Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

Habbyz

Member
Dec 23, 2010
5
3
Jamani kuna kitu kinaitwa taesa,mimi zamani nilikuwa siwaamini naona ni siasa tu za serikali,lakini nimejiandikisha pale jamaa wamenitafutia kazi. tena nzuri sana. tuchangamke si unajua tena kujaribu sehemu yoyote. nime struggle miaka 3 mtaani. j3 ndio naanza kazi.
 
Wale jamaa sasa hivi hawababaishi, thtz for sure!!ukiwa na docs sahihi na kamili am sure utaitwa tu....ngja nikawane kwanza.
 
Jamani kuna kitu kinaitwa taesa,mimi zamani nilikuwa siwaamini naona ni siasa tu za serikali,lakini nimejiandikisha pale jamaa wamenitafutia kazi. tena nzuri sana. tuchangamke si unajua tena kujaribu sehemu yoyote. nime struggle miaka 3 mtaani. j3 ndio naanza kazi.

jamani mm nimeshapeleka doc zangu inapata mwezi wa tano ss lkn kimya....! vp ww ulichukua muda gani...?
 
Yeah ndio ofisi zilivyo Mpwa, mimi nilipeleka nimesahau sijawahi hata kuitwa ikabidi niende hadi kwa Mkurugenzi mkuu Chief Mwasele, ni mzee mmoja msikivu sana, na mwelewa wa hali ya juu sana, japo sikupata kazi alinishauri na nikajsikia kweli nimehudumiwa, I think wako vizuri sasa.
 
Sema jamaa wanashughulika na private institution tu kwahiyo ni muda mzuri kudeal nao kwa kipindi hiki ambacho serikali haitoa ajira kwa mwaka huu.
tujaribujaribu wakuu,
 
Jamani kuna kitu kinaitwa taesa,mimi zamani nilikuwa siwaamini naona ni siasa tu za serikali,lakini nimejiandikisha pale jamaa wamenitafutia kazi. tena nzuri sana. tuchangamke si unajua tena kujaribu sehemu yoyote. nime struggle miaka 3 mtaani. j3 ndio naanza kazi.

Good to hear that brother, then do your job well.
 
mimi nilipeleka cv mwaka jana, juzi mwezi wa saba waliniambia nipeleke copy ya vyeti vyangu, nimepeleka copy za vyeti lakini naona kimya kingi hadi leo
 
asante,ninachotaka kusema hapa ni kwamba tujaribu tu,we have nothing to lose. unapeleka CV yako na ikitokea kazi wanakuita..huku ukiwa unaangalia na sehemu nyingine. pia ni bahati maana kuna wengine wanapeleka baada ya mwezi au miezi miwili wanaitwa,wengine ndio hivyo unakaa hata mwaka kimya.. kwahiyo ni kujaribu tu.
kwa aliye ni PM unatakiwa uende na vyeti original kwa ajili ya kukagua na kuhakiki,halafu unapewa form unajaza sifa zako,contact na kazi unazotaka utafutiwe.baada ya hapo unaomba mungu huku unaendelea kusoma magazeti pia.
 
mimi na wenzangu kama 6 hivi tuliitwa pale mwezi uliopita tukafanyiwa preliminary interview halafu tukapelekwa kwa ajili ya interview yenyewe ambayo employer anawafanyia... nawa encourage tusikate tamaa jamani
 
asante,ninachotaka kusema hapa ni kwamba tujaribu tu,we have nothing to lose. unapeleka CV yako na ikitokea kazi wanakuita..huku ukiwa unaangalia na sehemu nyingine. pia ni bahati maana kuna wengine wanapeleka baada ya mwezi au miezi miwili wanaitwa,wengine ndio hivyo unakaa hata mwaka kimya.. kwahiyo ni kujaribu tu.
kwa aliye ni PM unatakiwa uende na vyeti original kwa ajili ya kukagua na kuhakiki,halafu unapewa form unajaza sifa zako,contact na kazi unazotaka utafutiwe.baada ya hapo unaomba mungu huku unaendelea kusoma magazeti pia.
Thx, nadhani na mm sasa itabidi nikawaone, binafsi niliziona ofisi zao kama sehemu ambayo wizara ya kazi iliamua kuwapatia watumishi wake wasio na kazi sehemu ya kula
 
Back
Top Bottom