Wakali wa "terminal"

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Ndugu wadau, jana nikiangalia mechi ya yanga na St Geoarge kupitia super sport 9, niliona kitambaa likubwa kwa upande wa mashabiki wa yanga kimeandikwa "WAKALI WA TERMINAL" naomba kujuwa wakali wa terminal hawa jamaa wanamaanisha nini?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom