Wakaka, Waume..

Kusahau huwa ni ngumu sana labda itokee nimepata Cardiac Arrest ....paa la nyumba lilikuwa linavuja ikabidi nihamie stoo..Angel willl keep me company thou

hahahahaahahah lol
acha kunichekesha mwehhh..
we unakumbuka Bday tu.. hata siku moja
sijawahi kusikia Happy anniversary hunny ..
oohhhhh kuna kitu ntakwambia kuhusu my baby Angel ...
 
hahahahaahahah lol
acha kunichekesha mwehhh..
we unakumbuka Bday tu.. hata siku moja
sijawahi kusikia Happy anniversary hunny ..
oohhhhh kuna kitu ntakwambia kuhusu my baby Angel ...

Hivi umeolewa?
 
haisahauliki sasa? nifanyeje?
Kwanza m very glad ile sumu haikukuua, pili nimekumiss sana na tatu hiyo signature yako imenifurahisha maana unataka kusema wengine tungekuwa tunawatumia kama vyandarua na tunawawekea na ngao ya muda mrefu?
 
Smile bana acha hiyo bana,tukiwa tunakumbuka hayo itatutia unyonge bana.

306085_2686294608816_1599953016_1798474_556756354_n.jpg
 
Umesha weka mzigo ndani inatosha uanze kukumbuka yaliyo pita ya nini?

hahahahahah lohhhh
umenichekesha kwali lohhh

kwa hiyo we ni wale wa.. Birthday imepita, sijui
wedding anniversary kwisha tunasubiri death day tu??
au nimekosea
 
kwanza m very glad ile sumu haikukuua, pili nimekumiss sana na tatu hiyo signature yako imenifurahisha maana unataka kusema wengine tungekuwa tunawatumia kama vyandarua na tunawawekea na ngao ya muda mrefu?
mimi sijui bwana
 
hahahahahah lohhhh
umenichekesha kwali lohhh

kwa hiyo we ni wale wa.. Birthday imepita, sijui
wedding anniversary kwisha tunasubiri death day tu??
au nimekosea

Maisha yangu kila siku ni sikukuu sina haja ya kufanya hayo makitu
 
hahahahaahahah lol
acha kunichekesha mwehhh..
we unakumbuka Bday tu.. hata siku moja
sijawahi kusikia Happy anniversary hunny ..
oohhhhh kuna kitu ntakwambia kuhusu my baby Angel ...
Bado si mpaka November...kuna Anniversary mbili ya kwako na ya Angel...lol
 
ni juzi mama alinipigia simu na kuniambia ''leo ni siku yako ya kuzaliwa'' hbday mwanangu....nikamwambia asante mama likini ukweli ni kwamba katika kichwa changu hili halikuwepo kabisa na sijawahi kulikumbuka ....
 
Naw kwa mtizamo wangu ni kwamba u dont need to reming us coz najua kama ni kweli mtu anakupenda hawezi kusahau matukio muhimu kama birthday na annivesaries ingawa huwa tunasahau siku tunayoanza kuwaaproach na siku mliyotukubalia na matukio mengine (its nature thats why men do not have diaries kuweka matukio ya hivyo but women do)

Tatizo kubwa ni mtazamo, kuna wanaohisi habari za birthdays ni za kitoto au za kuiga sana na wao hawako into them sana ingawa hii haimaanishi hawakumbuki.
Pili ni kutokuwa na uhakika nini cha kufanya inapokuwa birthday yako, akutoe out, akununulie zawadi, akuandalie party au akufanyie kitu gani mwisho siku inapita.
Mwisho wanawake kutokuwa tayari kusema what do they need from their men na mara nyingi hutegemea mwanaume ndio aamue what to do (this is worldwide though)

Naomba kwa sasa niishie hapa ntaendelea baadae......
Ila mekumiss we mdada

Tank you so much ...

one more question ..
Je we unadhani inapendeza zaidi kwa sisi kuwaambia tunataka nini au nyie mfanye lolote..?

My dear I miss you too..
Nafurahi kukutana nawe hapa tena ..
 
Aksantesana kwa kunipa pole.....Sijawahi kuomba ushauri kwani huwa napania nikumbuke na kujiaminisha kuwa nitakumbuka walau mwaka mmoja nifanye Suprise kwa mfano ya mwaka huu nilijiaminisha hivyo na nikawa nakumbuka siku 3 kabla from there nilikuja kukumbuka siku 2 baadaye....

duhhhhhhhhh..
itabidi tutafute kitu kama alarm clock ..
ambayo itawakumbusha kila kitu maana dahhhh..

ohhhhh au unaweza kuweka reminder on your cellphone.. unaonaje hiyo??
 
Kweli mimi sitaki hata kuijua maana nitapata hasira kwa nini hiyo siku niliamua kufanya maamuzi ya kuchukua Liabilities na kusogeza chumbani

Dahhhhh
Hasira za nini tena kwenye kumbukumbu ya mambo mazuri??
 
Back
Top Bottom