Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni kwanini tunakuwa watumwa wa dini za watu??ukisto wazungu,,uislam waarabu,,waafrika tumeletewa tu hizi dini,,,kwanini sasa waislam wanakuwa na udini??
Siyo rahisi kama unavyoona wewe mkolawake. Inaelekea wewe unajaziba za kidini? Kwa nini usihoji kwa nini anafanya hivyo? Usikurupuke ndugu -jadili kwa hoja, acha jaziba za kidini? :director:
Hongera Rom kwa kujadili kwa hoja ziyio jaziba. Hito sensa inayosema waislamu ni asilimia 35 ni ya kanisa, kwa nini sasa muislamu aonekane kuwa na kosa kwa kutaka kuingizwa kipengele cha dini kwenye dodoso? kama siyo muhimu -makanisa na misikiti inahesabiwa kwa lipi? au nchi imekuwa na dini siku hizi? au kwa sababu makanisa yako mpaka kwenye majumba ya watu ili wa- justify kuwa wakristo ni wengi kwa sababu makanisa ni mengi? UPUUZI HUU MPAKA LINI? ni serikali au SIRIKALI ya KINISA? Wanadhani wanazuia kumbe wanapalilia moto
waislamu wanaamini wako 85% hapa tanzania ko wanataka kupruvu ndoto yao mbichi
Tanzania Country Profile
Location: Southeast Africa, with 1,424 kilometers of coastline on the Indian Ocean
Climate: Tropical along the coast but more temperate inland and in the highlands
Population: 41 million
Average Life Expectancy: 52 years
Poverty: Ranks 204 of 229 in wealth, with per capital GDP of $1,400
Economy: 27% agricultural, 23% industrial, 50% services
Government: Gained independence in 1961; republican government
Religions: Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%
Languages: Swahili, English, some Arabic
SOURCE: OPPORTUNITY TANZANIA:
HICHO KIPENGELE CHA 35% NDO WANATAKA WAKIONE
Ustadhi mmoja katika mkoa wa Singida amekutwa na vipeperushi zaidi ya 53 akivigawa kwa raia wanaoaminika ni wa kiislam ili kuwahamasisha kutojiandikisha katika zoezi la sensa ya watu na makazi mapaka vitu vifuatavyo vitakapowekwa katika dodoso hilo.
1. Kipengere cha dini
2. Uwiano wa mawakala kati ya wakristo na waislam
Source Clauds Fm habari
Kwani kipengele husika kikiwepo nini mbaya ?!