Elections 2010 Wakala wa CCM ajaribu kumpigia debe Masha kituoni, aondolewa

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,139
12,283
Wakala wa CCM ataka kumpigia kampeni Masha kwa ujanja ujanja ktk kituo cha Rugumbizi hapa Nyamagana wakati watu wakiwa kwenye foleni.Wananchi wakahamaki,umati ukapiga kelele..askari wakamwarest,bila kujali alikua anampigia debe waziri wa mambo ya ndani(ambaye ndiye bosi wa polisi wote) wakamkamata na kumpeleka kituoni..
Hadi tunakwenda mitamboni kituo hiki kilikua bado hakijapata wakala mwingine wa ccm..OLE WAO!
 
Mkuu, hii ipeleke kule kwenye MATUKIO kwenye JUKWAA LA UCHAGUZI.
 
mpaka kieleweke
Wakala wa CCM ataka kumpigia kampeni Masha kwa ujanja ujanja ktk kituo cha Rugumbizi hapa Nyamagana wakati watu wakiwa kwenye foleni.Wananchi wakahamaki,umati ukapiga kelele..askari wakamwarest,bila kujali alikua anampigia debe waziri wa mambo ya ndani(ambaye ndiye bosi wa polisi wote) wakamkamata na kumpeleka kituoni..
Hadi tunakwenda mitamboni kituo hiki kilikua bado hakijapata wakala mwingine wa ccm..OLE WAO!
 
Hongereni sana. Watanzania wameamka bwana hawakubali ujinga ujinga ambao haukubaliki.
 
safi sana polisi kwa kufanya kazi yenu... cha maana tu, vijana tuache jazba
 
Wakala wa CCM ataka kumpigia kampeni Masha kwa ujanja ujanja ktk kituo cha Rugumbizi hapa Nyamagana wakati watu wakiwa kwenye foleni.Wananchi wakahamaki,umati ukapiga kelele..askari wakamwarest,bila kujali alikua anampigia debe waziri wa mambo ya ndani(ambaye ndiye bosi wa polisi wote) wakamkamata na kumpeleka kituoni..
Hadi tunakwenda mitamboni kituo hiki kilikua bado hakijapata wakala mwingine wa ccm..OLE WAO!
Shukrani Izack. Kwa kuwa breaking news zinakuwa nyingi siku hizi labda ungeweka kicha cha habari kinachobeba habari au issue halisi- ni ushauri
 
Ninawapongeza wapenda haki wote hapo Nyamagana na kwingineko. Tunataka uchaguzi huru na wa haki.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Si mnaona Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr inavyofanya kazi KILA LA HERI NYAMAGANA NA TANZANIA YOTE
 
[QUOTE = kvelia; 1194932] Yap, kwa pamoja tunafika. sasa Tumechoka. [/ quote]
Hayawi hawi yamekukwa,,,,,,,sisiem:israel:nimefunga Kwa ajili ya nchi yangu Mungu saidia.
 
Naogopa sije kuwa hizi geresha za kupoteza lengo ,kamata kamata ya polisi na kuwajibika kwao kikazi ni kuhamisha mawazo ,lazima tuwe macho ,hapa inawezekana kabisa ikawa panachezwa draft na mkizubaa jamaa wanakula dabo !!!
 
No Kingdom that has not fallen BUT the anticipation to fall is very painful. People do not fear death BUT the anticipation to die is what matters a lot. If you can not trust others to lead you, certainly they will not be trusting you to lead them. In order to lead better you must learn how to be led.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom