u ReaLLy Like, Coz it is noT EvEryDaY u'll mEEt tHe PerSoN WhO hAs tHe MaGic 2 lEt u fAll iN love...


 True love is like ghosts, which everybody talks about and few have seen.


 Without humor, life sux. Without courage, life is hard. Without love, life is hopeless. Without friends like you, life is impossible!


 FiRsT NiTe, FiRsT SiGhT, I SaW, I KnEw, LoVe's SwEEtEr ThAn MoUnTaiN DeW, A pRoMiSe I mAdE and' WiLL kEEp, 2 LoVe YOU aLwAys~


 LovE is Not HoW LonG U've BeeN 2gEthEr; nOt HoW MucH U've GIvEn oR RecEivE; Not hOw MaNy TimEs U've HeLpEd EaCh OthEr --- Its HoW U VALUE EaCh OtHEr...


 I håtê Smî|îÑg jûSt tO prEtêñD î'M ñOt hUrt. î hÅtE to gîGglê tO Show î'll ßê okåY. î hAtE tO laUgh aFtEr î Cry. í Stìll lovE YOU ßût í'Vé tó SaY gooDbYê...


 Don't regret what you've did, but regret what you never did, go and say 'I LOVE U' to your loved one!


 Love makes life so confusing but without love would you want to live?


 Love Is When You Don't Want To Go To Sleep, Because Reality Is Better Than A Dream.


 WOrLd iS cRueL, LoVe iS bLinD. LoSt iN sAdnEsS, BluR In miND. HeArT iS bRoKeN, fLaMe hAd DiEd. TiMe HaS pAsSeD bUt wHy iS hE... sTiLL nOt mInE...


 No one is too young for love, because love doesn't come from your mind, which knows your age, but from your heart, which knows no age.


 Love is like a cloud... love is like a dream... love is 1 word and everything in between... love is a fairytale come true... Coz I found love when I found U.


 It hurts to love someone and not be loved in return, but what hurts more is to love someone, and never find the courage to let them know how you feel.


 It takes a minute to have a crush, an hour to like someone, and a day to love someone, but it takes a lifetime to forget someone.


 I'm scared to fall in love, scared to fall fast, because every time I fall in love... it never seems to last.


 People say you only fall in love once, but when I hear your voice I fall in love all over again


 Love is to think about someone else more times in a day than you think about yourself.


 There are times when I fall in love with someone new, but I always seem to find myself back in love with you.


 The hardest thing you'll ever do is watch the one u love, love someone else.


 Meeting you was fate, becoming your friend was choice, but falling in love with you was completely out of my control.


 Always draw a circle around the ones you love, never draw a heart because hearts can be broken, but circles are never ending.


 I'd rather be hated for who I am then be loved for who I'm not


 Trying to forget someone you loved is like trying to remember someone you never knew.


 Dance like no one's watching; sing like no one's listening; love like you can't get hurt, and live like there's no tomorrow.


 LoVe iS LiKe QuiCkSanD - ThE DeEpEr yOu FaLL iN iT ThE HaRdeR iT iS tO GeT OuT.


 You showed me how it is to be loved. Now I know what really love is. 1 day we will be together forever. I can't wait to hold you in my arms again.


 There's a warmth in my heart. It haunts me when U R gone. Mend me 2 ur side and never let go. The more I live The more I know, wat's simple is true, I love you.


 I feel something in my heart, it's like a little flame, every time I see you, this flame lights up, this flame is special for you, because I LOVE YOU!
 
The Western media is obsessed with sex. There is little left to the imagination on most prime time TV shows on the major networks. The latest seasons for the major US networks, along with basic and pay cable channels, are filled with the most graphic, most exploratory displays of sex and sexuality since the inception of TV. However, it isn't just the Western media that seems to enjoy delving into the seedy underbelly of intimacy, as there are more studies being conducted on sexual health than there are on any other aspects of medical science. With the possible exception of mental health and psychology, at least.

On one hand, there is the near-constant confusion people have over the sexual health and behavior of younger generations. Millions of taxpayer dollars are being spent every year to analyze whether or not government-sponsored sex education programs in schools are effective. There are constant debates on the virtues of abstinence over just handing out condoms on street corners, with neither side really having a permanent grip on the issue or gaining an the upper hand on sex-related social problems such as venereal disease, overpopulation, and teenage pregnancies. In some areas, the studies about teen sexual health and behavior are taking a drastic turn in the form of propositions to enforce control over such activities. Thankfully, most of these ideas have been quickly shot down, as most sensible people are able to see them as tactics that loudly echo Orwell's “1984.”

There are learned, educated professionals who are now examining all the sex on TV. While most of them are quite content to remain within the domain of criticism of the general aspects of TV reviewing, some of them are digging deeper into the racy scenes. In simpler terms, while most reviewers are focusing on things like level of cinematography, the beauty of the script, and the quality of the acting, others are paying more attention to the more...physical scenes. The fact that most of them describe said scenes as vapid and devoid or artistic value or life does not really balance things out. While it is arguably wrong to sell a show based solely on how much skin is shown and who goes to bed with who, it is also wrong to criticize a mediocre show as a bad one solely because the more intimate scenes aren't that “refined.”

Of course, one cannot discount the on-going argument on whether or not certain sexual behaviors can be considered a sign of damaged mental health. Certainly, some behaviors are less conventional than others and may be a sign of some sort of milds psychiatric disorder, but very rarely is aberrant sexual behavior itself directly linked to a mental disorder without other disorders being present. Nymphomania and satyriasis are old, archaic terms that have been removed from the latest psychological and psychiatric dictionaries, which can be taken as a sign that people are no longer equating sexual behavior with mental illness. However, the replacement term, “hypersexuality,” has a definition that is just as vague and subjective as the words that it replaced.

Then there are the studies being conducted on matters like sexual impotence, the elusive female orgasm, and a thousand other things directly related to the act of genital copulation itself. Some organizations have estimated that anywhere from 10 to 25% of all research funding in the medical field ends up being spent on sex-related research. This is a generous estimate, but the sad truth is that a large chunk of funding does end up going to that area, and not just because “sex sells.”

About the Author
DrugstoreTM.com is a reputable online drug store. From sexual health to a woman's health, sleeping aids to weight loss pills, our online pharmacy offers convenient customer access to various health medicines, including an array of health product and medicare prescription drug
 
Have you ever given much thought to the differences between the sexual fantasies typically conjured up by men and women? Men, it seems, tend to have more sexual fantasies than women and these are more likely to be paired with masturbation. Men, by nature being visual, are likely to create graphic images of women's sexual bodies and imagine watching them, seducing them or, quite often, being seduced by them. For a male, the story line of a fantasy is uaually quite genital and accompanied with explicit visual images.

Women, in general, fantasize less than their male counterparts. Those women who do fantasize are typically less visual in their sexual fantasies, are usually less focused on genitals, and are more likely to construct a story with the emotional feelings of a romantic encounter. Women also tend to involve more olfactory and auditory memories... memories of smells and sounds. To be sure, however, there are women who masturbate to their fantasies, be they romantic or erotic.

Sexual fantasies can serve many purposes. They can induce sexual desire, maintain sexual arousal, enhance the sexual experience, trigger an orgasm, and preserve a memory.

The desire to be sexual is not something controlled by a switch and easily turned on following the eleven o'clock news. Many people, particularly as they age or as a relationship matures, find that the easy turn ons occur less frequently, particularly late at night. On those occasions when time is limited, fantasies can serve to focus attention on the anticipated erotic event and help induce the desire for sexual intimacy.

More than one person has told me, "I'm not able to get excited on a moment's notice. I need time to psych myself up." To induce desire, you can think ahead about what you would like to experience and what you and your partner will give and receive. Imagine the sexual encounter is your very first, but without those initial anxieties, and let it be, in your mind, a new and exciting adventure. Recall the good sexual feelings you have experienced and mentally reminisce about those most memorable past encounters. Conjure up the memory of a partner's warmth, softness, and gentle touch. See your partner's face in your mind's eye and recall that person's sounds of pleasure and the aroma of their excitement. Include only the graphic images you are comfortable with.

Desire can be induced mutually throughout the day, with, for example, a phone call to say, "I've been thinking of your wonderful body." The mid-day message, "You won't believe what I want to do to you tonight," might stir the erotic imagination of both partners, causing each to spend the day thinking of the possibilities in store for that night.

For those without a partner, fantasies during the day can become the prelude for an episode of self-loving that evening. Self-stimulation, the normal, natural way of experiencing solitary pleasure, is a healthy outlet for many who are alone. Fantasy during the day can certainly prepare you for the quiet celebration of your own sexual response.

Most of us have had the experience of beginning a sexual encounter, only to find our minds wandering off to the worries of the day or the pressing issues of tomorrow. Erotic fantasy can maintain arousal by pushing away the intrusive nonsexual thoughts. When distractions hit, we need only focus on a pleasant sexual memory or project an exciting visual image on our mental movie screen. Fantasies can be of our current sexual partner, but often they will revolve around persons from the past, coworkers, movie stars, or attractive strangers. Bringing others into fantasies is normal and is justified if it serves the current relationship by eliminating distractions that would otherwise dampen or destroy the passion. Obviously, if someone feels guilty about including others in his or her fantasy script, they should be left out. Some people like a cast of thousands, while others want to focus exclusively on their current partner.

Many people worry about their fantasies being too "kinky", but such fantasies are really quite common. Unusual fantasies can help maintain arousal and are harmless if there is no compulsion to actually experience an act that would be emotionally or physically harmful to oneself or to others. Whereas honesty is usually the best policy, discretion must be used in the sharing of some unusual fantasies or fantasies involving other people. It is rare that a couple can share such deep, dark, private thoughts without, at best, a little discomfort. Too often the reaction upon hearing a partner's most kinky fantasy is one of jealousy or distrust, if not anger and disgust.

One woman playfully imagined that her partner's penis was enormous, and reported how she would visualize engulfing this gigantic imaginary erection into her body. In her mind she would privately marveled at her vagina's ability to swallow up this massive tool. She quickly acknowledged, however, that she had no desire to experience anything that large in real life, but she did enjoy embellishing her fantasy with the thoughts of dressing this impressive male member in doll's clothing and taking it for walks in the park. During her sexual encounters, this fantasy helped rivet her attention on the pleasure she was feeling from the very adequate, reasonably-sized penis of her partner.

One night, this woman decided that it would be fun to share her giant penis fantasy with her partner. To her utter surprise, the man was devastated upon hearing her playful musings! He began worrying that she had been with men who had larger penises than his, fearing that these well-endowed men must have please her more than he could ever hope to do. He erroneously assumed that she could not enjoy his average-sized penis, and began to feel totally inadequate as her lover. Fearing he could not satisfy this woman, he backed off sexually. When he did try, he felt self-conscious and, as a result, often failed to become erect. This, of course, led to more avoidance and self-degradation.

In couples therapy this man worked on understanding that his partner's fantasy had nothing to do with his genital size or sexual performance, but made their shared intimacy more exciting for her. In our last therapy session he began laughing and, when questioned, shared his own "pet" fantasy. He had for many years fantasized he was making love to a virgin and that her vagina was the town's tightest. Both agreed that they loved each other, loved the sexuality they shared, and would never again ask about the private fantasies each used to dispel the occasional intruding distractions. The also learned that in reality, tight vaginas and large penises are immaterial when a relationship is based on love and mutual respect.

The consequences of disclosure were more serious for another couple. The man fantasized about having sex with his wife's younger married sister. While he found the sister attractive, he had no illusions about her commitment to her husband and would never, in reality, make a pass at her. When he shared his fantasy, however, his wife expressed anger and disbelief. She became extremely uncomfortable whenever her sister was around and believed that she had to watch them both closely for any signs of subtle flirtation. Angry that she now felt distrusting, not only of her husband, but of her sister as well, she chose to end her marriage with the man rather than further damage her relationship with her sister. The fantasy proved to be too close, too personal, and too threatening.

Many shared fantasies, however, enhance desire and maintain arousal. One night a man entered a singles bar, propped himself up on a bar stool and slowly rotated, carefully surveying the women around him. Apparently no one caught his eye, so he turned his back on the scene and sipped quietly on his drink. About fifteen minutes later, a woman walked in. As her eyes adjusted to the darkened room, she also scrutinized the crowd. She wandered around a bit, being careful not to make eye contact with any of the men scattered around the room. After a few minutes of aimless wandering, she moved up beside the man who was seemingly intent on nursing his drink. Sliding between him and the person sitting next to him, she leaned toward the bar to catch the bartender's attention. As she did, the man felt her breast brush lightly across his arm, but he did not look her way.

After being served, the woman stepped back, drink in hand, and stood behind the man. Aware of her presence, the man turned and looked into her eyes. His unoriginal inquiry, "Do you come her very often?" was met with an abrupt, "No!" As he turned toward her, his leg came to rest against her thigh. She made no attempt to avoid the contact, but waited for him to continue his attempt to initiate conversation. Awkwardly he asked, "What do you do for fun?" Both grinned at her response, "I pick up strange men in singles bars." At this point the drink he had been nursing so patiently was gulped down in record time and he asked her to dance. She played at being reluctant, but allowed him to convince her. On the dance floor, they danced as though each was covered by porcupine quills and a large man on a Harley-Davidson could have driven between them. As they continued to dance, however, they moved closer until, from a distance, it looked as though their bodies had blended into one.

As they left together he asked, "Shall we take your car or mine?" Again giggling, they took his car to the nearest motel, where he produced a bottle of wine from an ice bucket on the back seat. Ralph and Mary, who had been married for three years, were acting out their shared fantasy. Once in the room, Mary enticed Ralph into seducing her slowly, pretending uncertainty. "I really don't know if I should!" she said coyly as he pretended clumsiness, fumbling to unbutton her blouse and acting bewildered by the complexities of the one-handed unsnapping of a push-up bra.

During their lovemaking, Mary intentionally cried out, "Oh Bill, you make me feel so good," and in the morning, Ralph pretended to have completely forgotten her name. It was a night not soon forgotten, providing the erotic content for many fantasies that followed.

Novelty can get lost in long-term relationships. When a couple becomes comfortable and familiar with each other sexually, they often forget to be romantic. The entire sexual scenario might become routine, taking place at the same time of the day, in the same location, and all too often in a hurry to completion. While it might be impractical for most of us to make love on a beach, in fantasy we can imagine the sound of the ocean, the warmth of the sand beneath our body, and the excitement of making love under the stars. Perhaps yours will be a fantasy of making love in the woods, or in an old barn, or in the backseat of a car you had as a teenager.

Some fantasies can be acted out, e.g., a pick up in a grocery store. But most fantasies are just private thoughts that need not have a complex storyline, or a cast of hundreds. Working too hard at building a sexual fantasy can become a distraction, defeating one of its purposes. The best fantasies are often quite simple and tied in with pleasant memories. Often it is visual, creating a mental image of a part of the partner's body that is pleasing to look at, but impossible to see in the dark or in a particular position. At times words can be added to the fantasy while forming the mental image "I love your buns."

Special fantasies can be saved for those times when an orgasm is a bit elusive. These favorites can often add the final bit of excitement needed to trigger a powerful climax. Search your inventory of fantasies. Is there one that is particularly powerful? A favorite that is best saved for the climax? If you discover that you have a trigger fantasy, use it sparingly so as not to wear it out. When you are close to orgasm and hovering on the brink, call up that trigger.

It is nice in the afterglow of a loving and lustful encounter to snuggle together and reminisce. Images of the encounter can then be stored for later retrieval to induce desire, maintain arousal, or even trigger an orgasm. Fantasies serve many functions from getting started to getting finished. Remember, sexual fantasies before, during and after a sexual encounter are normal, natural and often helpful in changing a routine experience into a new and exciting event.

© 2001 Robert W. Birch, Ph.D.
 
Words: Sade Adu
Music: Sade Adu and Stuart Matthewman


Your love is king,
crown you in my heart.
Your love is king,
never need to part.
Your kisses ring,
round and round and round my head.
Touching the very part of me.
It's making my soul sing.
Tearing the very heart of me.
I'm crying out for more.

Your love is king,
crown you in my heart.
Your love is king.
You're the ruler of my heart.
Your kisses ring,
round and round and round my head.
Touching the very part of me.
It's making my soul sing.
I'm crying out for more.
Your love is king.

I'm coming up, I'm coming.
You're making me dance, inside.

Your love is king,
crown you in my heart.
Your love is king,
never need to part.
Your kisses ring,
round and round and round my head.
Touching the very part of me.
It's making my soul sing.
Tearing the very heart of me.
I'm crying out for more.

Touching the very part of me.
It's making my soul sing.
I'm crying out for more.
Your love is king.

This is no blind faith
This is no sad and sorry dream.
This is no blind faith
Your love...
your love is real... gotta crown me with your heart,
never, never need to part,
touch me.
Never letting go,
never letting go,
never going to give it up.
I'm coming,
you're making me dance...
 
SWEETS - TAMU TAMU

Baby niambie vipi kuhusu mpenzi wako wa zamani , mlikuwa mnaishije nae kabla ya kuwa na mimi , samahani kawaida yangu napenda kuuliza maswali tu , naamini wewe ni mpenzi wangu kwahiyo utakuwa muwazi zaidi kwangu naomba uniambie kwa ufupi tu tafadhali sweets .

" Mhh dear sikia , mpenzi wangu wa zamani tulitokea kupingana katika baadhi ya mambo lakini la zaidi ni yeye kunikuta na mwanaume mwingine akiwa amelala nyumbani kwangu ambaye ni rafiki yake mwenyeji wa arusha alikuja dar kikazi ndio ugomvi wetu ulianzia hapo ila kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi kila mara nikakosa raha na maamuzi nilihitaji mtu wa kunituliza na kuniliwaza ndio nilipokutana na huyo kijana wa arusha niliyekuwa nachat nae ."

Sweets hata na mimi tumekutana katika chat , nitakuamini vipi sasa kama huna wavulana wengine zaidi yangu na pengine huwa unaenda kulala kwao wakati nikiwa mbali ? " Baby naomba unielewe mpaka nakuja kwako chumbani kwako usiku wa leo ujue nimekuamini kweli naahidi kutokukudanganya wala kukutendea lolote lile ambalo wewe hutopenda au kutokukubaliana nalo sawa baby ?

Ahh na mara yako ya mwisho kupima afya yako ilikuwa ni lini ? na majibu yalikuwaje ulijisikiaje baada ya hayo majibu ? " Baby mbona unaniuliza maswali mengi ina maana hunipendi huniamini ? nifanye nini ili uniamini ? kwa kweli sijawahi kupima afya yangu wala nini kwa sababu huwa siumwi hovyo , najiamini niko salama mara zote huwa natumia kinga mimi ni mwangalifu sana katika jambo hilo ila ukiniahidi utaniowa na kunitambulisha kwa wazazi wako ndio tutaenda kupima afya zetu bila hivyo sijui kama tutaishi pamoja na kuelewana .

............................................................................................................................................................................................

Mweusi kwa rangi , mrefu na mwembamba kidogo ni mtu kutokea mbeya amewahi kusoma uganda na nchi za kenya , anavutia kwa kweli kile kiingereza chake na manjonjo yake mengine aliyokuwa nayo lazima uvutike lazima uwekeze usipokuwa makini na mwangalifu katika masuala haya , kwa kweli alifanikiwa kushika watu wengi vijana kwa wazee walio katika ndoa na ambao bado hawako katika ndoa .

Wengi wao walikuwa ni vijana tena wanakutana nae kwa njia ya mtandao Sweets ni mjuzi wa biblia amelelewa katika mazingira ya dini ya ukristo kwahiyo muda mwingine sana anatumia ujuzi wake wa biblia katika kufanikisha mambo yake mengi haswa katika kuweka mambo yake sawa na wanaume hawa wanaojifanya vimbele mbele .

Niliwahi kuchat nae wakati mmoja nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumatatu na jumatano mchana tulionana nakumbuka ilikuwa maeneo ya katikati ya jiji kwa chakula cha mchana alinieleza kuhusu maisha yake ya kiroho na mambo yake mengine mazuri mazuri na kwa kweli tulifurahia lunch yetu na nilimsindikiza mpaka kazini kwake siku hiyo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuonana nae na kujua anapofanya kazi .

Woow niliporudi kazini nikamweleza kijana mmoja tuliyekuwa tunafanya nae kazi kwamba nimekutana na kitu fulani yuko hivi na vile akisema anamjua akanitajia rafiki zake wengine na vituko vyao , Ahh sikumwamini mfanyakazi mwenzangu nikajua tu anaona donge hala lolote na yeye mzushi tu nikaamua sasa kuanza mawasiliano ya mara kwa mara ya Mrembo SWEETS .

...........................................................................................................................................................................................

Wakati natoka kazini nilienda kumpitia pale kazini kwake namsindikiza mpaka karibu na kwao tazara kisha nami narudi kwetu sikujali chochote wala lolote lile kuhusu muda wangu , mimi nilichojali ni kwamba namfurahisha sweets kweli ajisikie yuko sweet na kufurahia maisha ya hapa duniani haswa anapokuwa katika himaya yangu .

Maisha yaliendelea na mambo yaliendelea kuwa poa kati yangu na yake , siku moja akiniomba simu yangu ya mkono awasiliane na mtu mmoja sikumjua huyo mtu wakati anaomba simu mimi nilitoka kwenda nje kidogo , akarudi na kunikabidhi sikujua ameongea nini na wala aliongea na nani .

Asubuhi yake ilipofika napigiwa simu na Dada mmoja niliyetokea kumpenda sana katika maisha yangu akaniambia ametukanwa na fulani kutumia simu yangu , huyu dada nae nilikuwa nawasiliano nae katika chat moja sikuhiyo mambo yakabadilika na akatukanwa kutumia simu yangu na hapo ndio mimi na sweets tulipoanza kulegea kidogo kidogo .

.............................................................................................................................................................................................

Mara ya mwisho kuonana na sweets ilikuwa ni uwanja wa ndege wa JK nyerere alipokuja kungoja jamaa mmoja aliyekuwa anasafiri zake , tulionana pale tulisogeleana kila mtu akawa anamwangalia mwenzake kimahaba , kila mmoja alitaka kumkumbatia mwenzake mimi moyo wangu ulisita kabisa ingawa nilitaka kufanya hivyo NILIKUMBUKA ZAMANI ENZI HIZO

Leo hii nimekutana na mmoja ya marafiki zangu wazuri sana tunaongea na kupiga story ananiuliza kama namjua grace , Grace gani ? " yule aliyekuwa anafanya kazi hugo house " aahh yule namjua rafiki yake Sweets si ndio ? " Yah ni huyo huyo , vipi unamwonaje sweets , yule anayefanya kazi nyuma ya ile hospitali ? yule namchukuwa siku hizi

HADITHI HII NI YA KWELI SAMAHANI SANA KWA WAHUSIKA KATIKA HADITHI HII VIJANA HASWA WALE WANAOPENDA KUCHAT

WEEKEND NJEMA
 
SHY...Thanks

Mwanakijiji ukipita hapa please tuelekeze au uwe unaweka zile story zako..siku hizo naona huja update muda mrefu...au ndio mambo ya mafisadi yana ku keep busy sana..

Hapa ukiweka..naona tutakuwa tunawasomaji wengi sana...ni nzuri sana..

Kazi njema
 
It is the nature of this life that people will suffer from worries and stress, because this world is the place of disease, hardship and suffering... It is also the nature of this life that people have to put up with suffering and hardship for various reasons... The things that cross our minds and make us feel distressed are things in the past that have caused grief, things in the future that we are worried about, and things in the present which concern us...

Learn all about stress, including its effect on your health, common causes, the signs and symptoms of stress overload, and how to protect yourself.

Please Click here:
stress
 
The One And Only Owner Of My Heart
To: Jay ~ From: Stardust


Dear Jay,

I want to start by saying that I miss you, and you have no idea how much I love you.

I know you don't need another reminder because I tell you a thousand times a day how much I love you, but I do and that is my only way to show you. I love the hundred ways you show me how much you love me, and I know my simple words can never compare.

From day one, I knew there was something in you that no other guy had. You are the most AMAZING guy I have ever known. Thinking back to the strange way we met, how we grow so close in just a few short days, and how you were the first one to show me the meaning of true love, it makes me smile and fall all over for you again.

Baby, you make my heart beat faster each time I see you, and you give me butterflies when you kiss me. You are the one I want to hold for the rest of my life. In your arms is where I belong.

You melt me every time you tell me about the future that you want to spend with me and how we could show the world the real meaning of being in love with the right person.

I wish the people around me saw you and accepted us being together, because I don't think I could live a day knowing that you are not in my life. I know that anyone that tried to replace you would only be compared to you in my mind, and I know they could never live up to you in my eyes. Every time I look into your eyes I know that is where I want to live and die, and every time you hold me tight I don't want you to let go because that is the only place I feel safest.

I know when we first got together everyone wanted us apart. They told us that our relationship would never last, and they still tell us that. But we have proven them wrong and I want you to stay in my life forever, as you will in my heart. I know forever is a very long time but it won’t be enough time for me to spend with you, showing you every day how much I love and care about you.

I hate being far from you. Knowing that I will only see you on holidays breaks my heart. I pray that you will carry my love for you in your heart while you are gone, and I look forward to the day when we can be together again.

Love Always,

Majjo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom