Wakati CCM wako bize kukata utepe na kutalii, Dr. Slaa yuko bize kuhamasisha wananchi vijijini

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
CCM 2015 wakipona basi tujue kuwa asilimia tisini ya watanzania hawakupiga kura.

Kila mtanzania anajua kuwa ukienda ikulu kuwakuta wakuu wa kaya sio rahisi kwa sababu mmoja yuko bize na safari wakati mwengine kila kukicha anatafuta wapi kuna kasherehe akakate utepe.

Wakati huo huo Makamanda wetu Dr slaa na Mbowe hawalali wanazunguka kijiji hadi kijiji kuwaamsha wanachi na kukiimarisha chama. Huu ni mtaji mzuri sana kwetu Chadema.

Hebu jiulize kulikuwa na sababu gani MKULU kuhudhuria semina ya uzazi wa mpango? mie nadhani hii ni shughuli ya mabwana afya
 
kamanda wa ardhi , wacha awaadabishe, ccm wanakosa ujasiri wa kufanya wanayofanya chadema
 
Hebu jiulize kulikuwa na sababu gani MKULU kuhudhuria semina ya uzazi wa mpango? mie nadhani hii ni shughuli ya mabwana afya
Kwenye ile semina rais wa Burkina Faso Blaise Compaore aliwakilishwa na mke wake
 
Watawaambia nini wananchi wakati waliahidi vitu kibao ambavyo havitekelezeki Kama ile kigoma kuwa Dubai ya Africa ahadi hiyo inatosha kukukimbiza hata nchi
 
Chilisosi angalia mwananchi uk wa 3 kuna picha pale uiweke hapa hii post yako ingekaa utamu sana!
 
Chilisosi angalia mwananchi uk wa 3 kuna picha pale uiweke hapa hii post yako ingekaa utamu sana!
 
Chilisosi angalia mwananchi uk wa 3 kuna picha pale uiweke hapa hii post yako ingekaa utamu sana!
Sina hilo gazeti kaka, nimecheki kwenye mtandao sijaona kitu naomba uatach wewe huko kaka
 
Back
Top Bottom